tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    Tatizo la kukosekana kwa Usd nchini! Mamlaka husika zina Habari?

    Kuna Tatizo kubwa la uwepo wa fedha Za dola nchini! Serikali imepiga kimya! Ni nini kifanyike?
  2. chiembe

    Jerry Slaa, ujenzi wa Ofisi za ardhi Kila Mkoa umefikia wapi? Tinazikumbuka zile bilioni 350! Sasa mnazua zogo, wakati Hela mnayo ya kutatua tatizo

    Mwaka huu katika bajeti, Kuna bilioni 350 za ujenzi wa Ofisi za ardhi Kila Mkoa zilizua zogo, sijaona hata dalili ya mtu kuchimba msingi hapa Dodoma Wala Dar es salaam. Basi hizo Hela zielekezwe kununua vifaa vya upimaji, upimaji uwe bure nchi nzima, wanaodai fidia ya viwanja, walipwe humo.
  3. Majok majok

    Viongozi wa Simba ndio tatizo la kwanza kwenye klabu, wajitathimini wao kwanza kabla ya kuwatoa kafara wengine!

    Viongozi wa Simba na mwekezaji wake ni watu wa propaganda nyingi sana na wamekuwa wakiishi hivyo kwa mda mrefu walicheza na akili za wanachama wao! Jambo hili limekuwepo kwa mda mrefu na ilikuwa ni suala la muda tu ufike waumbuke, awa wakina Try again, mangungu, Mo mwenyewe, wamekuwa ni watu wa...
  4. Determinantor

    Nafasi ya KVP Officer imetangazwa, wapiga zumari mko kimya! Tuna tatizo kubwa sana

    Tanzania ni Mojawapo ya Nchi inayopenda kuongozwa Kwa matukio, yaani akitokea MTU hasa MTU Mwenye njaa zake Huko basi mtatengenezewa tukio mtajiona nyie NDIO nyie. Miezi michache iliyopita Mwakyembe na mwandishi wake walijitokeza hadharani na kuja na allegations kibao, mitandao yote ikabeba hio...
  5. K

    Mfumo wa Ulinzi wa Israel Iron Dome wapata na tatizo la kutungua makombora

    Hapo Jana usiku Hezbullah na HAMAS walifanya mashambulizi ya rocket na makombora,na kwa asilimia kubwa yakapiga makazi ya miji kadhaa ya Israel kama vile Ashdod,Tel aviv na kwingineko huku mfumo wa Ulinzi wa kuzuia makombora ikishindwa kuinterrcept na baadala yake ikawa inayasamabaza kwa...
  6. W

    Nina tatizo la sikio kuunguruma au kama kuna maji sikioni

    Anayejua dawa asili au tiba asili ya tatizo hili natanguliza shukrani zangu.
  7. African Geek

    Naombeni ushauri wenye busara juu ya hili

    🤗
  8. S

    Nikilinganisha mapokezi ya Rais wa shirikisho la Ujerumani na Mfalme wa Uingereza, viongozi wetu hawajiamini. Tatizo ni nini?

    Juzi alikuja rais wa shirikisho la Ujerumani Frank-Walter Steinmeier kutembelea nchi yetu kwa siku 3, wakati huo huo mfalme wa Uingereza Charles wa III aliitembelea nchi ya Kenya. Ukilinganisha mapokezi unaona Rais wetu kama ni mwoga hana muda hata wa kuchat na mgeni wake, vile vikundi vya...
  9. C

    Hizi mvua zote kwanini bado TANESCO wanakata umeme?

    Au ni mimi tu siyo sielewi chanzo cha huu mgao unaondelea sasa mwezi Novemba umeanza? Sasa hivi wamekata tena umeme na utarudi baada ya giza. -
  10. LIKUD

    Hii ndio njia bora kabisa ya kudili na watu wanaokusengenya

    Ukiona watu wana kusema sababu huwaga ni 2 tu 1: they don't have the access or the privilege to talk to you. 2. They have lose the privilege to talk to you. So the only option which they have is to talk about you behind ur back. So how do you deal with it? Kama wewe ni muhanga wa kusengenywa...
  11. Cecil J

    Tatizo la Manchester United ni nini haswa?

    ...
  12. Nelson Jacob Kagame

    Baadhi ya Wanajeshi wa JWTZ wana tatizo la nidhamu?

    Wanajeshi wa jeshi la ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi ya Tanzania wana tatizo la nidhamu na hawapendi kukosolewa pale wanapokosea. Tatizo ni kwamba hawa vijana wetu na kaka zetu na dada zetu na wadogo zetu,pale wanapovaa mavazi yenye nembo ya taifa wanajiona wapo juu ya sheria. Matukio ni...
  13. BIG STONE AND CONER STONE

    Msaada: Fundi anayeweza kutatua tatizo la USB/Flashdrive kusoma au kuhamisha mafaili kutoka USB ambayo haisomi

    Inshort' Nilinunua flash yangu GB 16 imation nikaweka file zangu important ila finally hii flash Ikawa haisomi Tena Baada ya kuitumia kwa mienzi kadhaa. Baadae nikanunua nyingne ya GB 8 ila kampuni ni Disk, sasa na yenyewe haisomi tena baada ya kuitumia kwa mienzi kadhaa. Changamoto hizi...
  14. Mhafidhina07

    Kwenye mapenzi hili jambo ni kawaida au ndiyo tatizo?

    Nimejaribu kutafuta uzi unaongelea sex prombems hapa jukwaani sijapata majibu ya kuridhisho hivyo basi. Moja kwa moja nigusie mada yenyewe kuna jambo linalitatizo pindi niwapo faragha na mwenza hasa napofika mshindo nikiangalia mbegu zangu huwa nyingi zinatoka nje y 'K hivi nauliza ni jambo la...
  15. F

    Website ya UDSM mbona haiko User friendly? Tatizo nini?

    Hiki Chuo Kikuu ni kikubwa, sasa unapoingia kwenye Website yao huoni huo ukubwa! Website imekaa ki- utumbo utumbo tu! Mtu unajaribu ku- access information , mfano: UDSM selection list 2023/2024 pdf. Hiyo pdf yenyewe uki - click huioni! Ni utumbo mtupu!
  16. DR Mambo Jambo

    Sasa nimegundua, tatizo sio uwekezaji wala Mkataba bali ni Waarabu kuwekeza

    Kumekuwa na malalamiko hata baada ya kufanyika marekebisho ya mikataba ya HGA na IGA .na wengine wakifikia Kuilaumu TEC kwa kutokuwa na msimamo. Bila kujua kuwa TEC walisema kuwa kama mkataba utaendelea kuwa hivyo ni bora kufutwa na Serikali iwasikilize wananchi. Wananchi walitaka maboresho ya...
  17. Mtu fulani

    Msaada kwa tatizo la afya ya ubongo

    Amani iwe kwenu, Nina ndugu yangu amepatwa na tatizo la kuweweseka, kuona vitu visivyo na uhalisia (hallucinations). Kuna muda anakakamaa mwili hadi inapelekea kuanguka kama mgonjwa wa kifafa. Tafadhali mwenye kujua sababu na aidha matibabu yake anaweza kushare hapa. Tatizo limemuanza juzi...
  18. S

    Umeme Si Tatizo Tena Ni Usugu ulio Pitiliza

    Takribani miezi sasa tunasika tatizo la umeme ama mgao au upungufu Kwa neno jingine, sasa tunaomba kujua Hilo tatizo limebadikika maana mfano Mwanza wilay nyamagana hususani nyegezi hili eneo la stendi ni takribani wiki ya pili sasa umeme unakatwa kila siku asubuhi na kurejeshwa jioni Sana...
  19. L

    Nchi zinazoishutumu China kwa kuweka mtego wa madeni. Je, zilishakaa na kujiuliza tatizo halisi linaanzia wapi?

    Wachina wana wazo moja kwamba ukitaka kuendelea na kukuza uchumi wa nchi basi lazima kuwe na miundo mbinu mizuri na imara. Wazo hili ndilo lililopelekea China kuziacha nyuma nchi nyingi ambazo hapo awali zilikuwa zinaonekana ziko sambamba na nchi hii katika umasikini. Kupitia ujenzi na...
  20. Protector

    Kwanini haya Magari aina hii Toyota Fielder sio maarufu sana yana tatizo gani?

    Habari wana jukwaa, moja kwa moja kwenye mada. Kuna aina hii ya magari yanaitwa TOYOTA FIELDER naona kwa hapa bongo ni machache sana na ukikaa barabarani kuyaonayanapita ni nadra sana. Shida ni nini? Pia nimefatilia yanapouzwa yanakuwa na kilometer nyingi sana, mengi siyo chini ya 100,000km...
Back
Top Bottom