tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    RC Tanga: Wawekezaji wasiolipa fidia wanyang’anywe ardhi

    Mkuu wa Mkoa amesema ana taarifa za baadhi ya wilaya kuwa na wawekezaji waliotakiwa kulipa fidia Sh400 milioni kwa wananchi takribani, lakini wameshindwa kulipa huku wakiendelea kushika ardhi ya wananchi. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Buriani amewaagiza wakuu wa wilaya kuhakikisha...
  2. U

    Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu?

    Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu? Wadau hamjamboni nyote? Nauliza kwa Mkoa wa Tanga wasambaa na wazigua wapi wapo vizuri zaidi kwenye usomaji kitabu? Aksanteni
  3. S

    BAWACHA mkoani Tanga wanathibitisha utekaji na uuaji hauwafanyi watu kuwa waoga, bali kuwa majasiri wasio na lolote la kupoteza

    Hawa watu kama wanafikiri kuteka na kuua watu ndio kutafanya watu wawe waoga, kwa hakika wanakosea sana, na aliewashauri aliwadanganya kwa kutokuja na kwa kutofanya research ndogo tu kujua kama vitendo hivi sehemu zingine duniani zimewahi kuwa msaada kwa watawala. Hapa napoandika, huko Tanga...
  4. The Palm Beach

    Video: Hii ndiyo hotuba ya M/kiti - CHADEMA Freeman Mbowe akiongea kwa hasira kwenye mazishi ya msiba wa Mzee Ally Mohamed Kibao, Tanga

    Sijui Mch. Peter Msigwa anaweza kuwa na maoni gani akimwona mwamba Freeman Mbowe hasimu wake akiwa katika ubora wake kama hivi Hii ilikuwa ni baada ya kuwa tukio la kuzomewa kwa Waziri Hamad Masauni na kushindwa kutoa hotuba yake kutokea na Freeman Mbowe kutuliza waombolezaji na baadaye...
  5. Msanii

    Waombolezaji Tanga wametupatia mwongozo. TUWAZOMEE kila kona

    Jana tarehe 09 Septemba 2024 tumeshuhudia mazishi ya marehemu Ally Kibao aliyetekwa na wanaosadikika ni polisi na hatimaye kuokotwa kesho yake ameuawa. Kilichojiri msibani ni pale waombolezaji walipomzomea Waziri wa Mambo ya Ndani mwenye dhamana ya Jeshi la Polisi Injinia Masauni. Ikumbukwe...
  6. je parle

    Waliomteka na kumuua Mzee Ali Mohamedi waajua kama watu wa Tanga wana nongwa?

    Moderator naomba uzi wangu usiunganishwe na uzi mwingine sehemu yeyote. Tafadhali. Niende kwenye mada hapo juu. Katika hii mission ya kumdhuru huyu mzee ambae hakuwa na impact yeyote kwenye nchi bali alikuwa na impact katika maisha yake na watu wake waliomzunguka . Nipende kusema kwamba hawa...
  7. Tanki

    Hebu tuambiane ratiba za Minada au Magulio kwenye mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Tanga, Dodoma n.k

    Habari wakuu, naamini hii itasaidia Kwa wafanyabiashara na wanunuzi. Hebu Leo tuambiane siku ambazo magulio / minada / hufanyika. Naomba nianze na Dar es salaam nilipo. Kivule Sokoni = Kila Jumanne Kitunda = Kila Ijumaa TABATA Kinyerezi (Mahakamani jirani na Kinyerezi park ) = Kila Jumatatu...
  8. Cleverman324

    Mkoa gani nje ya Dar naweza kufanya kilimo cha mboga na matunda?

    Wasalam wadau, Naomba mawazo yenu. Binafsi nimekuwa mid town hunter kitambo Sina ujanja wa kutosha kuhusu haso za nje ya Dar, sasa naomba ushauri wenu kuhusu location nzuri ya haso za uhakika nje ya jiji la Dar kwa mtaji wa mil 7+ Natamani nijue eneo nitakapoweza kufuga na kufanya kilimo cha...
  9. Cute Wife

    Mjumbe Kamati Tendaji Tanga ashambuliwa baada ya kukamatwa na Mwenyekiti UVCCM pamoja na green guard

    Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Tanga wa CHADEMA Husein Ally jana Sep 5, 2024 alichukuliwa na Mwenyekiti wa UVCCM pamoja na green gurd ambao walimpeleka ofisi za CCM Masiwani Ground wakampiga. Baada ya hali kuwa mbaya inasemekana waliwaita polisi kumchukua, viongozi wengine wa BAVICHA walipata...
  10. BARD AI

    Tanga: Mahakama yazuia Dhamana ya Kombo Mbwana, ataendelea kubaki Rumande

    Baada ya mvutano wa siku kadhaa kuhusu dhamana ya kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana, Mahakama ya Wilaya ya Tanga imeuhitimisha kwa kufunga dhamana yake. Uamuzi wa kufunga dhamana umetolewa Alhamisi, Septemba 5, 2024 na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya...
  11. Gemini AI

    Nishati: Mafuta yashuka Bei bandari za Dar, Tanga na Mtwara

    Bei ya Bidhaa za Mafuta imepungua kwa Mwezi Septemba 2024 ambapo Bei ya Petroli imepungua kwa Tsh. 91, Tanga kwa Tsh. 88 na Mtwara imepungua Tsh. 162 kwa kila Lita Dar Petroli itauzwa kwa Tsh. 3,140, Dizeli Tsh. 3,011 na Mafuta ya Taa Tsh. 3,121. Tanga Petroli Tsh. 3,141, Dizeli Tsh. 3,020...
  12. D

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga jitafakari, unakigawa chama kwa safu yako

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, CCM mkoa wa Tanga, unachokifanya ni hatari mno kwa mustakabali wa chama mkoani hapa ukishirikiana na swahiba wako Abdul mtoto pendwa wa Rais Samia. Hatua yako ya kuandaa safu ya unaotaka wawe wabunge 2025 tofauti na utaratibu wa chama haukubaliki. Unawagawa...
  13. R

    DOKEZO Waziri wa Ujenzi, Bashungwa barabara ya Tanga TO Pangani mmeitelekeza? Mbunge Ummy saidia barabara hii itengenezwe

    Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi? Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni kero sana walivyoiacha
  14. LA7

    Kwanini ni lazima waende tanga mdomera?

    Kwani arusha hii imejaa kiasi cha kuwapeleka wamasai huko msomera, Au wangetenga tu eneo huko huko ngorongoro kama kijiji maana nyumba za huko zipo mbali mbali na wakatumia mbinu ambayo ingechukua muda kuwahamisha kuliko kuwahamisha kwa mkupuo, Maana kuna wengine wana ndugu zao wanaona ni...
  15. Tlaatlaah

    Ni wakati muafaka Watanzania kuipongeza serikali na wananchi wazalendo wa Msomera Tanga kwa kuinusuru hifadhi ya Ngorongoro kupotea

    Wananchi wazalendo wa msomera mkoani Tanga, ambao hapo kabla walikua wakiishi ndani ya hifadhi ya Taifa ngorongoro, ambapo baadae kwa kushauriana na mamlaka za serikali, na kwa hiyari na utashi wao, Lakini pia kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa, na urithi wa vizazi vijavyo, wananchi wale...
  16. K

    Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga: Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako

    TAARIFA KWA WATEJA KANDA YA KATI NA KANDA YA KASIKAZINI MABORESHO YA MITA ZIMEBAKI SIKU Kwa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako HATUA YA KWANZA: Pindi unaponunua umeme kwa simu au wakala wa kuuza...
  17. A

    January na Oddo Ummy karibuni Nyumbani Tanga

    Haya Wana Tanga, karibuni kwenye mapokezi ya kishindo ya wanetu Oddo Ummy na January; MAHALI: Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. TAREHE: 19 Agosti 2024, MUDA: Saa 8 Mchana. Chakula, Vinywaji na burudani vitakuwepo. NB: Msafara utaanzia Maweni mpaka Mjini (Mkwakwani Stadium) - Nyumbani ni nyumbani...
  18. K

    KAA TAYARI: Wateja wa LUKU wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Kuna zoezi la Maboresho ya Mfumo

    KAA TAYARI: Ni zoezi la Maboresho ya Mfumo wa LUKU kwa wateja wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Sasa ni zamu yenu, tunawafikia hivi karibuni..! USIBAKI NYUMA Usiache kufuatilia Taarifa kwenye Mitandao ya kijami na vyombo vya habari kuhusu zoezi hili...
  19. Ustadh tongwe

    Ninahitaji fundi tiles, site ipo mkoa wa Tanga

    Habari km kichwa Cha habari kinavyoonyesha nnahitaji fundi tiles site ipo mkoa wa Tanga naomba na fundi wakuwepo Tanga maana kazi yangu ni kubwa Hila sio ya kutengeneza Kwa mara moja ndio maana nnataka fundi wa huku huku Tanga maana tutakuwa tunapga vyumba viwili tunakaa wiki tunapga Tena Sasa...
  20. Msanii

    Tutamkumbuka kwa lipi Ummy Mwalimu?

    Uteuzi uliofanywa na Mhe. Rais SSH tatehe 14 Agosti 2024 umemtema nje bi Ummy Mwalimu kutoka Wizara ya Afya. Kutokana na unyeti wa Wizara ya Afya, umuhimu wake ni mkubwa kwenye jamii. Pamoja na kusimamia sera ya Afya nchini lakini ndiyo wizara inayosimamia taaluma ya wahudumu wa Afya. Je tuna...
Back
Top Bottom