tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. Smith Rowe

    Natafuta chumba cha kupanga tanga

    Habari, Tanga kunani palee Wanajf natafuta chumba cha kupanga tanga maeneo ya kisosora au chumbageni au maeneo karibu na hayo. Chumba kiwe na choo ndani Bajeti yangu 70k kushuka chini.
  2. A

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 1 Ilikuwa ni siku chache kabla sijatimiza miaka 18. Nilipelekwa Tanga, kijiji kimoja kipo karibu sana na mpaka wa kwenda Kenya. Kabla ya kuingia huko kijijini ndani kuna ki mji kinaitwa Duga. Ilikua sio mara yangu ya kwanza kupelekwa huko kwa mambo ya...
  3. S

    Pre GE2025 Waliomshauri Rais Samia kuwatengua Nape na Makamba, wamempotosha. 2025 Rais Samia atakwama!

    Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi. Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia. Rais Samia hatoboi 2025. Pia Soma - Breaking News: -...
  4. THE BEEKEEPER

    Dua zenu wakuu mwenzenu nishalogwa huku sio bure wallah ila Tanga duh!

    Habari ndugu zangu Kama mnavo ona
  5. M

    Naishi Arusha nataka kulima Tanga, naomba ushauri

    Nina shamba la familia wilaya ya muheza, kilapura, Tanga. Ni shamba lenye ukubwa wa ekari 8. Mimi nafanya kazi Arusha, hilo ndo jambo kubwa linalonipa mashaka katika usimamizi. Japo naweza pata muda wa kutembelea shamba mara moja au mbili kwa mwezi
  6. maurice99

    House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba ipo Kange Mkurumuzi *Rooms 3 (Viwili master) *Sebule *Dinning *public toilet *Umeme *Maji Sqm 603 Price Milioni 39 (mazungumzo yapo) Call 0679991114 / whatsapp 0763316426
  7. Riskytaker

    Ngome ya CCM ipo Dodoma, Tanga na Pwani

    Ngome ya CCM ipo Dodoma, Tanga, na Pwani. Mikoa hii inathaminiwa na CCM, kwani wanapewa fadhila kwa kuwapa wabunge wao nafasi za uwaziri. Katika kipindi kijacho, tunaweza kuona viongozi kama: 2025: Samia Suluhu Hassan 2030: Kassim Majaliwa 2040: January Makamba 2050: Ridhiwan Kikwete...
  8. Mzee Mwanakijiji

    Swali la Kimkakati: Kwanini Tanga Isiunganishwe na SGR?

    Hili jambo najiuliza sijui kama kuna sababu ya msingi ya kwanini Tanga isiunganishwe kwenye SGR. Kuna mtu yeyote au imeonekana haina faida kiuchumi?
  9. Erythrocyte

    Pre GE2025 CHADEMA yaendelea kuiteketeza CCM Tanga, Hii hapa ni kata ya Makuyuni

    Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, Nanukuu "KILA LENYE MWANZO HALIKOSI MWISHO" Kwa Taarifa za Uhakika nilizonazo ni kwamba muda wa ccm kuwatumia wakazi wa Tanga kama Tambala la kudekia umekwisha Huu hapa ni Mkutano wa Chadema kwenye Kata ya Makuyuni ulioongozwa na Freeman Mbowe leo 04/07/2024
  10. JanguKamaJangu

    Freeman Mbowe, Lema wanaunguruma muda huu Kabuku, Tanga

    https://www.youtube.com/watch?v=2mJ3YbfEti0
  11. Tajiri wa kusini

    Nyie Viongozi wa Tanga nimeshindwa kukaa na wananchi wenu? Enyi watu wa Tanga kudanga sio kazi ebu fanyeni kazi Bwana

    Watu wa Tanga mnanishangaza aisee sie Wanawake wala wanaume Wote ni mwendo wa kudanga tu ili wapate pesa Za kula ila kufanya kazi hapana wananishikitisha Sana hawa watu wanaudhalilisha uislamu na kuonekana ni dini ya watu wasiopenda kufanya kazi kumbe Hapana ni watu tu wenyewe aisee Tanga...
  12. Tajiri wa kusini

    Wanawake na Wanawake wa Tanga fanyeni kazi,acheni umalaya uliokithiri

    Hali ni mbaya Sana kwa mkoa wa Tanga sijawahi kuona kiwango cha watu kuona Kama umalaya ni kazi yaani kwa watu wengi wa Tanga hususani wilaya ya Tanga,pangani na mkinga Kwao umalaya ni kazi yao Rasmi Yaani kiukweli wakati nahamishiwa Tanga kikazi niliwakula Sana mademu yaani Ulikuwa Haiwezi...
  13. R

    Waziri Bashungwa, tunaomba kujua upana wa barabara toka Mabanda ya papa, Tanga mpaka Pangani

    1. Kumekuwa na mkanganyiko wa upana wa barabara kutoka Mabanda ya Papa , Tanga Mjini kwenda Pangani particularly kipande cha kutoka Mabanda ta papa - Usalama- Comercial- Mwembe Duga- Mwakidira-Mwahako Darajani. 2. Mwanzoni mara ya kwanza walibomolea watu wakapisha upanuzi wa barabara...
  14. B

    Hostel ya vyumba 12 inauzwa tanga mjini million 55

    Hostel ya vyumba 12 ndani ya kiwanja cha sqm 412 inauzwa million 55 hostel ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi tanga. Kwa mawasiliano 0612630936 Attachments
  15. Roving Journalist

    Tume ya Madini yajipanga kukusanya Sh Trilioni 1, Mhandisi Samamba ataka kuongeza weledi na umoja katika utendaji kazi

    Wakati Bajeti Kuu ya Serikali ikitarajiwa kuwasilishwa kesho, Menejimenti ya Tume ya Madini imetakiwa kufanya kazi kwa weledi, umoja na mshikamano ili kufikia lengo la Serikali la makusanyo ya shilingi Trilioni moja kutoka Sekta ya Madini kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Hayo yamesemwa leo Juni...
  16. Mohamed Said

    Mtaa wa John Rupia Tanga

    MTAA WA JOHN RUPIA TANGA Moja ya vibao vingi vya Mtaa wa John Rupia kipo pembeni ya Msikiti Ngazija, Tanga. Nimefikia hoteli jirani na kwa hakika ni mkabala na msikiti huu na ndiyo nikabahatika kuona kibao hicho. Nilipata kuwauliza wahusika miaka mingi nyuma wakati naishi Tanga walipotoa jina...
  17. Mohamed Said

    Dua ya Kura Tatu Mnyanjani Tanga 1958

    Historia ya uhuru wa Tanganyika imetawaliwa na dua zilizokuwa zikifanywa kuomba salama na ushindi kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mtu wa kwanza kulieleza hili alikuwa Mwalimu Nyerere Ukumbi wa Diamond alipokuwa anaagana na Wazee wa Dar es Salaam mwaka wa 1985. Katika utafiti wangu nimekuta kuwa dua...
  18. jastertz

    Tetesi: Tanga: Kinachoendelea Tanga kinatishia usalama wa raia na mali zao.

    Habari, Taarifa zisizo rasmi Tanga mjini imejikuta katika hali ya sintofahamu kutokana na uvamizi wa watu nyakati za usiku na kuporwa. Waandishi wa habari Tanga wamenyamaza hawaripoti taarifa kama hizo ili watu wawe makini katika shughuli zao,,, tukio kubwa limetokea barabara ya 3 kwa...
  19. Pdidy

    Mwanafunzi wa Upadri aliyejinyonga Tanga atazikwa kikristu?

    Huu mwezi wa majanga ya kujinyonga tu, kaanza Askofu, kafata mwanafunzi akisomea upadre amebaki masister nao mjihadhari na hii roho mtaumbuka. Nimeona huyu askofu amezikwa kikristo baada ya kujinyonga. Swali langu, roman catholic kutokana na sababu za dogo kujinyonga zinaeleweka nae mtamzkka...
Back
Top Bottom