takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Katavi: Idara ya TAMISEMI yalalamikiwa zaidi na Wananchi TAKUKURU

    Malalamiko 57 ya Rushwa yalifikishwa TAKUKURU Mkoani humo kati ya Januari - Machi 2022. Aidha, katika kipindi hicho Malalamiko mengine 4 ambayo hayakuhusisha Rushwa yalipokelewa Uchunguzi wa Majalada 55 bado unaendelea, na Majalada mengine mawili Uchunguzi wake ulikamilika na Watuhumiwa...
  2. Unazungumziaje Hali ya Rushwa Wilayani Temeke?

    Malalamiko 75 yalipokelewa TAKUKURU kati ya Januari - Machi 2022. Kati ya Malalamiko hayo, 49 yalihusu Rushwa na 26 hayakuhusiana na Rushwa Idara mbalimbali zilizolalamikiwa ni pamoja na Afya, Elimu, Ardhi, Watendaji wa Kata, TANESCO, Mahakama, Bandari, Mamlaka ya Mapato (TRA), Watu Binafsi...
  3. Hali ya Rushwa Singida: TAMISEMI yaonekana kuwa tatizo, yapokea malalamiko mengi kuliko sekta zote

    Katika Taarifa/Malalamiko 100 yaliyopokelewa na Mamlaka kati ya Januari - Machi 2022, Taarifa 73 zilihusu vitendo vya Rushwa na 27 hazikuhusiana na Rushwa. Malalamiko yalihusu Sekta mbalimbali zikiwemo TAMISEMI (41), Elimu (12), Ardhi (12), Afya (9), Mahakama (6), Mazingira (3), Fedha (03)...
  4. TAKUKURU mchunguzeni Mkuu wa Wilaya Morogoro, anaitumia ofisi yake vibaya

    SIRI IMEFICHUKA! Kumbe vile vibanda vya wajasiriamali (Wamachinga) katika Soko Kuu la Chifu Kingalu vilivyojengwa na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando kwa kushirikiana na benki fulani, vimegeuzwa mradi wa kupigia pesa na kuiibia serikali? Hatari sana. Itakumbukwa kuwa DC Msando alisema...
  5. K

    TAKUKURU mchunguzeni Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe

    Mbunge wa Hai SAASHISHA MAFUWE na baadhi ya wajumbe wa chama cha ushirika cha uduru wanatuhumiwa kuongwa kiasi cha shilingi 70,000,000/= na Mrusi aitwaye ALEX au ALTEZA, ili kutengenezea mizengwe muwekezaji wa Makoa Farm Mjerumani aitwaye Elizabeth ili mkataba wake na chama cha ushirika cha...
  6. Idara za TAMISEMI, Mahakama, Ardhi, Elimu na Afya zaongoza kulalamikiwa Mara

    TAKUKURU Mkoa wa Mara imepokea Malalamiko 139 ndani ya miezi mitatu (Januari - Machi 2022), na Idara zilizolalamikiwa zaidi ni pamoja na TAMISEMI (58), Mahakama (15), Elimu (14), Ardhi (13) na Afya (12) Katika Malalamiko hayo, 106 yalihusu Vitendo vya Rushwa na mengine 33 hayakuhusiana na...
  7. Simiyu: Ajiua baada ya kudaiwa kushindwa kuizima kesi ya ubadhirifu iliyochonguzwa na TAKUKURU

    Karani wa Chama cha Msingi cha Ushirika amedaiwa kujinyonga kwa kinachoelezwa ni kukosa msaada wa kuzimwa kwa kesi yake ya ubadhirifu wa fedha za wakulima wa pamba licha ya kuhonga rushwa mara kwa mara. Kamanda wa Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda amesema: “Alikuwa na kesi TAKUKURU, ameacha...
  8. J

    RC Kafulila: TAKUKURU chunguzeni mkataba wa ujenzi wa ofisini yangu

    Huyu RC binafsi anaukonga moyo wangu kwa namna anavyodhibiti mapato na matumizi ya fedha za Umma, Mkoani kwake. Hebu Msikilize mpaka mwisho hapa.
  9. C

    TAKUKURU chunguzeni wanaopanga watu ajira za afya kuna rushwa inaendelea

    Ninaomba suala la hizi nafasi liangaliwe vizuri. Nilishangaa nafasi zilishajaa mapema lakini waliongeza siku ili watu waombe. Kwa sasa watu wanajitahidi kupeleka pesa ili wapate upendeleo. Na hata ucheleweshaji wa kutoa majina ya waliopata nafasi unafanyika ili ipatikane mianya ya watu...
  10. Malalamiko ya Rushwa yamekithiri Mkoani Mwanza. Tatizo nini?

    Taarifa 132 zimepokelewa na TAKUKURU Mkoani Mwanza kati ya Januari - Machi 2022, na 89 zinahusu vitendo vya Rushwa huku 43 zikiwa hazihusiani na Rushwa Kwa taarifa 89 za Rushwa, Majalada ya uchunguzi yalifunguliwa ambapo Uchunguzi wa Majalada 22 uchunguzi wake umekamilika, na 67 uchunguzi bado...
  11. Manyara: TAKUKURU yapokea malalamiko 64 ya rushwa, kuna kesi 26 Mahakamani

    Taasisi Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara imetoa ripoti yake kwa muda wa miezi mitatu, Januari hadi Machi 2022. TAKUKURU imetoa elimuya rushwa na athari zake katika jamii, kwa askari wa Jeshi la Polisi eneo la Tengefu la Mirerani. Pia imefanya semina 31, mikutano ya...
  12. Shinyanga: TAKUKURU yabaini dosari miradi minne ya Maendeleo inayoendelea

    Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoani Shinyanga imeelezea kubaini dosari miradi minne ya Maendeleo inayoendelea.
  13. Morogoro: TAKUKURU yapokea taarifa 52 za rushwa, yabainisha TAMISEMI imelalamikiwa zaidi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Morogoro imetoa ripoti yake ya miezi mitatu kuanzia Januari hadi Machi 2022 ambapo imepokea taarifa 101, kati ya hizo 52 zilihusu rushwa.
  14. Iringa: TAKUKURU INAYOTEMBEA yapokelewa vizuri, yazuia rushwa katika minada

    Iringa: TAKUKURU INAYOTEMBEA yapokelewa vizuri, yazuia rushwa katika minada
  15. DOKEZO TRA, TAKUKURU na Uhamiaji mko wapi?

    Nimekuwa mfanyakazi wa kampuni moja kubwa sana hapa Dsm kwa zaidi ya miaka Saba sasa, baadae nilipelekwa mkoani kwaajili ya kazi yangu hiyo hiyo,hapa sitataja Mkoa kwa sababu ya kuficha uhusika wangu kamili. Hii kampuni imekuwa na mambo ya ajabu sana, tumeajiriwa kwa jina la kampuni x, lakini...
  16. Viongozi wengi wa Serikali za Mitaa wapiga dili. TAKUKURU wamulikeni

    Salaam Wakuu, Leo kijana wenu nimeona niseme kidogo kuhusu kero ya rushwa na kutaka chochote kitu kwa Viongozi wengi wa serikali za Mitaa wakiwemo Wenyeviti, Wajumbe, Watendaji na wengineo wa ngazi hiyo. Kumekuwa na muendelezo wa tabia ya viongozi hawa kutaka pesa kidogo (rushwa) kila...
  17. Wewe ukifanya Kazi ya Polisi na TAKUKURU na Wao wafanye Kazi gani? Hebu tutafuteni Umaarufu kwa kufanya Mambo yenye Tija Kimantiki Kitaifa

    RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza mfanyabiashara (hakutaja jina) aliyechukua tumbaku za wakulima bila kuzilipia arejee Tabora mara moja kwa ajili ya kulipia tumbaku alizochukua kufuatia malalamiko kuwa wakulima hawajalipwa tangu mfanyabiashara huyo achukue tumbaku hiyo. Chanzo: habarileo_tz...
  18. Kwanini TAKUKURU na ZAECA zisiunganishwe kuwa chombo kimoja?

    Habarini za jioni wakuu. Naomba kutambua kwanini TAKUKURU na ZAECA zisiunganike na kufanya kazi moja chini ya Sheria moja inayofanana. Nashangaa hili sababu vyombo vyote vya kiulinzi na usalama ni vya Muungano na vinafanya kazi zao pamoja shida ipo PCCB na ZAECA Kwanini? Kwanini kisiwe...
  19. Simiyu: TAKUKURU yaeleza sababu ya matukio ya rushwa ya ngono kuwa siri

    Taasisi ya Kuzua na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Simiyu imesema watu wengi hawaripoti matukio ya rushwa ya ngono katika ofisi zao au mamlaka nyingine kwa ajili ya kuchukuliwa hatua. Mkuu wa TAKUKURU mkoani humo, Janeth Machulya ambapo ameeleza kuwa licha ya ofisi yake kutopokea taarifa...
  20. Lindi: TAKUKURU yabaini kasoro miradi ya Tsh 928,340,557

    LINDI: TAKUKURU YABAINI KASORO MIRADI YA TSH 928,340,557 Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Lindi imebaini kasoro katika miradi miwili yenye thamani ya shilingi 928,340,557 wakati wa mchakato wa kufuatilia miradi mkoani hapo kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2022. Mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…