takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mara: TAKUKURU yanusa ufisadi kwenye nyumba za ibada

    TAKUKURU YANUSA UFISADI KATIKA NYUMBA ZA IBADA Ndugu wana habari, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Mara katika kipindi cha miezi mitatu yaani Oktoba hadi Desemba mwaka 2020, ilitekeleza majukumu yake ya kisheria ya kiuchunguzi, uelimishaji umma, udhibiti na uokoaji na...
  2. Trafiki anaswa na TAKUKURU akiomba rushwa ya ngono

    Askari wa kikosi cha usalama barabarani, Peter Albert Moshi anashikiliwa na Taasisi ya Kupambana Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kuomba rushwa ya ngono kwa mama wa mtoto aliyegongwa na pikipiki ili aweze kukamilisha taarifa za uchunguzi wa ajali hiyo. Kamanda wa wa Takukuru...
  3. TAKUKURU sasa yasema inaanza kuchunguza Vyama vya Siasa kuhusu fedha za mfuko wa jimbo

    Najua kuwa mlengwa mkuu ameshajulikana na hapa Lema alicheza kama Pele. Ilikuwa ni suala la muda tu kwa wabunge waliopita wa CHADEMA kuanza kukumbwa na mshike mshike wa fedha za mfuko wa jimbo. Kama mlikuwa hamjui basi hii ndiyo sababu kubwa ya wao kuangushwa na mamlaka huko majimboni...
  4. I

    TAKUKURU ifuatilie nyendo za Engineer Hersi

    kuna kila dalili Engineer Hersi ananunua matokeo. hii hapa chini ni picha akiwa na bahasha za kaki katika moja ya mechi za ligi kuu ambazo ni yeye tu anaweza kutueleza kama humo ndani katia vitunguu au tangawizi. Takukuru fuatilieni, huyu mtu ataharibu soka letu.
  5. Hongereni sana TAKUKURU ( PCCB ) kwa Kuvitaja Vyuo Vikuu vya UDSM na UDOM ndiyo Vinara wa Rushwa ya Ngono

    TAKUKURU YABAINI VYUO VYA UDSM NA UDOM KUWA VINARA WA RUSHWA YA NGONO NCHINI Habari Kamili Gazeti la Nipashe la Leo ukurasa wa Pili. Nashukuru sana Chuo Kikuu changu bora na tukuka kabisa cha SAUT hakina huu Uhuni na Upuuzi na ndiyo maana kinatoa Geniuses tupu Tanzania.
  6. TAKUKURU kuchunguza kuhusika kwa Rais wa TFF kwenye ubadhilifu wa fedha CAF

    Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU imefanya mawasilino na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), ili kuchunguza ushiriki wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia katika kashfa ya ubadhilifu wa fedha iliyomuweka hatiani aliyekua Rais wa CAF Ahmad Ahmad. Kamati...
  7. TAKUKURU kuchunguza kuhusika kwa Rais wa TFF kwenye ubadhilifu wa fedha CAF

    Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU imefanya mawasilino na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), ili kuchunguza ushiriki wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia katika kashfa ya ubadhilifu wa fedha iliyomuweka hatiani aliyekua Rais wa CAF Ahmad Ahmad. Kamati...
  8. DPP, TAKUKURU na Polisi: Wasikilizeni CHADEMA. Kuna jinai kubwa imetendeka

    Kuna jinai kubwa imetendeka. Kuna uvunjaji mkubwa wa Katiba na Sheria za nchi umetokea. Mhusika lazima abainishwe na achukuliwe hatua kali za kisheria. Mambo yako hivi: CHADEMA wamesema na wanaendelea kusema kuwa hawakuwasilisha Orodha ya Wabunge wa Viti Maalum NEC. Hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu...
  9. TAKUKURU (PCCB) hebu tusaidiane 'Kulijibu' hili 'Swali' muhimu sana kwenu tafadhali

    Ni kwanini katika kila 'Vibanda' ambavyo Askari Barabarani (Traffic Police) huwa wanakaa kuna 'Mlundikano' mkubwa sana wa Magazeti na cha Kushangaza karibia yote utakuta yana zile 'Pini' bado hazijatolewa halafu na hata Wao wenyewe huwa hawana muda wa 'Kuyasoma' ila wanapenda tu kuwa nayo humo...
  10. J

    TAKUKURU yaokoa sh bilioni 12 zilizotaka kufisadiwa ujenzi wa stendi ya mkoani Mbezi

    TAKUKURU wameokoa zaidi ya sh bilioni 12 zilizokuwa zilipwe kwa mkandarasi anayenga stendi kuu ya mabasi ya mikoani. Fedha hizo zilikuwa zilipwe kwa kazi ambayo haikufanyika Ujenzi wa stendi hiyo ulianza wakati halmashauri ya jiji la DSM inaongozwa na CHADEMA. Maendeleo hayana vyama!
  11. TAKUKURU Mkoani Pwani yaokoa kiasi cha zaidi ya Shilingi Milioni 200 kwa miezi 3

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Pwani imefanikiwa kuokoa mali na kiasi cha zaidi ya shilingi milioni mia mbili katika kipindi cha robo ya tatu kuanzia mwezi wa Julai mpaka Septemba mwaka 2020 kutokana na kushughulikia malalamiko mbali mbali yaliyofanyiwa...
  12. J

    Je, una taarifa zozote za Rushwa?

    Je, una taarifa zozote za Rushwa? Iwapo utakutana na tukio la Rushwa mwananchi una wajibu wa kuwasilisha taarifa za tukio hilo katika mamlaka inayohusika na kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU. Wasiliana na wakuu wa mamlaka hiyo kupitia namba zifuatazo; 1.Arusha…………………0738 150 063...
  13. D

    Utafiti rushwa ya ngono wa TAKUKURU haukufanyika kisayansi

    Mimi ni mmojawapo wa watu waliosoma kwa undani taarifa ya Utafiti (si uchunguzi) ya Rushwa ya Ngono katika vyuo vikuu vya Dar es Salaam na Dodoma iliyotolewa na TAKUKURU. Ni jambo la kufurahisha kuona taasisi za serikali zinajua umuhimu wa kufanya tafiti ili kufikia malengo yake. Hivyo huu ni...
  14. TAKUKURU waonesha Rushwa ya ngono ilivyokithiri vyuoni

    MBINU inayoongoza kutumiwa na baadhi ya wahadhiri, kushawishi wanafunzi wa vyuo vikuu watoe rushwa ya ngono ni tishio la kuwapa alama za chini kwenye mitihani, imefahamika. Mbinu nyingine wanayotumia wahadhiri hao ni kujiunga kundi moja la whatsapp na wanafunzi na wahadhiri; na vitisho...
  15. TAKUKURU yaagiza milango 83 ya kituo kipya cha Afya kuondolewa kutokana na kukosa ubora uliohitajika

    Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa wilayani Hanang mkoa wa Manyara imemuamuru Mzabuni Ayubu Iyaka aliyepewa kazi ya kutengeneza na kupachika milango kwenye jengo la kituo cha Afya cha Hirbadaw, kuondoa milango yote 83 aliyoweka kwenye kituo hicho baada ya kubainika haina Ubora. Takukuru...
  16. Dodoma: TAKUKURU yawashikilia watu kadhaa kwa rushwa

    DODOMA: MWALIMU MKUU MBARONI KWA TUHUMA ZA RUSHWA ILI KUTOA CHETI Mwakangale Mangongose mwalimu mkuu wa shule ya msingi Karume, kata ya Kibaigwa Wilayani Kongwa anatuhumiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, TAKUKURU kwa rushwa ya Tsh 55,000 Mwalimu huyu anatuhumiwa kupokea hela hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…