tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
  2. Doto12

    Kwani Rais huoni hili tatizo la CWT?

    i) Mapato yatokanayo na vitega uchumi vya chama mfano: Mwalimu house na ofisi za CWT kila mkoa (rent), je vinamnufaishaje mwalimu ambaye ni mchangiaji mkuu? ii) Kwanini C.W.T wanakusanya michango kwa wanachama kila mwezi badala ya kukusanya mara moja kwa mwaka kama vyama vingine? iii) Kwanini...
  3. sky soldier

    Sleep walking: Tatizo la kuamka ukiwa usingizini na kuanza kutembea ama kufanya vitendo bila kujitambua

    Ni hali ambayo mtu hufanya vitendo akiwa usingizini bila kujitambua. Vitendo hivyo vinaweza kuwa kuzungumza, kuketi wima kitandani, kwenda msalani, kufanya usafi, kula au kuonyesha vitendo visivyo vya kawaida kama vile kunyakua vitu visivyoonekana hewani n.k. Wakati mwingine mtu anaweza...
  4. Extrovert24

    Laptop yangu ina shida ya internet

    Wakuu habari zenu, natumainia kuwa mko vizuri na wenye afya dhoofu Mwenyezimungu awafanyie wepesi pia. Moja kwa moja, Pc yangu ina shida ya internet yani haiwezi ku-connect wireless internet labda nitumie Ethernet, na sababu kuu inaniambia ya kuwa cellular radio iko off. Naomba msaada kwa...
  5. UMUGHAKA

    Hivi tatizo ni kukosa Elimu,Uelewa au Exposure?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Nimekuwa nikifuatilia mambo yanayoendelea kwenye hii nchi nabaki kushangaa tu kama mtalii! Ukiangalia hata mambo madogo tu ya mtu mmoja mmoja bado ni tatizo kubwa mno!,Hivi Tatizo ni nini? Nimekuwa nikipitia mitandao kadhaa ya kijamii na kuona namna...
  6. Gotze Giyani

    Wasomi wengi kuburuzwa na viongozi tatizo ni ubovu wa elimu yetu au nini

    Wadau habarini za jioni, poleni na jukumu la kujenga taifa, Ndiyo tunaelekea mwisho wa mwaka bado siku 30 tu mwaka uishe je umefikia malengo yako au ndio kuishi kwa mazoea kama watanzania wengi tulivyozoea niende kwenye mada. Hivi karibuni kumetokea tabia au mazoea ya wanasiasa kuwazarau...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Jimbo la Ulanga: Tatizo la Kompyuta na Photocopy Mashine Nitalimaliza

    Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro Salim Alaudin Hasham amesema atahakikisha anapambana kutatua changamoto ya vifaa vya mashuleni ili kuinua kiwango cha ufaulu wilayani humo. Mbunge Salim ameyasema hayo wakati akigawa vifaa hivyo ambavyo aliahidi kwa shule tatu zitakazo fanya vizuri...
  8. Ghost MVP

    Tanesco Mmekata Umeme kwa Saa 24 sasa maeneo ya Mbezi, Kimara, Kijitonyama, Tatizo nini?

    Kwasasa sababu zimekuwa hazieleweki, wanakata umeme bila Taarifa, kwa muda mrefu kiasi hivi, bila kuipa jamii taarifa, Biashara nyingi zinategemea umeme kwanini Mnaumiza wafanya biashara kama hivi, hawajajiandaa kabisa kukosa umeme. Nilipiga simu nikaambiwa maji hyingi, hayaingii wapi? Mbona...
  9. Mwizukulu mgikuru

    Polisi kumng'ang'ania mtuhumiwa na hali ya kuwa walalamikaji hawana mpango na kesi tatizo ni nini?

    Wakuu kuna jamaa yangu alipatwa na tatizo wakawa wamempeleka polisi, kule polisi akapata dhamana kwa sababu kosa lake lilikuwa lina dhamana, akaenda kuzungumza na wale waliokuwa wanamshitaki na wakawa wameelewana kuwa mambo yasiendelee mbele zaidi yaani kufika mahakamani. Sasa changamoto...
  10. BARD AI

    Mamlaka za Uteuzi wa Viongozi zinadhihirisha wazi kuna tatizo kwenye utaratibu wa "Vetting"

    Kwa muda wa miaka 3 ya utawala wa Rais Samia, kumekuwa na Teuzi na Tenguzi au kubadilishwa kwa nafasi za Kiutawala kwa wanaoteuliwa na wakati mwingine bila hata kuelezwa sababu. Samia amekuwa akiteua na kutengua au kuwarejesha watu walioondolewa kazini kwa sababu mbalimbali. Na wapo ambao...
  11. N

    Tatizo sio sandaland, tatizo ni rangi za timu

    Huwezi pata jezi nzuri kwenye rangi nyekundu na nyeupe,ukijitahidi kuzichanganya zote mbili utapata vazi la mganga, unajua rangi za yanga nzuri sana,kwanza zinaonyesha vitu vilivyopo duniani, uoto wa asili na maji,pia dhahabu ila ukiangalia rangi za simba duuh nyekundu unamaanisha uchawi, hata...
  12. Melki Wamatukio

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume sio kwa wanaume tu siku hizi limehamia kwa wanawake

    Ibaki hivyo, wala sijakosea. Ipi ni maana sahihi ya nguvu za kiume? Nguvu za kiume ni uwezo wa kiumbe hai kulifurahia na kulistahimili tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi. Hivyo hakuna kitu kinachoitwa nguvu za kike. Binadamu na viumbe vingine vyote vinavyojamiiana, vumeumbwa na uwepo wa nguvu...
  13. M

    Kiukweli hiki wanachoita eti ni tatizo la afya ya akili hakipo. Ni dhana tu au failure of thinking deeply

    Siku hizi Kuna dhana imeibuka karibu kila Kona eti tatizo la afya ya akili. Ki ukweli hakipo kwa sababu zofuatazo. 1. Mtua amemaliza chuo kikuu na alikuwa na malengo mengi ya maisha kama kupata kazi ya uhakika lakini miaka nenda Rudi kazi inakoseka. Sasa huyu mtu akianza kuchanganyikiwa na...
  14. BwanaSamaki012

    Hii ndio solution ya hili tatizo

    Tatizo ni nini? Sasa hivi kumekuwa na hofu kwa baadhi ya watu wanaokula samaki Sato na Sangara kutoka ziwa Victoria baada ya riport kuwa wakazi wengi wa kanda ya ziwa wanapata kansa na hili sio tu Tanzania imegundulika hata kwa upande wa wenzetu Uganda na Kenya kwenye jamii zinazozunguka Ziwa...
  15. L

    Kwenye pikipiki aina ya TVS, tatizo la kutochaji battery linasababishwa na nini?

    Wakuu habarini naomba msaada kujua hivi pikipiki Tvs tatizo la kuocharge battery linasababishwa na nn na nn tiba yake mana nimenunua makolokolo meng
  16. Vincenzo Jr

    Fahamu chuki ni tatizo la kifikra zaidi na dawa yake hii hapa

    Sisi binadamu namna yetu rahisi ya kuelewa na kukumbuka mambo ni kwa kuyaweka mambo katika makundi mfano tunawagawa watu katika makundi kama marafiki, ndugu, watoto, maadui, warefu, wafupi, n.k. Makundi haya yanatusaidia kujenga picha ya haraka hata kama wakati fulani hatuwezi kuelezea wazi wazi...
  17. Miss Zomboko

    Siku ya Afya ya Akili Duniani

    Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 10 Oktoba. Lengo la siku hii ni kuongeza uelewa kuhusu masuala ya afya ya akili, kupunguza unyanyapaa, na kusaidia kutoa msaada kwa watu wenye matatizo ya afya ya akili. Inasisitiza umuhimu wa kujali afya ya akili kama sehemu muhimu...
  18. A

    DOKEZO Viongozi hawa Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) ni tatizo, Waziri Aweso sikia kilio chetu Watumishi

    Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) ni Taasisi ya Serikali inayotoa huduma ya maji safi katika Mkoa wa Singida kwa zaidi ya miaka 20 sasa, ipo chini ya Wizara ya Maji inayoongozwa na Waziri Jumaa Aweso. SUWASA inaongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Sebastian V. Warioba...
  19. badison

    Kumbe vita vyote Palestina tatizo ni kugunduliwa kwa gas hapo Gaza

    Imefahamika Kwamba Gaza kumefanyika ugunduzi wa gesi. Kwasababu gas imegunduliwa kuwa na thamani ya USD Billion 500 lazima wazungu waingilie kati na kuwadhulumu wapalestina gesi yao. Popote kwenye mali hapakosi wazungu kuleta demokrasia. Popote kwenye mali asilia lazima wazungu waingilie kwa...
  20. Nigrastratatract nerve

    Mwenezi Makonda amwambia waziri wa Maji ndani ya wiki 3 tatizo la Maji katoro liwe Historia

    📌📌 WAZIRI WA MAJI MHE. AWESU AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA NDANI YA WIKI 3 MAJI KUPATIKANA KATORO - GEITA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amempigia simu Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu na kumtaka kutolea ufafanuzi kero ya upatikanaji wa Maji...
Back
Top Bottom