Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.
KOMREDI RAJABU ABDURRAHMAN ACHANGIA MILIONI 10 UJENZI WA ZAHANATI KIJIJI CHA MWEMBENI
"Katika kuitekeleza ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 nimechangia Tsh 10,000,000/ (milioni kumi) kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati katika Kijiji cha Mwembeni, Kata ya Madanga wilayani Pangani" - Komredi Rajabu...
Paul Makonda a.k.a Bashite wa Kolomije ameteuliwa hivi karibuni kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM.
Bashite ikumbukwe alikuwa mkuu wa Wilaya na Baadaye Shujaa alimteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
Bashite inasemekana amekuwa na kauli zisizo safi masikioni, be it kwa wadogo ama wakubwa zake...
Baada ya kukamilika miradi ya maboresho katika bandari ya Tanga, kumepelekea tija kubwa kuonekana katika nyanja tofauti ikiwemo kuongezeka kwa shehena na meli zinazohudumiwa katika bandari hiyo jambo ambalo linachangia ongezeko la mapato.
Hayo yamesemwa Jumanne tarehe 23 Januari, 2024 na Meneja...
BAADA YA MABORESHO KUKAMILIKA, BANDARI YA TANGA IMEFUNGUKA NA KUZALIWA UPYA, SHEHENA NA MELI ZAZIDI KUONGEZEKA
Na mwandishi wetu, Tanga
Baada ya kukamilika miradi ya maboresho katika bandari ya Tanga, kumepelekea tija kubwa kuonekana katika nyanja tofauti ikiwemo kuongezeka kwa shehena na meli...
Kilo ya sukari Tz imefika Tshs.5,000/, nadhani serikali inatakiwa itoe tamko kutupatia walaji mwongozo wa kufuata kutoka kwenye anguko hili.
Sababu tunayopewa ni dhaifu kwamba mashamba ya miwa yamefurika maji wakati TMA ilitoa tahadhari miezi 2 kabla ya mvua kushuka. Nadhani ni Tz pekee ambako...
Kwanza nianze kwa kuwapa salam.
Muende moja kwa moja kwenye malalamiko yangu. Ni jumanne ya wiki hii nyumba tunayoishi Mimi pamoja na wapangaji wenzangu tulikatiwa maji kutokana na baadhi yetu kulimbikiza malipo ya Ankara za Kila mwezi. Siku ya jumatano tulifanikiwa kulipa bili pamoja na faini...
Kufuatia hoja mbili kuhusu kilichotokea katika Hospitali mbili za Mkoani Tanga, mamlaka zimetoa majibu.
Hoja zenyewe ni hizi hapa:
= Hospitali ya Bombo kuna uzembe mkubwa. Inaumiza sana watu kutothamini uhai wa wengine
= Uzembe wa Wauguzi wadaiwa kusababisha mtoto mchanga kuvunjika mkono wakati...
UZEMBE KWA WAJAWAZITO WAKATI WA KUJIFUNGUA ULIOPELEKEA MTOTO MCHANGA KUVUNJIKA MKONO KATIKA HOSPITALI YA MAGUMGA WILAYANI KOROGWE KATA YA MAGUMGA
Mama aliyejifungua mtoto siku ya tarehe 15/01/2024 katika hospitali ya Magunga ameshindwa kuruhusiwa mpaka leo hii kutokana na tukio la mtoto wake...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake na Umma kuwa Kituo cha New Pangani kimepata hitilafu kwenye mitambo yake hali inayopelekea kituo kutozalisha megawati 68 na kusababisha upungufu wa umeme katika Gridi ya Taifa.
TANESCO imesema hali hii imeathiri upatikanaji wa...
Mradi wa REA uliopo TANGA, LUSHOTO BUMBULI, kata ya FUNTA kijiji cha MANGA. Ni mwaka wa 3 mradi haujakamilika.
Tulifika mpaka TANESCO wilaya kuwaeleza hawajafanya chochote (kama pesa za mradi zimeliwa basi) kama kitongoji kimoja hakimalizi nguzo 10 mwaka wa 3 mradi haukamiliki, basi tunaiomba...
Unapopanga mipango yako ya safari basi mkoa wa Tanga usiache kuuweka kwenye orodha yako. Mkoa wa Tanga umejaaliwa kuwa na mandhari mazuri na yenye kuvutia watembezi wengi wanaotembelea eneo hilo. Kuna vivutio mbalimbali vya utalii vyenye kukufanya usijutie maamuzi yako ya kuvitembelea vivutio...
MTAA WA MWALIMU KIHERE TANGA
Mwenye historia ya Mwalimu Kihere atuwekee hapa.
''Al Jamiatul Islamiyya Fi Tanganyika haikuwa na jingine isipokuwa kumuomba Idd Faiz Mafungo asafiri kwenda Tanga na kupata fedha zaidi kutoka huko.
Mwalimu Kihere alikuwa tayari amekusanya fedha hizo na alikuwa...
Hello,
Been a while since I posted here,,,nadhani vijana wenzangu mpo poa,,na wazee mpo fresh kabisa kiafya.
Mimi ni mchimbaji wa feldspar na nina migodi ya Golden Feldspar pamoja na carrot na mengine.
Sasa nilikuwa nina mgodi wangu mmoja wa Golden Feldspar ambao survey yake ime turn to...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) alitoa rai kwa Watumishi wote wa Taasisi za Umma zinazohusika na utoaji wa leseni na vibali mbalimbali kwa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutekeleza jukumu hilo kwa ufanisi bila kukwamisha biashara.
Dkt. Kijaji ameyasema hayo Novemba...
Wakuu nahitaji chumba cha kupanga kiwe Tanga mjini mtaa wowote ule kiwe chumba kimoja ambacho kinajitegemea tafadhari niambie bei yake hapa baada ya hapo nitumie namba PM.
Ova.
Mama mjamzito, Mariam Zahoro (30) Mkazi wa Kijiji cha Mumbwi Wilayani Handeni, Tanga amefariki dunia akiwa kwenye Kituo cha Afya Kabuku kilichopo Wilayani humo ikidaiwa kuwa alikosa huduma ya upasuaji baada ya kushindwa kulipa Tsh. 150,000 alizotakiwa kutoa kwa ajili ya huduma hiyo.
Tukio hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.