tcra

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (pia huitwa kwa Kiingereza: Tanzania Communications Regulatory Authority ambapo mara nyingi huitwa kwa kifupi: TCRA) ni taasisi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yenye majukumu ya kusimamia sekta za mawasiliano na utangazaji.

TCRA Ilianzishwa kwa Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Na. 12 ya mwaka 2003 kusimamia huduma za kielektroniki na posta na masafa ya mawasiliano nchini Tanzania. Mamlaka ilianza kazi tarehe 1 Novemba 2003 na inafanya shughuli za zilizokuwa Tume ya Mawasiliano Tanzania (TCC) na Tume ya Utangazaji Tanzania (TBC).

Mamlaka ya TCRA ni kusimamia sekta ya posta, mawasiliano ya kielektroniki na utangazaji katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa ni pamoja na:
  • Kuzifanya shughuli za TCRA kuwa za kisasa kwa kutumia teknolojia sahihi;kuimarisha tafiti zenye ubora katika huduma zinazodhibitiwa, uwezo na umahiri wa watumishi.
  • Kukuza ufanisi; kuaminika na kuhakikisha usalama wa miundombinu ya mawasiliano na matumizi yake.
  • Kukuza ufanisi na unafuu wa huduma za Mawasiliano na kuongeza upatikanaji wa huduma za Posta na TEHAMA katika maeneo yasiyohudumiwa ipasavyo na yale yasiyo na huduma kabisa.
  • Kulinda maslahi ya wadau na kukuza uelewa wa haki na wajibu wao.
  • Kufuatilia utendaji wa huduma zinazosimamiwa na kuhakikisha utekelezaji wa Sheria na Kanuni kwa viwango vinavyostahili.
  • Kuratibu utekelezaji wa ahadi za kisekta kitaifa, kikanda na kimataifa.
  • Kufikia kiwango cha juu ya kuridhisha wateja kama ilivyoainishwa kwenye Mkataba wa Huduma kwa Mteja wa TCRA.
  • Kuendelea kuzingatia matakwa ya kisheria na kiusimamizi.

Sera zinazoathiri utendaji kazi wa TCRA ni pamoja na:
  • Sera ya Taifa ya Mawasiliano ya mwaka 1997
  • Sera ya TEHAMA ya mwaka 2003
  • Sera ya Taifa ya Posta ya mwaka 2003
  1. The Humble Dreamer

    TCRA: Namba za simu zisitumike kutoa taarifa kuhusu majanga hapa nchini. Atakayekiuka agizo hili kukiona

    Wakuu Salaam; 👇👇 Hii ni taarifa kwa umma iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuhusu matumizi sahihi ya namba za simu.
  2. Nyendo

    Tanzia: Meneja wa TCRA mkoa wa Dodoma afariki Dunia

    Aliekuwa Meneja wa TCRA mkoa wa Dodoma Ngugu, Antonio Manyanda amefariki duni. Mwili inasemekana uko Hospitali ya Lugalo ukifanyiwa uchunguzi. Inaonekana kama heart attack. Alikimbizwa BOSCH usiku lakini akafariki kabla ya kufika saa 7 usiku. Alikuwa arudi Dodoma leo asubuhi baada ya Pasaka...
  3. Mnyamahodzo

    TCRA fungia vipindi vya Uhondo na Sasambua

    Kuna vipindi vinarushwa na FM radio zinazorusha matangazo yao kutokea jiji la Dar es salaam. Vipindi hivi ni vile Uhondo na Sasambua. Ukweli ni kuwa, japo vimeendelea kurushwa kwa muda mrefu, kimaadili vipindi hivi havijengi jamii bali vinaiharibu kidogo kidogo. Wakati kipindi cha Uhondo...
  4. S

    TCRA fatilieni namba za matapeli wa "Nitumie kwenye namba hii"

    1. 0734 045946 TUMA KWENYE 0742 608414 2. 0787 069784 HAPA TRA kwa nn unafanya biashara bila EFD ? nakuandikia fine 3mln 3. 0738 136451 Hapa shuleni mm ni mwl mtoto wako anaumwa tuwasiliane haraka. 4. 0754 018793 Hapa morogoro nimetuma pesa kimakosa sh 47,500 5. 0692...
  5. S

    Serikali ije na mkakati wa kuhakikisha mabenki na mitandao ya simu wanapunguza gharama za kuhamisha fedha kielektroniki

    Hivi sasa mabenki wanatutumia sms wakitushauri tuache utaratibu wa kufanya miamala kwa kutumia cash money na badala yake tutumie huduma za kielektroniki(mobile banking) kufanya miamala hiyo kama njia mojawapo ya kupambana na ugonjwa wa corona. Binafsi naupokea ushauri huo ila nawashauri kwanza...
  6. Luqman mohamedy

    Wapandishwa kizimbani kwa kufungua simu zilizofungwa na TCRA

    Watu wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kujihusisha na kufungua simu zilizofungwa na TCRA ili kubadili uhalisia wa IMEI namba. Wakisomewa mashtaka hayo na wakili wa serikali Esther Martin mbele ya Hakimu mkazi mwandamizi...
  7. Tabutupu

    TCRA kulazimisha laini moja tu kwa kila mtandao kwa Raia si sahihi!

    Juzi nikiwa katika viunga vya bunge na baadhi ya maafisa wa serikali, kuna jambo la ajabu sana nilisikia eti ule uvumi ulio kuwepo mwanzo kwamba raia hata ruhusiwa kusajili laini zaidi ya moja ni uhalisia. Nikajiuliza lengo hasa ni nini? Kama nina laini 100 na zote nimesajili kwa vidole tatizo...
  8. Babu Kijiwe

    Bongo Zozo amesajili Channel yake TCRA?

    Habari zenu wakuu, Sheria za mtandao nchini zinawataka watengeneza maudhui wote kusajili channels zao TCRA bila kujali ni maudhui gani wanatoa, jambo hili limefanya baadhi ya watu walioendelea kutoa maudhui bila kusajili kujikuta mikononi mwa vyombo vya ulinzi na usalama, mfano yupo kijana...
  9. Kapepo

    TCRA mlichonifanyia kinaumiza Sana moyo wangu

    Kwekweli Leo nilikuwa na mihadi na demu wangu mpya sijawahi kula hata siku moja keshakula vyangu leo ijumaa tumepanga tukatiane namcheki muda huu naambiwa namba nayopiga imezuiliwa kupokea simu kwa sasa nijaribu tena baadae Wakati Jana tumapanga vizuri tu hii hari inaniumiza mno kwakweli, nahivi...
  10. Kapepo

    TCRA mlichonifanyia kinaumiza Sana moyo wangu

    Kwekweli Leo nilikuwa na mihadi na demu wangu mpya sijawahi kula hata siku moja keshakula vyangu leo ijumaa tumepanga tukatiane namcheki muda huu naambiwa namba nayopiga imezuiliwa kupokea simu kwa sasa nijaribu tena baadae Wakati Jana tumapanga vizuri tu hii hari inaniumiza mno kwakweli 😥😥😥😥
  11. Kapepo

    Mtandao wa simu mlichonifanyia kinaumiza sana moyo wangu

    Kwekweli leo nilikuwa na mihadi na demu wangu mpya sijawahi kula hata siku moja keshakula vyangu leo ijumaa tumepanga tukatiane namcheki muda huu naambiwa namba nayopiga imezuiliwa kupokea simu kwa sasa nijaribu tena baadaye hii hali inaniumiza mno kwakweli 😥😥😥😥
  12. TODAYS

    TCRA Msiache kuzima hizi makampuni za simu, voda ikiwemo

    Twende moja kwa moja kwa mada. Umemuomba mtu pesa ili ununue dawa kwa ajili ya mgonjwa uliyemuacha hospitali ukiwa njiani unasikia mlio wa meseji, unasogea pembeni kwa tashwishwi kuwa jamaa yako kakusapoti. Au unadhania ni taarifa kutoka hospitali ulipomuacha mgonjwa kuwepo kwa mabadiriko mara...
  13. idawa

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Binafsi nilijiandikisha tena mara mbili lakini nimefuatilia namba zangu NIDA kama naomba mkopo benki. Hakuna nilichoambulia. Uzembe wa NIDA usumbufu nabebeshwa mimi. Matokeo yake naambiwa nijiandikishe upya, yaani nianze taratibu za kwenda kwa Mtendaji, Uhamiaji halafu NIDA. --- Mambo ya...
  14. Babu Kijiwe

    TCRA fungeni haraka Laini yangu ili Branch na M-Power wasinisumbue

    Hawa wadai wangu wanapenda kunikumbusha kwa SMS hasa hawa Branch. Leo natangaza mwisho wao kwani line yangu inafungwa muda si mrefu sijui watamtumia nani SMS. Ikibidi TCRA yakwangu fungeni sasahivi, za wengine subirini sa 6 usiku. Ahsante NIDA kwa kutusaidia. Poleni M-Power poleni Branch...
  15. K

    TCRA na NIDA kubadilishana watumishi

    Hivi kwa nini hizi taasisi zisibadilishane watumishi yaani watumishi wa nida waende tcra na wale wa tcra waende nida ili wajaribu kuona jinsi ilivyo kazi kuwapatia watz wote vitambulisho kabla ya tarehe 20
  16. Craig

    Utapeli wa mtandao unaendelea kwa kasi, TCRA mpo wapi?

    Wezi wa kupitia mitandao wanaendelea kuibia watu kwa kutumia kila namna mitandao ya simu haitoi ushirikiano wa kutosha kwa wateja wao. TCRA nini maana ya kusajili laini kwa vidole na kitambulisho? Hawa wahalifu kwanini wasipewe adhabu iwe fundisho kwa wengine?
  17. Kidagaa kimemwozea

    Fanya hivi kuepuka kukosa mawasiliano utakapofungiwa na TCRA kama hujasajili kwa alama za vidole

    Muda wa kutumia simu kadi ambazo hazijasajiliwa unafika ukingoni January 20 huku kukiwa na siku mbili tu mbele. Watanzania lukuki bado hawajakamilisha zoezi hili muhimu huku sababu kubwa ikitajwa ni NIDA kuwa na mwendo wa kinyonga, pamoja na hayo TCRA wametoa msisitizo kuwa hawataongeza muda...
  18. K

    TCRA na NIDA mtembelee Kigoma, Kagera na Ngara

    Natoa ushauri wa bure kabisa kwa Wakurugenzi Wakuu wa NIDA na TCRA kutembelea mikoa tajwa hapo juu kabla ya tarehe 20 mwezi huu ambapo line za simu zote zisizo na usajili wa kitambulisho cha NIDA zitasitishiwa huduma. Kama tukiendelea kuwafanyia Waha, Wahangaza na Wanyambo mambo tunayowafanyia...
  19. kagombe

    TCRA wakishazima line za simu waje mitaani sasa

    TCRA wakishazima line za simu waje mitaani sasa kuna kaujanja kanafanywa na hawa vijana wanasajili line mtaani. Tena ni hatari wanayofanya hawa vijana wasio waaminifu sijui ni tamaa ya pesa au njaa yao. Hapa tuwe makini tunaokwenda kusajili hapa kuna mchezo wanafanya usipokuwa makini unaweza...
  20. K

    Zikiwa zimesalia siku 4 TCRA wanena

    Zikiwa zimebaki siku nne laini za simu zisizosajiliwa kwa alama za vidole kufungiwa, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewaagiza Watanzania waliokamilisha usajili wa laini zao kuhakiki upya kwa kupiga namba *106#. “Kama mnavyofahamu, mwisho wa kutumika kwa laini za simu ambazo...
Back
Top Bottom