thread

  1. Binadamu Mtakatifu

    Special Thread to learn HTML, CSS and JAVACRIPT (Web Development) by Binadamu Mtakatifu

    Habari Wanajamvi baada ya kukaa na kufikiria nilipitia nyuzi nyingi zinazo husiana na web development ila sikupata nilicho hitaji. Kwenye huu uzi nitafundisha HTML, CSS na JAVASCRIPT kwa lugha isiyo sanifu na fupi kufanya kueleweka sana. Pia Uzi huu utumike kama mahala pa kuuliza chochote...
  2. C

    Pape Osman Sakho Special Thread

    Hii ni kutambua uwezo mkubwa wa huyu Mchezaji ambaye hakuna wa kufanana naye katika wote wanaocheza Ligi ya Tanzania
  3. Eqlypz

    Photographers' Corner

    Hapa tutakuwa tunashare picha tulizopiga au picha zilizopigwa na wapiga picha wengine ila zimetuvutia. Ikiwezekana vile vile tutakuwa tunaweka tips jinsi gani tumepiga picha, post processing etc etc. Tukiweka picha za wapiga picha wengine tujaribu kuweka source na jina la mpiga picha. Hii...
  4. Fio

    Hatimaye naanza na thread ya kwanza!

    Nawashukuru sana mods JamiiForums kwa kufanikisha hili, pia members wote humu mmeni inspire kwa michango yenu mizuri ikafanya mpaka nikaamua kujiunga. Ahsante sana, itapendeza kama mkanikaribisha kwa Likes, comment, ..
  5. I am Groot

    Fishes & Marine life special thread.

    Feng shoi au horn flower ni kati ya samaki bora kabisa kati ya waliochaguliwa kutengeneza mazingira ya furaha na kuvutia katika mazingira ya nyumbani. Kwa afya bora. Samaki huyu ana aminika kuleta bahati.
  6. Frustration

    Dream League Soccer Special Thread

    Hapa ni mahala salama kwa mpenzi wa Dream League Soccer(DLS). Game hili limetengenezwa na Kampuni ya FIRST TOUCH SOCCER(FTS). Game la DLS ni game bora zaidi kwa sasa duniani kwa upande wa soccer. SIFA PEKEE YA DLS 1. Linachukua nafasi ndogo kwenye simu. Pamoja na ubora wake wa graphics bado...
  7. tpaul

    Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

    Introduction Nimeamua kuanzisha uzi huu mahsusi unaohusu Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kama njia ya kukienzi chuo hiki kikongwe na cha kipekee nchini Tanzania na duniani kwa ujumla. Awali ya yote naomba ku declare interest kwamba mimi ni mhitimu kutoka SUA miaka mingi iliyopita wakati...
  8. Greatest Of All Time

    2021 AFCON Special Thread

    Michuano ya Afcon imefika, ni hapo kesho ndio inatarajiwa kuzinduliwa. Itafanyika kuanzia kesho Januari 9 mpaka Februari 6 mwaka huu. Michuano hii ilibidi ifanyike mwaka jana 2021 ila kwasababu ya Covid-19 ikahairishwa. Hivyo inafanyika mwaka huu ila ina jina la mwaka jana. Mwenyeji wa...
  9. Contraband

    Music Production Thread: Karibuni tubadilishane mawazo kuhusu, mixing trips and tricks na plugins zenye sounds nzuri.

    Habari wanajukwaa, kwa wale wapenzi wa music production tupeane mawazo mapya kwenye utengenezaji muziki, kuanzia utengenezaji wa melodies, drumkits na sounds nzuri zaidi. Vilevile sound engineers kama wapo wanakaribishwa. Sina uhakika kama thread ya aina hii imeshatengenezwa, lakini itasaidia...
  10. Mario Kempes

    Safari za Maulid Kitenge Marekani

    Hivi huyu mwamba huwa ana makazi huko? Au anafanya biashara gani huko kwa Joe Biden? Maana kwa mwaka mmoja anaweza kwenda Marekani hata mara nne au tano! Juzi tu hapa kabeba familia nzima kwenda nayo huko akiwemo mama yake mzazi. Jamaa yuko vizuri! NB: Mapovu pelekeni mkafulie
  11. Daktari wa Manchester

    Uber facts thread

    Habari za mda huu .. twende Uber facts thread 'Harvard University is older than the United States' 'Denmark and New Zealand are jointly ranked as the least corrupt countries in the world' 'About 8.9% of the world's population — 690 million people — go to bed hungry every night' 'Smoking...
  12. S

    STREET KNOCKOUTS special thread

  13. Trayvess Daniel

    Unyanyasaji wa haki za msingi za watotoa mashuleni umulikwe. Kiambatanisho kwa thread kifike mbali

    Wazazi tuungane kukemea hili. Tunazalisha kizazi cha watoto wajinga in the name of performance. Sisi tulienjoy shule ya msingi. Saa nane kamili unarudi nyumbani. Siku za michezo ni michezo kwelikweli Na baadhi yetu tumesoma shule zina mchaka chaka asubuhNa Na bado tulifaulu vizuri msingi...
  14. Castr

    True Crime Thread: Updated Regularly

    Ni usiku wa manane Ronnie Jr anasikia makelele baba na mama yake wanabishana. Anawafuata sebuleni anakuta damu zimesambaa sebule nzima, baba yake ameshikilia bunduki aina ya shotgun kumuelekea mama yake. Baba, Ronnie Oneal, alipoona mwanae amefika pale akamuamrisha atembee kuzunguka sebule huku...
  15. Kulwanotes

    'Traditional' Vs 'Modern' ways of life

    A traditional border between tribes, guarded by a Dani man on a watchtower, from the Baliem Valley of the New Guinea Highlands. A modern border between nations, guarded by remote-controlled cameras on a U.S. Customs and Border Patrol watchtower, at the border between the United States and...
  16. Light saber

    Penzi la udanganyifu

    PENZI LA UDANGANYIFU. Ilinyesha kama haijawahi kunyesha hapo awali, siku ile ilikuwa ni ya kipekee. Nilionekana nadhifu na mtanashati ndani ya suti yangu nyeusi, na nilinukia kama mfalme. Sikutaka chochote zaidi ya kutegemea mazuri kutwa nzima. "Siyo mimi ni wewe" Nilipokea ujumbe kwenye simu...
  17. Nairobi Gossip Club

    East Africa DJs & Mcs current events special thread✅

    a thread for all DJs and Mcs around East Africa to show their performance content and cross share ideas among us during this hard times.welcome all🙏🙏🙏
  18. Wakusolve

    Mbeya kwanza FC special thread

    Kama wewe ni mpenzi wa timu hii ya Mbeya iliyopanda daraja msimu huu karibu tujadili mambo gani muhimu yanatakiwa ili timu hii isishuke daraja.Katika maandalizi ya kuelekea ligi kuu timu hii imechukua kombe liloanzishwa na mkuu wa mkoa wa Mbeya baada ya kuifunga timu ya Ihefu fc.
  19. yuda75

    Atletico Madrid (special thread)

    YOUR WELCOME FANS
Back
Top Bottom