Mtaani kwetu Manzese kuna tatizo kubwa la rushwa.
Yawezekana wengine mkaliona dogo lakini kwa watu wa chini ni maumivu makubwa iko hivi.
Kila mwezi kwenye baadhi ya serikali za mitaa ya kata ya Manzese anakuja mgambo ajiitaye afisa mazingira, na kazi yake kwa kushirikiana watendaji wa mitaa...