tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Ujio wa DP World: Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu

    Kuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World. Hii ni kinyume kabisa Mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati. Ieleweke kuwa suala la...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aisha Ulenge akizungumza katika Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva Uswissi

    MHE. ENG. AISHA ULENGE, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Akizungumza katika Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva Uswissi. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga, Mhandisi Mwanaisha Ulenge ameshiriki katika Mkutano wa 148 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaofanyika jijini Geneva...
  3. A

    DOKEZO Pangani: Taka hatarishi za hospitali zinaokotwa ufukweni, Serikali ichunguze wanaofanya michezo hii

    Wilaya ya Pangani, Kijiji cha Ushongo Mtoni kumekuwa na taka hatarishi za hospitali zinazoonekana ufukweni. Wanakijiji wameshuhudia Drip, Sindano na chupa za dawa mbalimbali ufukweni. Kuna Hospitali au Kituo cha Afya ambacho haifahamiki kinatupa taka zake baharini, yawezekana zinatoka hata...
  4. Mshana Jr

    Je wajua haya kuhusu Tanga?

    1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893. 2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School). 3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza. 4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza, Ubwari 1949. 5. Hospitali ya Kwanza (1st Modern...
  5. Christopher Wallace

    Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

    Ijue Tanga Mjini Na Maajabu Yake. Katika maisha yako jitahidi sana walau siku moja ufike Tanga, utakuja kunishukuru… Haya jionee maajab ya jiji la Tanga 1. Ikifika Saa 3 usiku Hakuna Daladala Utaona Barabarani. 2. Jiji Lina Watu 390K Lakini Ifikapo Saa 4 Huoni Watu Nje Usiulize Kwanini...
  6. Manyanza

    Je, wajua haya kuhusu Mkoa wa Tanga?

    1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893. 2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School). 3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza. 4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza, Ubwari 1949. 5. Hospitali ya Kwanza (1st Modern...
  7. Pfizer

    Tanga: Mbunge wa Lushoto na Mwenyekiti wa Halmashauri wadaiwa kuwindana kwa Risasi

    Mbunge wa Lushoto mjini Shaban Shekilindi almaarufu Boznia anahusishwa na tuhuma za kufanya njama ya kumpiga risasi Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Lushoto Mbaruku Matei. Kuhusishwa kwa mbunge huyo, kunatokana na kukamatwa vijana wanne waliokuwa waende kutekeleza mpango huo lakini pia mke...
  8. abdi basho

    Nauza dagaa nyama, niko Tanga mjini. Bei ni Tsh. 7000 kwa kilo, maongezi yapo

    Habari karibuni sana, nauza dagaa nyama niko Tanga mjini 7000 kwa kilo moja maongezi yapo. Karibuni 0718755347.
  9. GENTAMYCINE

    Nimewaonya mapema tu kuwa kamwe msiutumie Uwanja wa Jamhuri Morogoro kama wa Nyumbani, bali tumieni CCM Mkwakwani Tanga mmenipuuza Asanteni

    Sasa naomba kuanzia Kesho tarehe 6 Machi, 2024 na kuendelea tuwe tunahesabu Alama ( Points ) ambazo tutakuwa tunazipata katika Uwanja HATARI KWETU wa CCM Jamhuri Mkoani Morogoro ambako kwa UPUMBAVU WETU ndiyo tumeuchagua rasmi kuwa Uwanja wetu wa Nyumbani kwa Mechi zote za Ligi Kuu ya NBC...
  10. Chizi Maarifa

    Hotels za Tanga acheni huu upuuzi, mnatia kichefuchefu

    Mwezi mmoja uliopita nilifikia Hotel flani ya kipato cha chini tu ya tsh 80,000 per night. Nikakuta kandambili wamezikata eti mteja asije akaondoka nazo. Nikawaza sana. Yaani mteja anayelipa tsh 80,000 per night aondoke na kandambili za tsh 3,000? Kweli? Leo nimefikia Hotel nyingine ipo sehemu...
  11. Almalik mokiwa

    Changamoto ya maji wilaya ya Handeni mkoani Tanga ulikuwa mtaji wa kisiasa. Mradi wa htm ni taa ya giza la muda mrefu

    Anaandika Almaliki Mokiwa Februari 28, 2024. Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ni eneo lenye 6,534 km² lililopakana na Wilaya ya Kilindi upande wa Magharibi, Wilaya ya Korogwe na mkoa wa Kilimanjaro kwa upande wa Kaskazini huku likipakana na wilaya ya Pangani kwa Upande wa Mashariki na Mkoa wa...
  12. Pfizer

    Tanga: UWASA yazindua Hatifungani ya kwanza Afrika Mashariki ya Miundombinu ya Maji yenye thamani ya bilioni 53.12

    Tanga: Hatifungani ya kijani ya miundombinu ya maji yenye thamani ya Shilingi bilioni 53.12 imezinduliwa na Mamlaka ya Maji Tanga, taasisi ya serikali inayojitegemea. Hatifungani hii ya kwanza katika historia ya masoko ya mitaji nchini na ukanda wa Afrika Mashariki, inalenga kugharamia mradi wa...
  13. Roving Journalist

    Barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kupandishwa hadhi kuwa Barabara Kuu “TRUNK ROAD”

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuipandisha hadhi barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kuwa barabara kuu 'Trunk Road' ili kuinua uchumi wa mikoa ya Tanga, Morogoro na Njombe. Bashungwa, ameyasema hayo mkoani Morogoro wakati akikagua...
  14. J

    Barabara Ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe Kupandishwa Hadhi Kuwa Barabara Kuu “trunk Road”

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuipandisha hadhi barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kuwa barabara kuu 'Trunk Road' ili kuinua uchumi wa mikoa ya Tanga, Morogoro na Njombe. Bashungwa, ameyasema hayo mkoani Morogoro wakati akikagua...
  15. K

    Kwa Al Hussein Spare Parts, Tanga: Njoo ujipatie vipuri, betri na vifaa vingine vya magari

    Tunauza vipuri vya magari yote ya Japan, Uingereza, Singapore. Pia, magari madogo, makubwa kama fuso, canter, tata , n. k. Tupo barabara ya 20 Tanga. Piga simu namba 0713276892. Usisime spare, sema Kwa Hussein Pia tuna oil za aina zote, na tunafanya service na tuna fundi pia wa magari kwa...
  16. Jamii Opportunities

    Various Job Vacancies at Tanga Regional Referral Hospital (BOMBO) February, 2024

    The Tanga Regional Referral Hospital (BOMBO) would like to announce job opportunities for the following professions: Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 24/02/2024 Maombi yote yawasilishwe masijala ya Hospitali au kupitia barua pepe barua@tangarrh.go.tz
  17. Kalamu Nzito

    Natafuta wanunuzi/soko la dagaa kutoka Tanga aina ya Uwono

    Habari wana JF, Kwa wakazi wa Dodoma nina Dagaa aina ya uwono kutoka Tanga. Kwa anayehitaji au anayejua wapi ninaweza kupata wanunuzi wengi basi naomba anifahamishe ili tuwasiliane.
  18. S

    Ijengwe Barabara ya lami kutoka Karatu-Meatu-Bariadi na Meatu-Kolandoto-Shinyanga, Mafuta yachukuliwe Tanga utaona mabadiliko makubwa sana

    Mh. Rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan barabara tajwa hapo juu ni muhimu sana. Imarisha bandari ya Tanga, mikoa ya kanda za Kaskazini, kanda ya ziwa na nchi jirani za Burundi Rwanda na Uganda watachukulia mafuta bandari ya Tanga, Dsm ni mbali na kuna msongamano mkubwa. Pili barabara ya njia 4...
  19. R

    Mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani anazuga tu, hakuna anachofanya

    Barabara kama ile haiwezi kufanywa kwa magari mawili ya kusomba vifusi na compactor 2. Wamepewa hela na ili waonekane wako site ndio upuuzi wanaoufanya, kuzuga kuwa wako site kumba hamna lolote linalofanyika. Bashungwa or anybody in charge of this ministry, come and see!
  20. R

    Sukari tanga Tsh. 6,000 kwa kilo moja! CCM take note of that!

    Tumefika hapa tulipo. Rais Samia take note of that!
Back
Top Bottom