Wanabodi,
Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are...
Habari waungwana,
Ukiwa mwelewa na kuacha ubishi haya maneno yanaweza kubadilisha maisha yako kabisa. Siandiki maneno haya ili kukuonyesha kwamba mimi ni tajiri sana hapana. Naweza kuwa sina chochote lakini bado nikaandika kitu ambacho kitakufanya kesho uwe mtu mkubwa sana hapa duniani. Wapo...
Ripoti ya utafiti iliyotolewa na Forbes Januari 30, 2023, Mo Dewji alikuwa nafasi ya 15 hapo awali, amepanda kwa nafasi mbili kutokana na utajiri wake unaokadiriwa kufikia Dola 1.5 bilioni (Sh 3.5 trilioni).
Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'MO Dewji amepanda kwa nafasi mbili katika...
Kwema wakuu?
Mimi ni kijana wa miaka 20 na ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea na ndoto yangu ni kuwa tajiri siku moja.
Nimekua nikisikia baadhi ya watu hasa hawa motivational speakers wakisema kuwa huwezi kutajirika kama utafanya kazi za kuajiriwa tu na hii imenifanya kuona kama sipo...
Salaam wakuu, kwanza nianze kusema kuwa Mimi ni shabiki mkubwa wa tajiri Bill Lugano.
Tajiri huyu amekuwa akinipa hamasa kubwa kupitia hoja na machapisho yake Kuhusiana na utajiri wake yeye na familia yao.
Ni mtu ambaye anatuhamasisha vijana tutafute pesa kwa bidii,Hana nongwa na mtu yoyote...
1. Uwezo wa kukamata wadudu au fedha.
Maskini na watu wapambanaji huwekeza muda wao wa kazi kuzipata fedha wakati tajiri huwekeza muda huo huo wa kazi kujenga mali itakayomsaidia kutengeneza fedha kwa ajili yao.
Kivipi? Buibui hufanya kazi kubwa kutengeneza utando utakaomsaidia kudaka wadudu...
Za ndani nilizozipata kutoka kwa Chawa Wako zinasema leo Jioni utakutana nao mahala na Mzinywe na Wale sana kwani Mtu aliyekuwa akikunyima Usingizi Wakili Albert Msando aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro uliyoko amehamishwa na Mkeka mpya wa Mama.
Ila kwa DC Msando alivyowekeza hapo Wilayani...
Enyi wapambanaji, "Kama kazi yako, hujawahi kutana na polisi au vyombo vya usalama" kuwa tajiri Ni ndoto!
Utakuwa na maisha ya kawaida Sana, shida ZITAKUWA nawe kila siku, lakini kamwe hutoweza kuwa tajiri ktk maisha haya.
"Lakini Kama kazi yako unayoifanya una misuko suko ya kukutana na...
Paavel Antov tajiri katika baishara ya Sausage amekufa kifo cha utata akiwa nchini India, inasemekana kifo chake kilitanguliwa na kifo cha rafiki yake. Chakushangaza ni kuwa wote wawili miili yao ilichomwa moto na hivyo wajuaje wa mambo wanashanaa kwanini miili yao ilichomwa moto ilihali wao ni...
Anaitwa CHUKWUDOZIE NWANGU al-maarufu kama AKWA OKUKU TIWARI NA OBA
Huyu jamaa alikuja kujua amechaguliwa na mizimu ya ukoo alipo kuwa na miaka 12, Aliitika with huo na kuanza kutibu watu na kujizolea umaarufu mkubwa sana!
Mpaka sasa anakadiriwa kuwa na utajiri wa dola za kimarekani $1 milioni...
Na bahati mbaya ninavyojua ni kwamba 99% ya wana Yanga SC ni Choka Mbaya (Masikini) kama mimi tu GENTAMYCINE hivyo hakuna mwenye Ubavu wa kutokununua bidhaa zako zozote kuanzia Maandalizi, Nazi, Juice, Unga, Chapati, Mafuta na kadhalika.
Sasa kwa mfano Wewe Mzee wa Yanga SC na rafiki yangu...
Mkuu,
Lemutuz aisee mungu akuwekee sana msaada wako unaotoa kwa jamii hautaweza kusahaulika unafanya mambo makubwa sana kwenye japo watu wengi hawauoni au ni husuda za watu wenye vijiba vya roho tu.
Lemutuz ni mtu poa sana inshort ni Tajiri wa roho ila dunia ilivyo mti wenye matunda hupigwa...
Top Ten Richest Countries in Africa in 2022/23 by GDP
10. Ghana 🇬🇭 73.8 Billion USD
9. Tanzania 🇹🇿 77.5 Billion USD
8. Ethiopia 🇪🇹 105.3 Billion USD
7. Kenya 🇰🇪 114.6 Billion USD
6. Angola 🇦🇴 124 Billion USD
5. Morocco 🇲🇦 133 Billion USD
4. Algeria 🇩🇿 193 Billion USD
3. South Africa 🇿🇦 426...
Biashara ya kutoa mikopo ni biashara kama biashara nyingine. Unavyouza mikopo Zaidi ndivyo unavyopata faida Zaidi.
Kwa nchi zilizoendelea kama Marekani, mataifa ya Ulaya, Japan, na hata China, hizi ni nchi ambazo zimefanikiwa kuwa na efficiency kubwa sana kwenye mabenki, na pia benki kuu katika...
Wanauawa kwa vifo vya kutatanisha...
Dmitry Zelenov, a Russian real estate tycoon, died while visiting friends in Antibes, a coastal city in France. According to French newspaper Var Matin, Mr Zelenov died after tumbling from a flight of stairs on December 9.
He was having dinner with friends...
Mfanyabiashara na Mkurugenzi wa kampuni ya Mabasi ya J4 Express, alidaiwa kuwaua kwa kuwapiga kwa risasi Ally Abeid Mohamed, mkazi wa Igoma na Claud Sikarwanda, mkazi wa Nyasaka Ilemela, Julai 13, 2015, majira ya saa 4:00 usiku, eneo la Nyakato Boma kwenye ofisi na karakana ya magari ya...
Nunua ardhi ya bei nafuu Leo katika eneo ambalo baadae litakuwwa dili sana na sasa linapuuzwa. Mfano:
1. Eneo LA Makurunge kule Bagamoyo njia ya Saadani. Ile barabara inaandaliwa kujengwa kwa kiwango cha lami itokezee Pangani, itakuwa shortcut kwenda Tanga hivyo magari mengi yatapita. Mbele yake...
1. Uwe tajiri mwenye bilioni+ yako lakini ni mpweke, watu pekee unaoweza kuwa nao ni wale wa kununua kama bidhaa ama kujifanya wapo karibu na wewe ili wafaidi pesa zako (machawa, wapambe, gold diggers)
2. uwe n mshahara wa laki 2 lakini una marafiki na ndugu kibao wanaokujali licha ya hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.