tajiri

  1. ward41

    Libya bado ni nchi tajiri, tuache propaganda ( hizo hapo ni latest statistics)

  2. Robert Heriel Mtibeli

    Kazi isiyoangaliana na mlango wa Jela haiwezi kukufanya kuwa Tajiri

    Kwema Wakuu! Ikiwa kazi unayoifanya haijawahi kukuletea Polisi, au haijawahi kukupeleka kwenye vyombo vya kisheria ujue hiyo kazi haiwezi kukufanya kuwa Tajiri. Utajiri na uvunjifu wa sheria ni pande mbili za sarafu moja. Huwezi kuwa tajiri bila kuivunja sheria ya nchi, mahali popote Katika...
  3. GENTAMYCINE

    Neno langu kwa Tajiri Yusuf Bakhressa wa Azam FC

    Umeingia kwa 'Pupa' sana katika Vita ya Kusajili ila umesahau kuwa unazungukwa na 'Chawa' wengi wa Simba na Yanga.
  4. mchuku wa mangi

    Polisi Kilimanjaro mfikisheni Mahakamani Mke wa tajiri huyu

    Kuna waimbaji wanaimba 'mwenye pea' si mwenzako ni kweli mwenye pesa si mwenzako,wengine wanasema mwenye nguvu mpishe, huwezi shindana naye. Nimeonelea nianze kuhathisia kisa hiki kwa kuanza hivyo pengine huko mbele mtanielewa namaanisha nini? Mwezi novemba 2019 eneo la Majengo mjini Moshi...
  5. Suley2019

    Chukua hii, Tajiri namba moja duniani Elon Musk anadaiwa

    Kulingana na Ripoti kutoka @FortuneMag imeeleza kuwa billionea namba moja duniani Elon Musk anakabiliwa na kesi ya Dola Bilioni 258 kwa madai ya kuwa sehemu ya mpango wa piramidi ya cryptocurrency ya LEGO, Ambapo yeye pamoja na kampuni zake za Space X na Tesla, wanashtakiwa na Keith Johnson...
  6. Playgod

    Matajiri wenzangu

    Tupeane mbinu ya kuzidi kukuza utajiri
  7. Poker

    Mrembo na tajiri huddah Monroe ajinasibu yeye haachwi bali anaacha yeye!

    Huddah Monroe mrembo matata sana mwenye pesa kuliko star yoyote wa Tanzania amejinasibu kuwa hajawai kuachwa na mwanaume, na huwa yeye ndio anawaacha wanaume akishawachoka. Pia alipoulizwa nini hasa anapenda kwa anapokuwa kwenye 6*6 alikiri anapenda kunyonywa mbususu yake; na kama mwanaume ni...
  8. Bushmamy

    Arusha: Rushwa yadaiwa kutawala tajiri wa Madini aliyeua mlinzi aachiwa huru

    Mfanyabiashra wa madini mkoani Arusha, Pendael Moller ameondolewa kwenye kesi ya mauaji ya mlinzi anayefahamika kwa jina la Steven Jimmy na kuwaacha wenzake wawili ambao ni onesmo Molleli na Deogratius Mollel. Mwanasheria wa Serikali alimwambia Hakimu Devota Msofe kuwa serikali imeamua...
  9. JanguKamaJangu

    UNICEF: Mataifa tajiri yahatarisha maisha ya watoto ulimwenguni

    Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limedai kuwa mataifa tajiri Duniani yanahatarisha maisha ya watoto kutokana na uzalishaji mkubwa wa gesi za sumu zinazoathiri afya zao. Kituo cha Utafiti cha UNICEF kimetafiti mataifa 39 ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi na...
  10. K

    Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

    Nimepita hapo, nimeona jamaa wako na madumu wananyonya mafuta kutoka kwenye Tank la gari. Chukua tahadhari.
  11. Sky Eclat

    Usemi wa kuwa tajiri hafungwi huenda ukawa na ukweli

    Ilikua ni familia ya watoto watatu, wa kwanza wa kike, wa pili wa kiume na watatu wa kike. Yule mtoto wa kwanza alimaliza darasa la 12 na kupelekwa kwa mama mdogo kujifunza ujuzi. Mume wa mama mdogo ni mbunge na ana biashara nyingi ikiwemo mini supermarket, mgahawa na nyumba ya kulala wageni...
  12. T

    Jinsi Tajiri aitwaye saa tatu alivotumia nguvu ya pesa kubomoa nyumba huko Tunduma.

    Tukio hilo la kubomolewa Kwa nyumba hiyo limetokea huko Tunduma na nyumba hiyo inasemekana ni mali ya marehemu pamoja na mke wake ambaye yuko hai. Inasemekana marehemu aliacha watoto kutoka kwa wake tofauti na kila mke alikuwa na nyumba yake. Baadaye watoto wa marehemu Wakafungua shauri la...
  13. K

    Elon Musk afanikiwa kuinunua Twitter

    Baada ya figisu figisu za muda mfupi kumzuia mkurugenzi mkuu wa kampuni ya space X na mtu tajiri zaidi duniani kwa paper assets bwana Elon Musk hatimaye amefanikiwa kuununua mtandao wa twitter Mpaka sasa makundi ya haki za binadamu hayaelewi twitter chini ya mmiliki huyo mpya kama itaweza...
  14. Masokotz

    Je, wewe ni whole saler wa Bidhaa zifuatazo?

    Habari za wakati huu wakurugenzi? Wanahitajika Wauzaji wa Jumla wa bidhaa zifuatazo ambao wanauwezo wa kussuply mzigo wa thamni yoyote kwa bei ya Jumla.Iwapo unao uwezo wa kussuply kiasi hicho cha mzigo tafadhali tuma mawasiliano yako kwa email:masokotz@yahoo.com.Zingatia kwama ni lazima uwe ni...
  15. Leak

    Zuchu amtambia shabiki kuwa bwana yake ni tajiri na anaishi kwenye hekalu!

    Msanii Zuchu aliamua kumtambia Shabiki yake kwenye mtandao wa instagram baada ya shabiki huyo kumwambia Zuchu kuwa alikuwa anamzidi uzuri na hadi sasa bado anamzidi uzuri... Zuchu baada ya kuona maoni hayo ya shabiki yake hakutaka kuyaaacha badala yake alimjibu shabiki huyo kuwa pamoja na ubaya...
  16. incredible terminator

    Ni kiasi gani ambacho MTU ukiwa na uhakika wa kuingiza kwa siku unaweza kuhesabika kama wewe ni Tajiri?

    HABARI WAKUU, Nimekuwa nikijiuliza hili swali Mara nyingi sana na majibu nilliyokuja kuyapata hakika MTU anaeitwa Tajiri wanapesa nyingi sana, nimegundua hili zaman katika harakati za kutafta tonge ilikuwa hata kuingiza buku3 kwa siku ilikuwa mbinde sana Yaani nilikuwa nikikaa naamini kabisa...
  17. GENTAMYCINE

    Nini kimesababisha Tajiri wa Simba Dewji awepo Dubai katika Mkutano Mkuu wa Uwekezaji, ila Gharib wa Yanga hata kwa Tochi tu hajaonekana?

    Naona Tajiri Kijana Afrika anang'aa tu Kimataifa kama Klabu yake huko Shirikisho huku Tajiri Uchwara mwingine Yeye akibung'aa bung'aa zake tu Posta, Kigamboni, Turiani na sasa yuko zake Mkolani Buhongwa Mkoani Mwanza akiitafuta Geita. Yaani Wewe Pesa zako za Magumashi ( Janja Janja ) mpaka Uuze...
  18. YEHODAYA

    Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine. Bunge la Uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe

    Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea Tajiri wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine bunge uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe na anyanganywe timu ya Chelsea kwa sababu yeye rafiki mkubwa wa Putin na ana uhusiano na biashara zake na Russia zinazotakiwa kuwa freezed za...
  19. Replica

    Utajiri wa MO vs BAKHRESA: Vigezo gani hutumika kuwabaini matajiri?

    Jarida la Forbes limetoa orodha ya matajiri barani Afrika ambapo Mohammed Dewji ameendelea kushikilia usukani kutokea Tanzania na kushika nafasi 15 barani Afrika. Mimi nina maswali kuhusu orodha hii, hivi hapa nchini hamna watu wana unreported wealth? Kuna watu wanaonekana kwa macho wana...
  20. Poker

    Namna ya kuwa tajiri mwaka huu, hii biashara inalipa ni kiboko huhitaji kafara!

    Zinahitajika ngozi za nyoka wafuatao; 1- kifutu 55'' to 61'' shs 380,000/= kwa ngozi 2- sawaka 155'' to 655'' shs 200,000/= kwa ngozi 3-nyoka wa kijani(boomslang) 100'' to 155'' shs 400,000/= kwa ngozi 4- koboko 255'' to 400'' shs 600,000/= kwa ngozi 5-moma 100'' to 200'' shs 300,000/= kwa ngozi...
Back
Top Bottom