Wanabodi habari,
Hawa dada zetu avatar zao ni threat katika moyo wangu, Warembo, macho yao, midomo midogo, pua ndogo, nahisi mnawaonaga, wanapendeza mnoooo, kichwa kinauma last seen yao tangu saa sita mchana kipindi hiki na hii korona.
Mh!, nilizoea kuwa hata na like post zao lakini Leo moyo...