Wapi wanaongoza kwa ulozi kati ya Tabora, Kilimanjaro, Tanga, Katavi na Lindi?

Wapi wanaongoza kwa ulozi kati ya Tabora, Kilimanjaro, Tanga, Katavi na Lindi?

Kitu pekee kinachokulinda ni kutokuwa na hofu juu ya hayo mambo, na pengine kutojichanganya kwa 80% kwenye jamii ya watu wengi, hasa uswahilini... Ukiwa ni mtu wa mambo yako tu peke yako, watu wanajawa na hofu pia ya kukuingia...
Nikiumwa naenda hospital ,dawa za mitishamba ni nyingi sana za kila ugonjwa ,lakini mambo ya kuambiwa mtu fulani kakufanyia kitu hiki siamini...Mtu akae kwake halafu aniroge huoni kama haiingii akilini kabisa.
 
Yaani unakuta msomi anaogopa kurogwa ,hao wachawi hawaa hizo nguvu mpaka uwe unaamini huo upumbavu wa uchawi.

Haupo kabisa ni story zilizotamalaki kwenye jamii ya watu wajinga na masikini. Hapo Dar tu panapoongoza kwa elimu na kipato nchini huwezi sikia hizi story let alone nje walikoendelea. Huwezi kuta habari za mtu kupaa au kujifungua jiwe BBC, CNN au al Jazeera zipo kwenye blogs za njombe yetu, Mbeya yetu, Geita yetu nk.
 
Kwani hujui watu wa 'Murima' wanasifika na nini Mkuu?😅
Screenshot_20250330-193226_Chrome.jpg
 
Basi Tanga hakuna ,anayoongelea Mwakinyo ni upuuzi kwa sababu yeye mwenyewe ni mshirikina anaenda kwa waganga baadaye anakuja kusema watu wanamroga.
kwaiyo unatuhakikishia Tanga ya mwakinyo haijui mambo lolote kuhusu ulozi? ni tanga ipi hiyo kiongozi?
 
kwaiyo unatuhakikishia Tanga ya mwakinyo haijui mambo lolote kuhusu ulozi? ni tanga ipi hiyo kiongozi?
Hao walimu wamekuja na vitu zao hazipatani na ardhi ya kilimanjaro mangiile ardhi inabarikiwa kila mwaka mzee usione watu wanaenda kila mwaka nyumbani nikubariki ardhi,familia na uko mzima hakuna sehem kuna shule nzuri na bora kama kilimanjaro fanya utafiti tokea zamani hawa walimu wa juzi wanasema nini waache ujinga wafanye kazi kama hawataki vituo vya kazi aseme straight
 
kwaiyo unatuhakikishia Tanga ya mwakinyo haijui mambo lolote kuhusu ulozi? ni tanga ipi hiyo kiongozi?
Hamna chochote , Mwakinyo ni mshirikina bado mtoto mdogo tena mshamba kabisa ...Yule anaamini waganga ndiyo maana imani yake inampeleka huko.
 
Back
Top Bottom