tajiri

  1. F

    Huyu mwanadada mdogo ila tajiri sana, ulevi wake upo katika ujenzi wa majumba

    Nimeangalia kipindi cha Ujenzi EATV nikamuona dada mdogo kiumri akiwa tayari kashajenga nyumba tatu Kubwa jijini Dar. Anadai yeye huwa hapendi sana starehe ila starehe yake ni kujenga nyumba nzurinzuri. Kisa cha kuja hapa ni umri wake na vitu anavyomiliki. Bahati mbaya Mtangazaji wa kipindi...
  2. Mohammed Raza tajiri mkubwa Zanzibar anazikwaje bara?

    Dar es salaam na Zanzibar ni kilometers chache Sana, kwa tajiri Kama Mohammed Raza angesafirishwa kwa ndege dk chache Sana na kuzikwa kwao Zanzibar aliko kuwa mbunge mtu maarufu Ila Cha ajabu wamemzika Kisutu kwa nini? Je Zanzibar hakuna maeneo ya kuzika maana sio yeye tu wapo watu wengi wenye...
  3. Mwanaume tajiri anafaidika vipi na ndoa zaidi ya ngono tu?

    Habari kwenu, nyote Nilikuwa najiuliza kwa mfano ww ni mwanaume tajiri au una hela za kutosha,, na umri wako ni 35+ huko Lets say kwa mwezi unaingiza 87M, ila hujaoa lakini wazazi wako, na ndugu wanakulazimisha uoe, Lakini pia ukiangalia vitu vyote wanavyopata wanaume wenzako kwenye ndoa...
  4. Elon Musk arejea tena kuwa tajiri namba 1 Duniani

    Mmiliki wa mtandao wa Twitter na mkurugenzi wa kampuni ya magari ya umeme ya Tesla Bwana Elon Musk amerejea kwa mara nyingine tena kuwa tajiri namba moja Duniani. Tukumbuke kwamba Elon amekuwa akipoteza nafasi ya kwanza utajiri Duniani mara kadhaa na kurejea toka November mwaka jana kutokana na...
  5. S

    SoC03 Nataka kulala masikini kuamka tajiri

    Siku moja kuna rafiki yangu wakaribu alifiwa na baba ake mdogo kama ujuavyo watanzania tuliowengi tunatabia yakushirikiana katika shida na raha basi siku ya maziko nilikaa pamoja na vijana wenzangu, tulikuwa tukipeana habari mbalimbali kama ujuavyo watu wa rika zinzofanana wanapokaa pamoja...
  6. Natafuta mke tajiri

    Naatafuta mke awe tajiri; ~ Nina miaka 30 ~ Sina mtoto ~ Nipo mkoani ~ Sina Mali ~ Nimejiajiri MKe nimtakaye; ~ Awe tajiri ~ Umri 30 kushuka chino ~ Elimu yoyote ~ Usiwe na mtoto (kama unaye awe mmoja tu) ~ Uwe tayari kuja popote au unitumie nauli popote duniani nitakuja ~ Uwe mweupe au mweusi...
  7. D

    Kama Mohamed Dewji tajiri mkubwa vile alitekwa, wewe ulikuwa na kinga gani kwa bwana yule?

    Tukiwaambia nchi hii tumepitia kipindi kigumu sana muwe mnaelewa jamani! Maana kuna watu kabisa uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana. During that regime kila mwekezaji alikuwa anaogopa na wengine walifirisiwa kabisa ama moja kwa moja au kwa kuchukua pesa kwenye akaunti zao, mfano Nimrodi mkono...
  8. Asilimia 95 ya mabinti wanaotoka kwenye familia tajiri ni makahaba wa kutupwa!

    Kwa utafiti wangu usiotia shaka hata chembe tena kwa kujionea mimi mwenyewe hakika asilimia kubwa ya mabinti wanao tokea kwenye familia tajiri ama wanaojiweza ni makahaba wa kutupwa! Ipo hivi, mawakala wa uzinzi na ma dada poa sugu miaka ya hivi karibuni wanaendesha mradi wa kuwauza mabinti...
  9. Ukiwa masikini ukifa unaonekana umekufa tu, lakini ukiwa tajiri unaonekana umekufa kweli

    Hbari za wakati huu. Ni katika falsafa zangu binafsi naona kabisa maisha ni magumu sana ukiwa hai na ukifa ni magumu vilevile. Kuna watu wanapokuwa hapa duniani ni dhahiri hatufanani. Hats m apotangukia mbele ya haki mnakuwa tofauti sana. Uwepo wa wazaz wetu wapenz, wanapotuhudumia na...
  10. Sandile Shezi: Tajiri Mtoto wa South aliyekimbia na Mamilioni ya Rand ya Wateja wa Forex

    Forex milionea amekula kona n mamilion ya shilingi ,kaacha mke na watoto sauzi kakimbilia ughaibuni ,na polis washatoa warant ya kumkamata popote. ========== Sandile Shezi: Everything to know about SA’s youngest millionaire As The South African reported in the final months of 2021, Sandile...
  11. M

    Nina Mtaji wa Tsh 50,000/= tu je, niiwekeze katika Biashara gani ili nije kuwa Tajiri?

    Ndiyo hela ya mwisho niliyonayo Mfukoni mwangu na ikiisha tu sijui nitaishije hapa Mjini na Uswahilini niliko. Nishaurini haraka je, hii Shilingi Elfu Hamsini (Tsh 50,000/=) tu niliyonayo niiwekeze katika Biashara gani / Mradi upi ili inilinde hapa Mjini na pia ije kunifanya kuja kuwa Tajiri...
  12. Ungekuwa tajiri ungefanya nini?

    Hamjambo vijana, Mimi kama mimi ningefanya hivi; Ningebadili duni yangu kuwa pepo yangu, ningefanya kila niwezalo kupata nivitamanivyoo kufurahisha nafsi yangu. Kwako Johnnie Walker na mshamba_hachekwi
  13. T

    Hivi! Viongozi wetu huwa hawatamani watanzania wafe ili wawepo wao tu?

    Hisia zangu kwa sasa ni kwamba! Tumekuwa nchi yenye viongozi wanaotamani waishi kama maisha ya kama wako peponi na kuwadharau kabisa wanaowafanya wafikie hatua ya kuishi hivyo, watu has ni, walipa kodi na masikini kabisa ambao wanaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu! Watu hawa wanyonge na...
  14. Huwezi kuwa tajiri kwa pesa za matajiri

    You can't start to be rich if you tagert money from rich people. To be rich target money from poor people. Poor people offer big market and demand. Because poor people are MANY and always are in NEED! Kibangubangu presents.
  15. M

    Tofauti ya kugongewa mwanamume mwembamba maskini na mwanamume mnene tajiri

    Kuna uzi flani uliletwa humu jamvin kuhusu wanaume wanene matajiri hawapeleki moto ndo maana wanachapiwa sana. Mmoja wa members Basi Nenda alipinga vikali na kujigamba eti yeye ni mnene lakini anawagongea sana wanaume wembamba . Sasa tofauti ni hii. Sisi wanaume wembamba maskini tunawagongea...
  16. Another year and another blessing, happy birthday to me tajiri

    Nimezaliwa familia ya kishua sana tena sana yaani mimi kwa sasa kumiliki bilioni kadhaa kwenye akauti kwenye akauti yangu is not big issue naenda London kama wewe unavyoenda huko kwenu kwa mtogole au unavyoenda kwenu maganzo au unavyoenda huko kwenu maji kuinama ukienda na mabasi yanayovuja huko...
  17. Uchambuzi wa tuhuma za Dhulma za Tajiri Saalah Dhidi ya Eliud

    Kwema Wakuu! Nilikuwa nafuatilia mkasa uliokuwa umeletwa siku tatu nyuma na ndugu nokwenumuya, akiwasilisha malalamiko yake kuhusu uonevu na dhulma inayofanywa na tajiri mmoja aliyemtambulisha Kwa jina la Saalah Dhidi ya Eliud. Nikaona nitoe uchambuzi Kwa uchache ili kama taifa tuwezi kujifunza...
  18. M

    Hakuna tajiri aliyekuwa tajiri kwa kuomba kwa Mungu apewe utajiri

    Siri ya kufanikiwa kiuchumi ni kuenenda katika HAKI! Kwenye Biblia hakuna tajiri yeyote aliyemuambia Mungu "naomba unipe utajiri" na akapata, never na sijaona andiko hilo kwa mwenye nalo alilete. Wajanja walishaachaga kuomba utajiri. Kumbuka, Ufalme wa Mungu hutekwa na WENYE NGUVU NA MAARIFA...
  19. T

    Elon Musk amerudi kuwa tajiri namba moja Duniani kwa mara nyingine tena

    Bwana Elon Musk ambae alikua Tajiri namba 1 Duniani toka August 2021 hadi October 2022 na kisha kua tajiri namba 2 kwa muda wa miezi 4 hivi kutokana na kushuka kwa thamani ya hisa zake, sasa amerejea tena kileleni. Elon Musk aambaeni muanzilishi na mmiliki wa makampuni kadhaa ikiwemo Tesla...
  20. Mfanyabiashara Mwanza anunua ndege binafsi ya kutembelea

    Mfanyabiashara maarufu kijana jijini Mwanza anaingia katika orodha ya Watanzania wachache nchini na labda pia anaweza kuwa kati ya watu wawili watatu wasio na asili ya Kiasia kumiliki ndege binafsi ya kupigia misele. Kijana huyo (jina kapuni kwa sababu za kibiashara na kiusalama) ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…