Wapi wanaongoza kwa ulozi kati ya Tabora, Kilimanjaro, Tanga, Katavi na Lindi?

Nyie mnaoishi mbali ndiyo mnajadili hayo mambo , nimeishi Tanga miaka zaidi ya 24 hakuna huo upuuzi ...Ni wajinga wachache wanaomini ...Hakuna ulovi ni kujishtukia ,kila mtu yuko busy na maisha yake.

Ujinga bado ni janga la taifa.
 
Nadhani yakiandaliwa mashindano ya kulogana watakaoburuza mkia ni kutoka kilimanjaro. Huko kanda ya ziwa ndio wanaweza hayo mambo
Nenda usangi na ugweno ndio utajua wapo kilimanjaro au Kenya

Juzi watu wameanguka kanisani huko hai.

Et ulozi hakuna.
 
umejuaje kiongozi?
uyu mkuu min -me ndio mlozi mkuu wa uko au?
Kuna uzi hapa wa shule haitaki wageni huko kwenye jina la mlima mrefu, sasa watu waliowahi kuishi na kufundisha huko walikuja na kuandika waliyowahi kukutana nayo huko ikiwa pamoja na ndumba nangai
 
Simiyu, Mwanza na Shinyanga hawamo? Mikoa hiyo kama nyumba ina watu 10,possibility ya 8 kuwa wachawi ni kubwa.

Ukioa mwanamke wa huko, probability ya huyo mke kuwa mchawi ni 80 asilimia
Ongeza na geita
 
Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara.

Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao?

Je kuna waliosahaulika hapo?
Katavi😂😂
 
Kuna uzi hapa wa shule haitaki wageni huko kwenye jina la mlima mrefu, sasa watu waliowahi kuishi na kufundisha huko walikuja na kuandika waliyowahi kukutana nayo huko ikiwa pamoja na ndumba nangai
Hiyo ni mizimu tu,ila kilimanjaro hawajui ndumba
 
Nyie mnaoishi mbali ndiyo mnajadili hayo mambo , nimeishi Tanga miaka zaidi ya 24 hakuna huo upuuzi ...Ni wajinga wachache wanaomini ...Hakuna ulovi ni kujishtukia ,kila mtu yuko busy na maisha yake.
Itakuwa Tangawizi hiyo, sio Tanga jiji, zamani ilikuwa waja leo waondoka leo, siku hizi waja leo kuondoka majaaliwa.
 
Kwa dar ni rahisi kuamini ukiona hivo ujue halijakukuta jambo chief 😂😂tulia
Sijawahi kurogwa na hizo drama nimeziona sana ...Kuna mwanamke mmoja alikuwa ana mambo haya ya ugangq ,kazi kubwa ni kugombanisha watu , unasikia anakuambia '' njoo nikufanyie dawa mtu fulani anakuroga'' anamtaja mpaka jina ,ukiwa mjinga utapigana na kuchukia watu kila siku.
 
Toa Kilimanjaro, yaani ifute fasta na uweke Rukwa na then utafute namna ya kuzichomeka Njombe, Shinyanga na Pemba.
Napinga Kilimanjaro kutolewa sasa hivi wanatisha kwa ulozi

Wanasafiri kila kona kununua uchawi wa utajiri

Wanaumiza ndugu zao hasa kuwafanya mazezeta,misukule ,walemavu wa akili au viungo ,vichaa au wenye combination ya vyote

Kilinanjaro wamejaa kibao na wengine huwafungia majumbani
 
Itakuwa Tangawizi hiyo, sio Tanga jiji, zamani ilikuwa waja leo waondoka leo, siku hizi waja leo kuondoka majaaliwa.
Nimeishi mpaka kesho kama nitakuwa hai ,labda nikufundishe michezo wanayofanya wale lambalamba naijua mwanzo mwisho ni utapeli na sanaa ...Hakuja uchawi wa serious...Hakuna mtaa Tanga jiji siujui .
 
Sijawahi kurogwa na hizo drama nimeziona sana ...Kuna mwanamke mmoja alikuwa ana mambo haya ya ugangq ,kazi kubwa ni kugombanisha watu , unasikia anakuambia '' njoo nikufanyie dawa mtu fulani anakuroga'' anamtaja mpaka jina ,ukiwa mjinga utapigana na kuchukia watu kila siku.
Mimi kwakwer naamini hili jambo maana limenikuta 😂
 
Sijawahi kurogwa na hizo drama nimeziona sana ...Kuna mwanamke mmoja alikuwa ana mambo haya ya ugangq ,kazi kubwa ni kugombanisha watu , unasikia anakuambia '' njoo nikufanyie dawa mtu fulani anakuroga'' anamtaja mpaka jina ,ukiwa mjinga utapigana na kuchukia watu kila siku.
Kitu pekee kinachokulinda ni kutokuwa na hofu juu ya hayo mambo, na pengine kutojichanganya kwa 80% kwenye jamii ya watu wengi, hasa uswahilini... Ukiwa ni mtu wa mambo yako tu peke yako, watu wanajawa na hofu pia ya kukuingia...
 
We amini Kisha usiyafuatilie kijana wa Yesu utakua swafi kabisa
 
Back
Top Bottom