1. Ukifanya kazi kwenye baadhi ya taasisi nyeti za umma kama TRA, Bandari, Polisi hasa TRAFFIC, n.k., usipoonekana unapata mafanikio ya harakaharaka, utaitwa mjinga usiyejua "kuchukua " hela zilizo nje nje
2. Kwa sasa ukienda kwenye baadhi ya maduka yanayotoa risiti ya EFD, ukitaka risiti...
Huu ndo ukweli!
Kuna watu wengi wapo kwenye nafasi fulani za maamuzi na uongozi ambao hawana uwezo wa kufanya hizo kazi katika dunia hii ya ushidani.
Ni wakati sasa nafasi za watendaji zikapatikana kwa njia ya ushindani watu waombe wapimwe kutokana na uwezo wao wa kiakili na utendaji na sio...
Habari wanajukwaa, mwenzenu kila nikipost nyuzi(thread) lakini nikitaka kuview comments na kujibu hoja post hizo huwa hazionekani, Bali zinaonekana za zamani tu. Au Mimi nakosea namna ya kuoperate. Majibu tafadhali au muongozo........
Tarehe 8/1/2024 shule zinafunguliwa, mpaka leo hii tarehe 05/01/2024 majibu bado mnakwama wapi? Hamjui kuwa kuna maandalizi?
Toeni matokeo mapema ili mzazi ajiandae kama mwanane anarudia anakwenda mbele.
Hata mwanafunzi mwenyewe kuna wakati anahitaji maandalizi pia.
Huenda ni totoz za huko Belgium zinamzuzua, labda ni Pombe, ama kampani mbaya, n.k. lakini kwa umri alionao ni vema abadilike mapema
Hapo mwezi uliopita Edo Kumwembe aliwahi kupost kwenye ukurasa wake wa Instagram akimuasa Kelvib John abadilike kinidhamu, hatuwezi kujua aba utovu upi lakuni...
Wazee
Wanasimba wenzangu mimi nikiwa mwanachama halali wa simba naumia sana ..
Misimu mitatu au minne nyuma tumekuwa tukileta wachezaji wa hovyo sana. Kisha tukiwatena kwa kuwasingizia kesi mbalimbali.
Angalau basi hata hao wachezaji wawe wamoto sana ila ndiyo vile ndugu mangungu amekuwa ni...
Yaani anapika msosi mtamu sana kana kwamba anaupika akiwa uchi. Tatizo ukienda kwenye mgahawa wake kula chakula, unapakuliwa msosi vizuri tu, tatizo linaanzia kwa mwanae mwenye furushi la makamasi ya njano puani na kitambi kikubwa sana ilihali ni 5 yrs only
Ukiwa unasonsomola msosi, kale katoto...
====
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo.
Kesi hiyo ilifunguliwa na...
Toka mwezi uliopita na hadi huu nimekua napata tatizo la mtandao wa voda upande wa inteneti kukata kabisa au kuwa na low speed siku nzima. 4g ya voda inazidiwa na 3g ya halotel.
Je hili tatizo ni kwangu binafsi? Ama na wengine mnalipata? Nauliza hivo sababu nilishwai piga simu huduma kwa wateja...
Tatizo ni kwamba sex desire inakuwa na nguvu kubwa sana katika binadamu na ukiweka sheria kali kunaweza kuwaumiza watu.
Sheria kama hizi: ukimtia mimba mtoto wa shule,miaka thelathini jela.
Inakuwa vigumu kumpa mtu training ambayo inamwezesha kujikinga na hizo dangers,kwa hiyo inaonekana ni...
Ni ajabu ila ni kweli. Bohari ya Dawa (MSD) ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya ambayo Waziri wake ni Ummy Mwalimu ilikabidhiwa uendeshaji wa Kiwanda cha Dawa cha Keko na Msajili wa Hazina mwaka 2020, ambacho kinamilikiwa kwa Asilimia 70 na Serikali huku mbia binafsi akimiliki Asilimia 30...
Simu yangu ninayotumia Line ya Airtel nikiwapigia Watu wengine wa Tigo, Airtel na Vodacom nawapata nawapata na tunasikilizana vizuri ila kwa Wengine Mimi nawasikia ila Wao hawanisikii kabisa.
Haya Wataalamu ( Wajuvi ) wa Mambo hapa Tatizo Kuu ni nini? Nifanyeje ili litatuke? Na Simu ninayotumia...
Nipo Pemba for the 1st time, nimezunguka hiki kisiwa chote. Naomba nikiri kwamba hali ya kiuchumi huku ni mbaya kuliko unavyoweza kudhania. Hakuna usafiri wakueleweka kama Unguja,. Lakini pia maisha ya wananchi ni duni sana. Hakuna maduka ya bidhaa, hakuna lodge wala hotel zakufikia, hakuna...
Zamani nakumbuka ilikuwa mchawi nguvu tu, chochote utakachopanda kinakubali na kinafika
Siku hizi sasa mkulima ana vikwazo na maadui kibao! Hebu cheki mtu unalima mazao yako kisha kuna
Viwavi
Panya
Njiwa
Ndege
Kware
Panzi
Mchwa
Vibaruti
Beetle
Serikali
Majongoo
Konokono
Halmashauri
Mafuriko...
Mdudu chawa hupatikana kwa watu wachafu, hakika kwa sasa hali sio shwari kwani chawa watu wamevamia kila sehemu. Chawa watu hawana umri ni yeyote tu anaweza kuwa chawa mtu ili mradi apate anachokitaka.
Wapo wa miaka 80 mpaka 15 ili mradi awe na uwezo wa kupaza sauti. Chawa watu wapo wenye elimu...
Wasalaam.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema nimeona interview ya mama yake Chid Benz na Clouds tv kwenye kipindi cha Shajara.
Huyu mama kwakweli yeye mwenyewe hajakubali kama mwanaye ana shida yaani hana Imani kabisa kwamba Chid ana shida.
Hii inaweza kupelekea Chid asipate unafuu...
Habari ndugu zangu wa JF ..kama heading inavyojieleza naomba msaada wenu kwa ushauri najua JF ina kila aina ya watu nimeamua Nije apa kwakuwa nina amini hii ni nyumba ya kila kitu.
Tatizo langu la koo kuhuma lilianza takribani miezi 6 iliyopita..Nilianza kusikia maumivu ninapomeza chakula,shida...
Habari za muda huu pia nitoe pole kwa wote wenye changamoto ya kila aina.
Naomba niwasilishe ombi la msaada kwa kila mwenye uelewa nalo, iko hivi nina ndugu yangu alipata ajari ya pikipiki huko vijijini mguu ukavunjika lakini mfupa haikuachana kabisa ulibaki upande umeshikana na upande imeachana...
Wewe unaesoma Uzi huu bila shaka :
1. Umewahi KUKUTANA na mtu mwenye tatizo kama hili. Au
2. Wewe mwenyewe una tatizo hilo ila hujui kama upo nalo.
Tatizo hili mara nyingi humkuta mtu ambae amepiga hatua kidogo kwenye maisha au amepata breakthrough kiuchumi jambo ambalo yeye analitafsiri kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.