DC wa Morogoro Albert Msando amesema anakatwa Tsh.Milioni 2.8 kila mwezi kutoka kwenye mshahara wake wa Tsh. Milioni 3.1 kama rejesho baada ya kukopa Benki kiasi cha Tsh. Milion 106 ili kujenga vibanda zaidi ya 700 kwa ajili ya Wamachinga kufanyia biashara.
Kinachonisikitisha Mbunge na baadhi...
Habari wadau..!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Nipeni mawazo nikawekeze nchi gani,wajuzi mtupe taratibu za uwekezaji wa kamapuni ya Building and Civil katika nchi husika.
Habari za wakati huu wadau wa jamvi hili, mimi ni mtaalamu wa tiba asili.
Naomba kujuzwa juu taratibu zakufuata ili niweze kurasimisha dawa zangu za mitishamba.
Msaada wadau.
Kama kawaida yetu sisi wapenda nchi hii kwa uzalendo usio na Shaka. Tunakuja Tena na maonyo ya kuonya na kuwakumbusha watawala.
JINA LA UDIKTETA ALIWEKEWA NALO MUHURI ALIEPITA MPAKA AKAFA NALO.
JINA LA JEZEBEL LINAANZA KUPATA UMAARUFU NA WASIOSOMA BIBLIA SASA WANAANZA KUMTAFUTA JEZEBEL ALIKUWA...
wakuu, kuna mdogo wangu ni graduate engineer, amefanya kazi miaka mitano kwenye kampuni ya mambo ya umeme, na sasa anaandika report ya kuwasilisha ERB ili aweze kusajiliwa awe professional engineer. je taratibu ni zipi. kuna mtu anafahamu taratibu zozote?
UCSAF YATAKIWA KUDHIBITI MFUMO WA TARATIBU ZA MANUNUZI NA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA TEHAMA MASHULENI
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew ameitaka taasisi ya mawasiliano ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kuimarisha na kusimamia ipasavyo taratibu za...
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.
Pamoja na mambo mengine Kamati Kuu imempongeza Rais...
Hongera sana DC wa Mwanga Abdallah Musa Mwaipaya kwa Kuja na Moto Mkali huko Mwanga ila Krav Maga nakushauri ipunguze hiyo Spidi yako ya kutaka Sifa za haraka kwa Mama zitakuponza na utaharibikiwa mapema sana tu.
Nianze kwa kunukuu usemi wa wahenga usemao "Mjusi ukimkimbiza sana hugeuka na kuwa nyoka". Maana huru ya usemi huu ni kuwa mtu hata akiwa mwema au mpole kiasi gani,ukimchokoza sana anaweza kubadilika na kuwa mbaya sana.
Niseme wazi kuwa kwa sasa Tanzania inahitaji katiba mpya kuliko katika...
Hospitali zote na vituo vya afya nchini zimeagizwa kutoa damu kwa Mgonjwa mwenye uhitaji huku wataalamu wa afya wakisisitizwa kuendelea kutoa elimu kuhusu uchangiaji damu kwa hiari, kupitia vituo vya Kanda, Mikoa, Halmashauri na maeneo yatakayokuwa yameandaliwa kwa ajili ya uchangiaji damu...
Najua kuna mapungufu makubwa katika utawala wa awamu ya sita, wa Rais Samia. Lakini lazima tuwe na pa kuanzia.
1. Angalau kuna uhuru, watu wanaweza wakalala majumbani mwao wakiwa na uhakika kutakucha salama?
2. Kwa kiasi fulani haki za Binadamu zinazingatiwa ingawa bado kuna kazi kubwa ya...
Binafsi nashauri kigezo pekee cha kupata passport kiwe ni kuwa na kitambulisho cha NIDA tu. Tukiendelea na urasimu uleule hatutaitumia hii fursa vizuri. Watu kibao wanafanyabiashara Kenya ila shida ni utambulisho.
Nina jamaa zangu Wamasai walikuwa wanapeleka sandals Kenya ila wanasema walikuwa...
Habari zenu Watanzania wenzangu na Wengine pia!!
Naomba kufahamishwa ni Taratibu zakufuatwa ili mtu afungue real estate agent business ( uwakala wa kuuza na kununua viwanja, Mashamba na Nyumba)
Nitafurahi zaidi akijitokeza Yeyote anayefanya hii ishu, ili anieleweshe zaidi!!
Asante na Mungu...
SURA YA KWANZA
HISTORIA YA MFUMO WA MILKI YA ARDHI
Chimbuko na misingi ya mfumo wa umiliki na matumizi ya ardhi yaliyopo sasa umepitia katika vipindi vifuatavyo:-
A. MFUMO WA MILKI YA ARDHI KABLA YA UKOLONI
Katika kipindi hiki mfumo wa milki ulikuwa na sifa nne zifuatazo:-
· Ardhi yote...
Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel amesema kutokana na kuongezea kwa mahitaji ya upandikizaji wa viungo Nchini, Serikali imeandaa Muswada wa kutunga Sheria itakayoongoza taratibu za uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa viungo.
Ameeleza hayo akimjibu Mbunge wa Viti Maalum, Rose Tweve, aliyehoji...
Nayaheshimu sana na mno Madhehebu mengine yote ukiachilia langu la Katoliki, ila kwa Tanzania hii na Nguvu ya Kanisa Katoliki tokea Uhuru na lilivyojikita indirectly katika Siasa za Tanzania huwezi kuwa Rais wa Tanzania au Makamu kama siyo Mkatoliki. Ukilibishia hili unataka tu Ligi isiyokuwa na...
Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu?
======
37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.