Tarehe 7 mwezi Aprili 2022, kwa mara nyingine tena Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina LM kupitia Chaneli ya Mtandao wa YouTube ya Dar24 alijitokeza hadharani kuishambulia Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Rais, Samia Suluhu Hassan (SSH) kwa kivuli cha kumshambulia Waziri wa Nishati...
Mwenge umelaaniwa na vitabu mbali mbali vya maandiko tofauti, mathalani kwenye Biblia kitabu cha Isaya 50:11 kinaeleza kwamba kwa kukimbiza mwenge tutalala kwa huzuni, kulala kwa huzuni ni kutofanikiwa kwenye mambo yako.
Magufuli alitambua kuwa ili rasilimali zetu ziweze kutufaidisha ni...
Kwa wana JF wenzangu
Najua tuna pata wanachama wapya hapa JF kila siku hivyo nimeona nikumbushe mambo machache hapa
1. Hoja inayolenga kuchafua Biashara/ Brand
Naomba tena niwaombe sana: isiwe kila mtu akiona kasoro flani hata hana hakika kuwa imetoka moja kwa moja kwa mzalishaji anakuja hapa...
Habari zenu wakuu.
Kwa kadri miaka inavyosogea, ndivyo mahitaji ya huduma za haraka na zenye ufanisi yanaongezeka.
"Being Quick, Efficient and Consistent is being Good"
Kasi ya maisha ya mwaka 1980 haiwezi kuwa sawa na ile ya 2020.
Katika taratibu za kawaida za kazi, kuanzia siku ambayo...
UKIUKWAJI NA USHAMBA BUNGENI
UKIUKAJI:
Lukuvi, Mb na Mwenyekiti wa Kikao cha Bunge cha Uchaguzi wa Spika ameruhusu Wabunge kukiuka Taratibu za Uchaguzi na akatetea ukiukaji huo.
Mosi, wakati Mwenyekiti anasema kuwa hakuna tatizo Mpiga Kura kutoa fedha kwa Mgombea wakati wa kujieleza; anajuaje...
Kama Bashe mwenye wizara yako upo humu utaniwia radhi kwani hawa wamasai wamezidi dharau.
Leo nimemkuta masai anachunga ndani ya shamba huku akipawabembeleza ng'ombe wake kwa miruzi wale shambani kwangu jambo ambalo nimewaza nimeona njia rahisi ni kpuliza sumu ndani ya shamba yeyote...
Bunge limesema taratibu za Uchaguzi wa kujaza nafasi ya Spika iliyo wazi baada ya Job Ndugai kujiuzulu zinaendelea
Kamati zilizokuwa zikutane kuanzia Januari 10 pamoja na zile zilizotakiwa kukutana kuanzia Januari 17, 2022 hazitakutana wakati huo
Badala yake zitakutana wakati wa Mkutano wa...
Wanashabikia muanguko wa taratiibu wa chama chao, siye watazamaji, ila tupo upande wa ukweli bila kujali nani anasema au kuambiwa na unatolewa kivipi isipokuwa usiwe na matusi.
Hii inanipa tafasiri ya kwamba ingawa alikuwa Makamu wa Raisi enzi za Hayati Magufuli pia walikuwa hawaelewani yaani walikuwa ni kama maji na mafuta.
Hapa chini tunaona Mama kamrudisha Dr. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Kamishina wa Mamlaka ya usimamizibwa Bima Tanzania (TIRA) ambaye...
Wakuu habari za sasa hivi.
Naomba kufahamu wapi pa kuanzia ikiwa nataka kufungua microfinance, na je, kuna kima cha chini cha kuanzia kwa mjibu wa sheria?
Majanga yatokanayo na hiyo biashara ni yapi? Nini cha kuzingatia katika kuendesha hiyo biashara?
Ahsanteni
tf.
Huwa najiuliza sana ni nguo zipi ambazo marehemu anavalishwa hususan kwa wakristo maana waislam inajulikana tayari.
Ni nguo aina ipi marehemu huvikwa ?
MIEZI YETU NDANI YA MWAKA NA MILA ZA WAPAGANI
Naam
Asilimia kubwa ya wengi wetu tunaamini katika Mungu hilo hata mimi nlifundishwa tangu wakati ule nipo madrasa kule jang'ombe zanzibar.
Na kama tujuavyo Historia tangu kipindi cha Eve na Adam mpaka sasa ni vita kati ya shetani na watoto wa...
Nasubiri majibu yenu juu ya nililouliza kwani nami GENTAMYCINE kama Mwanasiasa na Mgombea Urais mtarajiwa wa 2025 nataka kujua ili kama vipi nami niende kwa Machifu wa Unguja na Pemba 'wanitambikie' ili nianze kuwa na Mvuto kwa Watanzania na niwe Rais kwani Ikulu 'Kunanoga' mno.
Niliondolewa Ofisini kinyume na taratibu kwa sababu nilikuwa nasimamia na kufanya kazi kwa kufuata taratibu na miongozo ya kazi na sio maelekezo ya mtu,kuna mahali viongozi wetu wanashindwa kusimamia wanachokiamini kwa hofu ya kuporwa V8, wanahofu kukosa riziki.
Hili suala la kuniita CAG...
HESLB YATOA SIKU NNE WAOMBAJI KUFANYA MAREKEBISHO
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa muda wa siku nne kuanzia Oktoba 4-7, mwaka huu kwa wanafunzi 2,982 walioomba mikopo kwa mwaka 2021/2022 kufanya marekebisho ili kukamilisha taratibu za maombi yao.
Ili kupata taarifa za...
Kama ulivyokuwa na busara na utaratibu, upole na busara ulipokuwa huna kishikio, na sasa baada ya kupata kishikio usibadilike ukataka hata kuelekeza makali kukata walioshika upande wa makali.
Bado mdogo watu wanahitaji kukuweka kwenye mizani kukupima kama hutumii mpini uloshika vibaya. Acha...
Habari wakuu? Natumaini wote ni wazima.
Wakuu naomba kwa mwenye kufahamu taratibu za kukomboa (to claim) mafao ya NSSF iwapo mtu ulikuwa unafanya kazi na mwajiri alikuwa akipeleka michango.
Mwaka 2017 hadi 2019 nilipata fursa ya kufanya kazi kwenye sekta ya masuala ya hospitality. Mwajiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.