Ndugu zangu Watanzania natumai hamjambo wote!
Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa niaba yangu na yenu mlio hai, wagonjwa na hata walio tangulia mbele ya haki usiku wa leo hata jana!
Ndugu zangu, mimi Sifi Leo tangu isomwe ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali mbele ya Rais nimeamua kila ifikapo saa...