Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
- Thread starter
- #81
🙃🙂Yeye ni mlozi 🤣🤣ukiona mtu anahusudu mambo ya kushirikina basi ni muumini wa mambo hayo
🙃🙂Yeye ni mlozi 🤣🤣ukiona mtu anahusudu mambo ya kushirikina basi ni muumini wa mambo hayo
daah basi labda tuseme tu ulozi haupo na wala haujawahi kuwepoHamna chochote , Mwakinyo ni mshirikina bado mtoto mdogo tena mshamba kabisa ...Yule anaamini waganga ndiyo maana imani yake inampeleka huko.
mkuu umekuwa mkali sana kuihusisha k/njaro kwa jambo hili. Una hisa pande izo au?Hao walimu wamekuja na vitu zao hazipatani na ardhi ya kilimanjaro mangiile ardhi inabarikiwa kila mwaka mzee usione watu wanaenda kila mwaka nyumbani nikubariki ardhi,familia na uko mzima hakuna sehem kuna shule nzuri na bora kama kilimanjaro fanya utafiti tokea zamani hawa walimu wa juzi wanasema nini waache ujinga wafanye kazi kama hawataki vituo vya kazi aseme straight
sawa kiongoziSongwe unaiacha wapi kwa Wanyiha?
Nasikia Kilimanjaro wananunua ulozi ..... Hata sielewi ndio inakuwaje.....Braza Kede List ya vinara wa Ulozi hawa hapa:
1. Kilimanjaro
2. Katavi
3. Tabora
4. Tanga
5. Lindi
List inafuata ukonki kwenye masuala ya ndumba. Ila soma kuanzia chini kwenda juu na no 1 iondoe kwenye list. If you know you know
Wanapata kwa ndugu zao Wakamba na watani zao Wasambaa na Wapare.Nasikia Kilimanjaro wananunua ..... Hata sielewi ndio inakuwaje.....
Kwa Tanzania sasa hivi Kilimanjaro ndio wanunuzi wakubwa wa uchawi TanzaniaNasikia Kilimanjaro wananunua ..... Hata sielewi ndio inakuwaje.....
We unapafahamu Tanga au unapasikia?Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara.
Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao?
Je kuna waliosahaulika hapo?
kukoje mkuu mwaga nondo mkuuWe unapafahamu Tanga au unapasikia?
Eti kawaachaje hii mikoaSimiyu na kigoma je?