tamaa

Tammas is the first album by Samir Joubran duo with his brother Wissam Joubran, released in 2003 labelled "daquí", by Harmonia Mundi.

View More On Wikipedia.org
  1. Tamaa yangu siku zote ni mapenzi tu, nafurahi nimepewa vingi

    Sitazungumzia Mungu kanibariki kwa kiasi gani, kwa kifupi naweza kusema, I am blessed 🤗🤩 Mitihani ni mingi maishani lakini baada ya kufaulu mitihani hiyo, tunalipwa sawa na elimi zetu. nikutonye. Maandiko yanasema hivi... hakuna aliyeacha wazazi, ndugu, nyumba, watoto kwa ajili ya (kazi ya...
  2. P

    Naombeni utaratibu wa kuonana na Rais Samia

    Wakuu habari za jioni. Ni mimi kijana mzalendo wa taifa langu, pia mwanafunzi hapa mlimani , ndugu Wana jf nahitaji kuonana na MH: Daktari Samia Suluhu Hassan nipo na project proposal ya muhimu Sana ambayo itakwenda kuliokoa taifa hili na watu wote kwa ujumla. Najua wengi mtanidhihaki Lakini...
  3. S

    Yadaiwa mzee Ali Hassan Mwinyi (RIP) hajawahi KUKOPA wala KUKOPESHA. Maana yake hakuwa na tamaa

    Binafsi sijabahatika kukisoma na kukimaliza kitabu kinachoelezea maisha yake kilichoandikwa na mzee huyu mwingi wa ucheshi, uungwana na mbobevu wa lugha tamu ya kiswahili. Lkn kwa waliokisoma chote wanaeleza mengi sana yanayodhihirisha kuwa hakuwa mtu wa tamaa. Mojawapo ya maelezo hayo ni...
  4. Je, ni vema kukata tamaa baada ya kupoteza $20 kwenye biashara?

    Wakuu . Naombeni ushauri juu ya biashara gani nifanye sasa , yaani side hustle. Kwenye moja ya uzi hapa jf kuna thread ya "Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)" Akaeleza kitu kimojawapo ni kuangalia hobby yako. Binafsi mimi ni mtu ambaye hupoteza sana...
  5. F

    CHADEMA hongereni sana wananchi wanaanza kuwaelewa msikate tamaa kuwazindua wananchi wanahitaji mtu wa kuwasemea

    Juhudi za CHADEMA kuwasemea watanzania na kuwasaidia kujielewa na kuelewa hali zao zinaonekana kuzaa matunda. Ukweli ni kwamba watanzania wengi wanahitaji mtu anayeelewa mambo awafafanulie na kuwapa mwanga kwani kwa kawaida watawala hutumia mwanya wa watu kutoelewa mambo na kuwakandamiza...
  6. Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

    Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa. Awali ilielezwa kwamba Tundu Lissu angefanya mahojiano katika kituo cha Wasafi. Taarifa zisizowekwa wazi ni kwamba mahojiano hayo yamefutwa kufuatia maelekezo ya CCM --- Taarifa kutoka ukurasa rasmi...
  7. Mataifa ya Ulaya yameelewa somo la Hamas.Wanataka taifa la Palestina liundwe haraka.Netanyahu ana tamaa ya ushindi na Hamas wana shaka na juhudi hizo

    Mataifa kadhaa ya Ulaya miezi minne tangu vita vianze bila Israel kupata ushindi ilioutarajia yameunga mkono kuundwa kwa taifa la Palestina. Baadhi ya mataifa hayo ambayo yamekuwa yakpeleka wajumbe wao mataifa ya mashariki ya kati ni pamoja na Uiengereza,Ufaransa,Italy na Spain. Kuundwa kwa...
  8. Naibu Spika Zungu: Bodaboda wanakatisha tamaa, wasimamishwe

    "Suala la bodaboda ni kero kubwa sana na hasa katika utumiaji wa sheria za barabara, mimi ni mtetetezi mkubwa sana wa bodaboda lakini matumizi yao kwenye barabara yanakatisha tamaa lazima muwe na mkakati maalum wa kudhibiti ajali wanazozifanya na lazima muwe na sheria kali za kuwadhibiti na hata...
  9. R

    Kila mwanamke ninayetembea naye uolewa; nina nyota ya ndoa nimesaidia wengi waliokata tamaa

    Kuna mambo ukisimulia watu wanaweza wasiamini ila yapo. Nimetafakari sana kuhusu kusaidia kuolewa kwa wanawake. Nimekuwa nikikutana na wanawake wengi tunajadili maisha hasa sehemu za ulabu. Matokeo yake zaidi ya wanawake 85 niliokutana nao wakiwa na changamoto ya kutoolewa nikatembea nao...
  10. Wapalestine wenzangu mmeniacha peke yangu, msikate tamaa

    https://www.aljazeera.com/news/liveblog/2024/1/19/israels-war-on-gaza-live-us-support-for-israel-ironclad-despite-rebuff sisi Hamas.... tutaendelea kupeana tough na kuwatia moyo wenzetu. hali ya Israel najua kwa sasa ni mbaya sana wanakufa tu kama kumbikumbi. naona wenzangu kama mmepotea...
  11. Tungo: Acha tamaa za paka

    acha tamaa za paka, kuparamia majirani. roho ikakutoka, vya watu kuvitamani. mchana umeokoka, usiku hayawani. kila mtu wamtaka, umtupe kitandani. hebu punguza mizuka, na uache uhuni.
  12. Kamwe usikate tamaa

    Nimeona kushare na wanaJF
  13. Biden amekatishwa tamaa ikiwa anaamini "wameanza" tu kupoteza uungwaji mkono, walipoteza uungwaji mkono muda mrefu uliopita

    Wanaukumbi. https://x.com/qudsnen/status/1734635313849397334?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw Mambo yameanza kuwa magumu kwa Israel na Marekani hali tete baada ya Marekani kumtekeza Israel wameanza kushtuka hawafahamu hatina ya vita wanauwa raia wasikuwa na hatia na Hamas ndiyo kwanza wanaanza...
  14. Mbunge Cherehani: Vijana Msikate Tamaa Mnapoanza Mapambano ya Kufikia Ndoto Zenu

    “Ukiona kazi haina upinzani achana nayo, kazi yoyote ambayo ina maslahi kwa watu lazima iwe na upinzani,” - Mbunge Cherehani Mbunge wa Ushetu mkoani Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani amewasihi vijana kutokata tamaa pindi wanapoanza mapambano ya kuzifikia ndoto zao Mhe. Cherekani amesemaa hayo...
  15. A

    Achaa tamaa weka timu chache ushinde bet

    Watu wengi wakisikia neno bet, moja kwa moja wanahuisha na mpira wa miguu, ni kweli wapo sawa ila betting siyo kwenye mpira wa miguu tu hata kwenye michezo kama cricket, basketball, ngumi na michezo mengine, Embu tungalie kwa upande wa mpira wa miguu ambo unaongoza kwakua na mashibiki wengi...
  16. Channels nyingine za YouTube zinachekesha sana na kukatisha tamaa

    Habari wakuu, Inakatisha sana tamaa ndugu zanguni. Yaani unakuta channel imekuwa created miaka mitatu iliyopita, ina video kama nane hivi zenye length ya dakika 10 kila moja, contents unakuta ni nzuri tu, video ni HD 1080p, zina ng'aa sana, lakini unakuta video moja ina 276 views, iliyojitahidi...
  17. Tusidharau vijana. Haya matamko ya kuwasema vibaya na kuwakatisha tamaa yazuiwe

    Ninaandika kwa masikitiko makubwa kufuatia kuona watu mbalimbali maarufu (Public figures) wakitoa matamko yanayokatisha tamaa na kuwakera vijana. Siwezi kurudia yaliyosemwa ila mengi yana ukakasi. Ifike hatua serikali, CCM na upinzani wawe makini sana na watu wote hasa viongozi wanaotoa kauli za...
  18. Picha ya uso wa mtu aliekata tamaa ya kuishi baada ya kuhukumiwa miaka 22 Jela

    Hiyo picha ni ya mdada / Mbibi anaitwa Maria, ni mjane mwenye watoto wa 4 =========================== Update: 08/11/2023 https://www.jamiiforums.com/threads/tls-kumsaidia-aliyefungwa-miaka-22-kisa-nyama-ya-swala.2156049/ ========================== Haya, huyu hapa, Anaitwa Hakimu...
  19. Ninachokutana nacho kila nikijaribu kuingia kwenye mahusiano kinanifanya nahofia huenda nikabaki single hadi muda wa ndoa

    Naombeni ushauri wakuu. Leo pia nimeahirisha jaribio langu la kutaka kuingia kwenye mahusiano, hii ikiwa ni mara yangu ya nne sasa, na hiki ndio hupelekea mimi kukumbana na hali hii. 👉Msichana nayempenda na kudhamiria kumtongoza nakuja kugundua kuwa kuna mtu mwingne bora zaidi yangu (status)...
  20. Je, unaweza kumaliza tamaa kwa kudhibiti au kuomba?

    Kutamani ni hisia ambayo tumeumbwa nayo na haipo kimakosa miilini mwetu. Binadamu aliyekamilika lazima atazalisha hisia yoyote ile kutokana na anachokutana nacho kama njia moja wapo ya mawasiliano na mwili wake. Na hakuna hisia yoyote kwenye mwili isiyo na maana kwako. Kwanini hisia ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…