tajiri

  1. BARD AI

    Rishi Sunak: Waziri Mkuu tajiri kuliko Mfalme Charles III

    Waziri Mkuu mpya wa 79 wa Uingereza, Rishi Sunak ametajwa kuwa na utajiri kuliko wa Mfalme Charles III. Sunak na mkewe, Akshata Murty wanaelezwa kuwa na utajiri wa Pauni 730 milioni, ambao ni mara mbili ya utajiri wa Mfalme Charles III wa Pauni 370 milioni. Utajiri wa Sunak umeelezwa umetokana...
  2. Equation x

    Rafiki wa kweli wa tajiri ni masikini

    Wengi huwa tunakosea sana, hasa pale kipato kinapo ongezeka huwa tunawaacha wale wa tabaka la chini tuliokuwa nao pamoja, na kuambatana na tabaka la juu au linaloendana na hadhi yako kwa wakati ule. Kwa ujumla, yule watabaka lako hawezi kamwe kuwa rafiki yako zaidi ya kuwa mshindani wako. Na...
  3. Kyambamasimbi

    Ni nchi gani tajiri barani Afrika lakini watu wake hawana akili?

    Ndugu wanajf Africa Ni bara kubwa lenye nchi takriban 56 na watu wenye asili tofautitofauti Sasa je naomba kujua ni nchi ipi iliyo na rasilimali nyingi lakini watu wake hawana akili ya kuzitumia??
  4. BARD AI

    TOP 10: Nchi 10 tajiri zaidi barani Afrika

    Pato la Taifa kwa kila Mwananchi ni mojawapo ya vipimo bora zaidi vya utajiri wa nchi kwani hutoa uelewa wa jinsi raia wa kila nchi wanavyoishi kwa wastani, ikionesha uwakilishi wa wingi wa bidhaa na huduma zinazopatikana kwa kila mtu. 1. Seychelles GDP Per Capita (in US$): $12,648 2...
  5. M

    Kumbe kauli Mbiu ya 'Come Sunshine Come Rain' na Kujiamini Kuvuka imekuja baada ya Tajiri Komhonga Kocha Mkongo?

    Tajiri kamtumia Kocha wa zamani Mkongo anayehudumu sasa ndani ya Klabu pamoja na Wachezaji wetu wa Kikongo ndani ya Klabu ili Kumalizana na Mkongo Mwenzao aliye kwa Waarabu awape Mbinu zao na pia awapangie Kikosi dhaifu ili tuweze kufuzu Makundi na tuwaridhishe Wanachama, Wapenzi na Mashabiki...
  6. MK254

    Tajiri mwingine wa Urusi afa kifo cha kutatanisha, wanauawa sana hawa

    Anayewaua matajiri wa Urusi hususan walio na ukaribu na Putin sijaelewa anawaua kwa nia ipi au ili iweje.... An aviation expert has become the latest Russian official to fall to his death in mysterious circumstances. Anatoly Gerashchenko, the former head of Moscow’s Aviation Institute (MAI)...
  7. L

    Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

    Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu K/koo na maeneo mengine nchin yuko nyuma ya nan? Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee Karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani? Kwasasa...
  8. MK254

    Tajiri mwingine, mndani wa Putin afa kwa kuanguka kutoka kwenye meli, wanamalizwa aisei

    Nani anawaua hawa na kwa nia gani, maana mpaka hivi vita vinaisha matajiri wengi wa Urusi watakua wamekufa sana.... Another Russian energy boss has died in mysterious circumstances after "falling overboard" from a boat, according to local media reports. Ivan Pechorin's body was found washed...
  9. R

    Kwa watanzania wengi fast food ni chakula bora na kinaonesha wewe ni tajiri!

    Asilimia kubwa ya watanzaia wanaona kula fast food ndio unakula chakula bora, na wanakuchukulia wewe kama doni wa mtaa. Chakula chako kikihusisha mboga kama bamia, dagaa na mboga nyingine za majani wewe unaonekana kapuku usiyekula vitu wa vya maana! Mtu anakula chakula bora chenye virutubisho...
  10. M

    SoC02 Kwanini Tanzania ina rasilimali nyingi lakini uchumi wake sio imara?

    Tanzania ni moja ya nchi zilizopo mashariki mwa bara la Africa. Na ndani yake huishi Watanzania na asilimia ndogo ya watu kutoka nchi zingine duniani. Tanzania sasa angalau haipo katika nchi maskini duniani, sasa ni nchi ya uchumi wa kati. Nchi hii imebarikiwa sana, ina rasilimali nyingi ambazo...
  11. Orako

    SoC02 Siku moja tajiri namba moja Tanzania atakuwa kijana mwanzilishi wa Startup

    Asilimia kubwa ya wasomaji wa andiko hili wanamjua Elon Musk na matajiri wengi wenye utajiri unaokadiriwa kufikia hadi mamia ya mabilioni ya dola za kimarekani. Kinyume na uhalisia wa hapa nyumbani ambapo mabilionea wengi utajiri wao upo kwenye akaunti za benki mbalimbali na majengo. Mabilioni...
  12. politicians

    SoC02 Chuki, ubinafsi na unafiki, ndio vinachelewesha maendeleo ya nchi yetu

    Utangulizi:nchi yetu ina utajiri mkubwa wa rasilimali lakini ina umaskini wa maendeleo, watu wengi wanajiuliza swali kwa nini? Sababu zipo nyingi ila tatizo kubwa ni fikra na mitazamo ya kimaskini iliyopo kwa wananchi walio wengi inayosababisha vitu hivi (chuki,ubinafsi na unafiki) ambavyo...
  13. Jidu La Mabambasi

    Marekani nchi tajiri ,lakini sensa yao inasema kuna masikini milioni 48!

    Marekani ni nchi tajiri na yenye maguvu. Lakini sensa yao iliyoendeshwa na Idara ya Cencus Bureu(kama sensa yetu) imeonyesha kuwa hii nchi ya watu karibia milioni 330, ina watu masikini kabisa kufikia milioni 48. Na kwa Marekani ukiwa masikini basi heri ya Tanzania. Masikini wa Marekani...
  14. M

    SoC02 Wosia wa "kitabu mtatuzi wa matatizo" ndani ya nchi tajiri yenye watu masikini

    Jina langu nililopewa na walimwengu najulikana kama KITABU MFUMBUZI WA MATATIZO.Nimezaliwa DUNIANI kote kwa mwaka usiokuwa na jina toka Enzi katika kila Pembe ya Dunia, Ninaishi TANZANIA, Nchi TAJIRI yenye watu MASIKINI ndani yake.Nimevumilia nimeshindwa nimeona Bora niseme TANZANIA ina watu...
  15. sky soldier

    Kwanini Ali Kiba kaanza kukamata pesa ndefu tangu zamani lakini bado sio tajiri?

    Ali Kiba kaanza kuimba zamani sana aisee, miaka ya 2006 jamaa aliwahi kupewa milioni 200 kwa mauzo ya kaseti na cd zake, hio milioni 200 ya enzi hizo naweza kusema ni kama milioni 600 ya sasa. Hakuishia hapo tu aliendelea kupiga mikwanja mizito endelevu miaka na miaka mpaka sasa lakini bado...
  16. sinza pazuri

    Diamond Platnumz ndio tajiri wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari

    Baada ya kununua helicopter yake ya kifahari, Diamond Platnumz ndio anakuwa mtanzania wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari. Wapo matajiri wengine waliwahi miliki helicopter za kuungaunga ila tajiri huyu mdogo sana kiumri mzaliwa wa Tandale anamiliki helicopter ya kifahari. Helicopter hii...
  17. S

    Huyu Tajiri wa Mabasi ya Mbulu Trading Co. Ltd(au Sunvic Express Ltd) Ameiweka Serikali Mfukoni km yule Mgiriki wa Mwl. Nyerere?

    Kuna Kampuni ya mabasi inayofanya safari zake kati ya Arusha na Haydom kupitia Karatu na Mbulu km ilivyotajwa hapo juu. Ktk kibali chake cha biashara ilitakiwa kila siku iwe inasafirisha mabasi manne, mawili kutoka Arusha kwenda Haydom(basi la kwanza inatakiwa iondoke saa 12 asubuhi na la pili...
  18. GENTAMYCINE

    Kwa Lomalisa na Bigirimana Pesa ya Tajiri imepotea, na nilichokiona kwa Aziz Ki ni 'Domo Kubwa Kuvimba' lake tu na Kukosea Kwingi

    Yassin Mustafa ana uwezo mkubwa kuliko Joyce Lomalisa Mutambala kwa Beki ( Mbavu ) ya Kushoto. Zawadi Mauya ana uwezo mara 100 kuliko Mchezaji wa Newcastle United ya katika Photoshop ya Mitandaoni Bigirimana. Saido Ntibanzokinza na Yacouba Sogne ni Wazuri mara Milioni kuliko Domo Kubwa Kuvimba...
  19. T

    SoC02 Mikakati ya vita katika kuzinemesha nchi tajiri kwa kuzinyonya nchi changa, (Vita na Uchumi)

    Kadri ninavyozidi kupitia baadhi ya maandiko ya kale, masimulizi na ninayoyashuudia. Hizi ni baadhi ya sababu zinazofanya kuwepo wa vita:- Wivu juu ya mtu au taifa moja kwa taifa lingine, Wivu huu unaweza kuchagizwa na ukuaji wa uchumi ambapo taifa moja likiona taifa jirani linakuwa kwa kasi...
  20. GENTAMYCINE

    Makamo wa Rais Dkt. Mpango huyu Tajiri Muha Muyama ni nani Kwako? Kwanini ana Kiburi na Kaibuka Wewe ulipokuwa tu Makamu wa Rais?

    Halafu wakati ukijiandaa ( ukiniandalia ) Majibu yangu kwa Maswali niliyokuuliza nina Swali lingine Kwako, kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na JWTZ kwa Kawe Lugalo. Makamu wa Rais na hao Watendaji wote niliowataja hapo juu pamoja na wa JWTZ ni kwanini hilo Ghorofa...
Back
Top Bottom