Wapi wanaongoza kwa ulozi kati ya Tabora, Kilimanjaro, Tanga, Katavi na Lindi?

Wapi wanaongoza kwa ulozi kati ya Tabora, Kilimanjaro, Tanga, Katavi na Lindi?

Braza Kede List ya vinara wa Ulozi hawa hapa:
1. Kilimanjaro
2. Katavi
3. Tabora
4. Tanga
5. Lindi

List inafuata ukonki kwenye masuala ya ndumba. Ila soma kuanzia chini kwenda juu na no 1 iondoe kwenye list. If you know you know
 
Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara.

Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao?

Je kuna waliosahaulika hapo?
Ungetaja hasa kuloga eneo lipi

Kilimanjaro inongoza kitaifa kwa familia nyingi kuwa na mazezeta majumbani waliologwa na ndigu zao ili wao wafanikiwe kimaisha Wanafuatiwa na wapemba

wakinga wanashika nafasi ya kwanza kitaifa kwa kufuga misukule ili wafanikiwe
 
Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara.

Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao?

Je kuna waliosahaulika hapo?
Kilimanjaro wana ulozi gani? Hiyo jamii ina import kutoka mikoa uliyotaja ila hawana uloz wa maana
 
Back
Top Bottom