tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yanga Sports tatizo ni nini mpaka sasa?

    🟢Kila Siku naskia mnatamba kuwa nyie ni Timu kubwa sana Africa, inakuwaje mpaka Sasa sold out ni VIP A tu? Wananchi inaonekana ikifika swala la Hela huwa mnavua jezi kabsaa mnasubili tamasha liishe ndio mvae tena jezi. Hii sio sawa igeni mfano mzuri kwa mashabiki wa Simba. Na Walianza kuuza...
  2. Yanga anaanda kikosi Cha CAFCL, niwatoe hofu Simba tarehe 8 leteni timu msiogope Wala Yanga hawana tatizo na nyie, sisi ni ndugu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nikimnukuu kocha wa Yanga alichosema baada ya kumalizika mchezo huko Kwa Madiba Gamondi "You know Yanga & Simba are friends,so here in South Africa I prepare my team because of CACL,iam not here for Simba,So let I assure the Simba fans, we're brothers...
  3. Tatizo la Kofia Mbili, Mwenyekiti Chama na Rais wa JMT ndio Lipo Hapa.

    Mwishoe ni kuonekana Mtu anayeropoka kumbe Kichama anaongea kutafuta support na huku serikalini anaongea majibu ya kupangiwa na wataalamu. Sasa uongo uko upande upi? Nadhani hiki kitu kiachwe na vyeo hivyo vitengwe sio CCM tuu bali hata vyama vingine vikiingia madarakani
  4. H

    Mbolea madawa na mbegu ni tatizo Kwa mfugaji na mkulima

    Ni kweli serikali inataka kupiga hatua Kwa wananchi wake? Kama ni kweli ushauri wangu Kwa serikali yangu ijitazame katika mambo haya ya yafuatayo. Mbolea Kwa mkulima:ni wakati Sasa wa sekta ya kilimo kuwa wakali Kwa kuhakikisha mwananchi anapata mbolea ZeNye virutubisho sahihi na sio mbolea...
  5. Hapa nilipo mtu mwenye voda akinipigia simsikii, ila yeye ananisikia, tatizo hili lipoje? Natumia Airtel

    Tatizo ni mahali nilipo mnara wa Airtel unasumbua au wa Voda au nini? Mitandao mingine tunasikilizana vizuri.. Msaada
  6. W

    Mara nyingi wanawake hawaoini kuna tatizo na huzoeana kama mabesti na gays, hii imechangia sana kundi kubwa la gays kuwa watoto wa single mothers.

    wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu.. Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza vigodoro na wanasifiwa sana na wanawake, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote. Mwanaume anavaa...
  7. A

    Namba zilizotumwa za umeme (token) haziingizi umeme kwangu

    TOKEN: 27778552013299055812 UNITS:8.4KWh, MITA: if required, TSh3,000 VAT 18% : 442.62, Umeme huu hauingii TANESCO
  8. Tatizo la Tanzania ni kudhani kwamba Watoto wa viongozi nao wanaweza kuwa viongozi

    Hapo ndipo tunapojikuta tunataabika na kuokota Magarasa na kuyapa uongozi. Uongozi ni Karama kutoka kwa Mungu, haujawahi kuwa urithi wa Ukoo, sasa hapa ndipo ambapo Mamlaka za Uteuzi zinapoboronga
  9. Msaada: Nimepata changamoto ya Kupata Mkopo kutoka Benki ya NMB

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, kwanza mimi sio muandishi mzuri, mtanisamehe kwa uandishi wangu. Tatizo lipo mwezi uliopita nilichukua mkopo kwenye Benki ya NMB kutokana na matatizo niliokuwa nayo. Baada ya mwezi mmoja, nikarudisha deni lote. Baada ya hapo, nilitaka kuchukua...
  10. Potea potea ya watoto imezidi, nini tatizo, mbona Serikali iko kimya?

    Kila kukicha matukio ya kupotea kwa watoto, huku wakija kupatikana wakiwa hawana viungo vya sehemu za siri. Shule nyingi Mbagala watoto wameacha kwenda shule wakihofia usalama wao. Walimu wakapendekeza kila mzazi ampeleke mtoto wake shule na kumrudisha, wazazi wamegoma ssbabu hawana huo muda...
  11. J

    Benki zote zina matatizo ya kimtandao, tatizo ni la dunia nzima

    Kuna matatizo ya kimtandao yametokea benki karibu zote duniani. Nimeenda benki tangia asubuhi huduma hakuna Vip na wewe umekutana na tatizo hili?
  12. Tatizo la Wafanyabiashara wakiskia tu tetesi za kuongezeka mishahara hapohapo tamaa inawashika wanapandisha bei bidhaa .

    Wamekaa kuvizia vizia siri za kawaida zivuje za ongezeko la maokoto.tuwe na Imani uwezo wa serikali utakapoongezeka basi hata kada za afya na elimu nanyi mtanufaika ishu kwa sasa ni wingi wenu ndo unaoleta wasiwasi tukisema tufanye kitu huko tutafeli V8 Tulizonunua zinahitaji wese. Liwe tu...
  13. KERO Katizo la maji Kimara Dar es Salaam

    Kwa wakazi wa Kimara mwisho na maeneo yake maji hakuna kabisa, takribani siku 3 mpaka 4 sasa maji hayatoki, haijulikani sababu ni nini. Tunaomba mrejesho toka DAWASCO! ✍🏾 Pia soma - Kero ya maji Dar es Salaam - Watangaze kama kuna mgawo wa maji
  14. Nina Tatizo la kugairisha mambo/mipango (Procrastination)

    Nimegundua nina Hili tatizo la kugairisha mipango yangu ninayopanga baada ya mda flani. Yaani naweza nikawa na mipango thabiti kabisa juu ya jambo flani ambalo ukiangalia Kwa mda huo nikilifanya linaweza kuniletea faida kubwa saana au kupiga hatua kubwa saana katika maisha ila Kwa bahati mbaya...
  15. Rais wangu unajitahidi sana tatizo kubwa ni upigaji na rushwa vinatisha ! Wateule wako kwa sasa Wana ukwasi wa kutisha!

    Kama rais utafanikiwa kufuatilia nyendo na maisha ya wateule wako utashangaa !! Awamu hii Haina ufuatiliaji kwa wateule wako ! Haina ukali na usimamizi huru wa rasilimali za nchi ! Wewe unatafuta hela ,unakopa ,unakusanya Kodi lakini pesa inatumiwa vibaya sana na wateule wako !! Wateule wako...
  16. Kuna tatizo gani Barabara ya mwendokasi ya mbagala?

    Kwa ninavyofaham, barabara ya mwendokasi ya kuelekea mbagala ilishakamilika kwa 100% kwa zaidi ya mwaka sasa, lakini mpaka sasa haijaanza kutoa huduma. Badala yake, sasa imekua ndo barabara kuu ya bodaboda. Inasikitisha na kutia hasira, kuona kitu ambacho kingetoa msaada kwa maelfu ya wananchi...
  17. K

    KERO TAMISEMI Dodoma Kuna nini, naomba kujuzwa wadau

    OR TAMISEMI, Dodoma kuna nini, naomba kujuzwa wadau. Mimi ni mmojawapo wa watumishi niliopata uhamisho toka kwa Katibu Mkuu TAMISEMI, nikihamia HALMASHAURI nyingine. Cha kushangaza, tangu kuripoti kituo kipya mwezi Oktoba 2023, bado CHEKI namba kwenye MFUMO wa UTUMISHI (ESS) inasoma kwa Mwajiri...
  18. Tatizo siyo Yeye kukataa Kusinya kubakia Kigamboni ila tunaogopa Akisinya tu atamaliza Fedha zote na tutarudi kutembeza Bakuli kwa Ukata utakaotukumba

    Nipeni Bilioni Saba ili nibakie hamtaki naenda kwa Madiba au kwa Farao na mkinikera zaidi nabakia hapa hapa kwa Tunasuka Upya Kikosi Kikali Sports Club ili muumie zaidi na Wao nitawaomba wanipe tu Milioni 800 kwani ni Timu niliyoipenda hata kabla hamjaniroga kwa Majini yenu na nikaja Kwenu...
  19. Tatizo la Power Steering kwenye Toyota Allex

    Wakuu habari! Naomba msaada, gari aina ya Allex imeniwashia taa ya PS, na mara kadhaa imekuwa ikiwasha na kuzima yenyewe baada ya mda. Sasa nahitaji suluhisho la kudumu. 1. Nini sababu haswa? 2. Namna ya kutatua 3. Makisio ya gharama Lakini pia naomba kujua hizi gari kama zinatumia power...
  20. SoC04 Vijana wasomi na mikakati ya kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Kiafrika zinazokabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana wasomi wanaohitimu katika taasisi mbalimbali za elimu ya juu. Utafiti uliofanyika mwaka 2019 na Taasisi ya utafiti wa kupunguza umasikini (REPOA) ilionyesha takribani vijana milioni moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…