Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini imesema inalaani hatua ya Korea Kaskazini kupeleka silaha kwa kampuni binafsi ya kijeshi ya Urusi ya Wagner Group.
Wizara hiyo imesema leo pia inaunga mkono shinikizo la Marekani kuliwasilisha suala hilo mbele ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa...
Matajiri na wanasiasa wanataka uraia pacha utakao wafaidisha wao na watoto wao tu. Toka uhuru, wao ndiyo wenye uwezo wa kupata passport na kwenda nje kwa urahisi. Watoto wa masikini wamejazwa vikwazo kibao juu ya kutoka nje ya nchi. Yaani vikwazo vilivyopo ni ngumu watoto wa kimasikini...
Peace be with you all,
Wakuu kumekua na mitindo au style nyingi za pikipiki zikija na madoido ya mahali tofauti tofauti pa ufungwaji wa plate numbe kama nyuma, mbele, juu ya carry bar kwa piki piki kubwa kama baja, XL na XLR.
Sasa kuna piki piki ameagiza jamaa yangu yenyewe haina sehemu ya...
Kadri siku zinavyoenda taratibu taratibu wakawake wa kiafrika wanaanza kuelewa thamani ya rangi ya ngozi zao.
Siku hizi ile kasi ya wanawake ku-bleach ama wanaita kukrimu rangi ya ngozi zao waonekane weupe inapungua ama inaelekea kuisha kabisa. Sasa wanawake wanajikubali kwamba ngozi yao nyeusi...
Wana-Jukwaa habari ya muda huu, naomba kufundishwa jinsi ya kupata hati miliki ya nyumba, baada ya kuandikishana kwenye kitongoji husika sasa nahitaji kupata Hati Miliki
Natanguliza shukurani.
Kuwe na Mabasi Maalum ya Waoga wa Kufa ( yaendayo taratibu ) kama sasa na pia kuwe na Mabasi Maalum ya Tusio Waoga wa Kufa ( yaendayo kasi ) ili tusichoshane humu Barabarani.
Haiwezekani kutoka Dar hadi Moro zamani ukipanda Abood Dereva akiwa Dula Bedui ( sasa Marehemu ) unatumia dakika 90 au...
FAHAMU kuhusu TALAKA na taratibu zake KISHERIA.
It's me
Mr George Francis
0713736006
mr.georgefrancis21@gmail.com
TALAKA ni ruhusa au amri ya kisheria inayotolewa na Mahakama pale ambapo mume au mke anataka kumwacha mwenzake. Hii ni hati inayoidhinisha kuvunjika kwa ndoa baina ya wanandoa...
Wakuu Salam kwenu.
Naomba kujua namna ninaweza kufika Lusaka Zambia.
Nauli hadi kufika, gharama za maisha na mambo mengine muhimu.
Pass imeexpire so nitahitaji emergency travelling documents, je ninaweza kuzipata pale uhamiaji mpakani?
Na kuhusu visa, je inahitajika au ni visa free? Na kama...
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said katika Mkutano wake na wana Yanga SC katika Mikutano yao ya Kikatiba aliwahi kusema kuwa Udhamini wa Jezi wa GSM kwa Yanga SC umeipatia Klabu hiyo Tsh Bilioni Nane ( 8 ) kwa Mwaka na Mazuzu kama Kawaida yao Wakamshangilia na Kushangilia.
Jana tu Rais wa Yanga...
Wanasheria au Mawakili, Mahakimu na Majaji hawako juu ya Sheria bali pia wanaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na hata kushtakiwa kama mtu mwingine yeyote.
Makala hii inahusu jinsi ya kuwawajibisha waliotajwa hapo juu kwa makosa ya kimaadili tu.
1: TUANZE NA MAWAKILI BINAFSI
Sheria...
Hii ni story ya kweli ya ndoa yangu iliyodumu kwa miaka Saba (7)....lengo la kuandika bandiko hili ni Kwa wadau ambao wanataka kufunga ndoa au kuingia katik Maisha ya ndoa..wajifunze kitu Fulani hapa
Kabla ya kukutana na mke wangu nilikuwa katika mahusiano na binti mmoja hivi....lkn mahusiano...
Masharti kwa waandishi wa habari katika nchi zenye changamoto ya utawala wa kiimla. Upatikanaji wa habari ni mdogo zaidi na waandishi wa habari wanaweza kupata udhibiti, mateso, na vitisho kwa Maisha yao. Nchini Urusi, kwa mfano, uvamizi wa Ukraine umesababisha sheria mpya inayozuia uhuru wa...
Ndani ya miezi 12 tumeona mifumuko ya bei kuanzia bei ya mkate, unga, nyama hata nauli ya basi. Wengine wameamua kurudi kijijini kwa ugumu wa maisha na wengine wamehamia kwa ndugu kupunguza makali ya kodi ya nyumba.
Ukweli halisi matabaka yote ya watu yanahitajika mjini ili maisha yaende leo...
HATUA NA TARATIBU ZA KUFUNGUA MAOMBI YA KUSIMAMIA MIRATHI
Je, mtu akifa na ameacha mali, haijalishi kuna wosia au hakuna wosia, zipi ni hatua za kufata ukitaka kufungua shauri la mirathi au ukitaka kuteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi?
Imeandaliwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke - Advocate...
Vijana wapo wanachapa kazi angalau huwez fananisha na miaka ya nyuma
Namuomba Ndugu Samiah Suluhu hakikishe anafufua sekta binafsi ili vijana waweze Kupata Ajira kwa wingi Kama enzi za Mzee Mrisho Jakaya kikwete. Au Mzee Mwinyi.
1. Je, kuna hatua ngapi katika kusajili chama?
Ndio, kuna hatua mbili. Usajili wa muda na usajili wa kudumu.
2. Je, ni nini kinahitajika ili kupata usajili wa muda?
• Wanzilishi wawili watawasilisha maombi ya usajili wa muda kwa kujaza fomu maalumu wakiambatanisha na katiba na kanuni za...
Wakati nikiwa katika harakati mjini hapa kwenye bandari ya salama.
Nikakutana na kundi kubwa la abiria , konda na dereva wa gari la abiria wakiwa wamemzunguka ofisa mmoja wa polisi.
Kutaka kujua kinachoendelea nikajifunza kwamba ile gari ya abiria ilikamatwa kwa kosa la kupakia abiria kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.