thread

  1. Viwango vya riba (Interest rate) thread

    Habari,naitwa Titus Devis.. karibu sana tuongee kuhusu viwango vya riba au interest rate kwa lugha ya kigeni Kwanza kabisa tuanze na viwango vya riba ni nini (what is interest rate) -Viwango vya riba ni kiasi cha pesa ambacho kinaongezeka kwenye pesa ambayo mkopaji amekopa baada ya muda...
  2. Borussia Dortmund (The Black and Yellows) - Official Thread

    WELCOME TO BORUSSIA DORTMUND OFFICIAL THREAD Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund, commonly known as Borussia Dortmund [boˈʁʊsi̯aː ˈdɔɐ̯tmʊnt],[2] BVB, Full name Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund Nickname(s) Die Borussen Die Schwarzgelben (The Black and Yellows) Der BVB...
  3. Rais Wa JMTZ saivi yuko wapi, Dar au Dom!? Special Thread..

    Wataalam wa AVIATION INDUSTRY watipigie hesabu... Yani How!?? Bomberdier au Dreamliner linapaa juu .. Hovyohovyo.. Tupeni bili..kodi.... Je!? Ni kodi za mafukara ndo zaMrusha mama!?? Lakini ile ndege ya Rais iko wapi!? TuloambiwA hata tule nyasi..!!!?
  4. D

    Halotel anzisheni special thread

    Halotel anzisheni special thread tuweze kuwafikia na kutoa malalamiko yetu dhidi ya huduma zenu mbaya. Mfano. Ukipiga simu huduma kwa wateja haipokelewi. Unaweza kununua bando ikachukua muda mrefu kabla huduma haijarejeshwa. Kumbukeni wengi tulihamia halotel baada ya kampuni kubwa kujisahau...
  5. Special Thread: Picha za Wanaume wenye mvuto World wide. Tupia picha Only Handsome men

  6. Thread maalum kwa wapenzi wa movie za zamani za Kihindi pamoja na mastaa wake

    Daah aisee movie za kihindi zamani zilijua kutukamata kulikuwa hakuna watafsiri lakini tulizielewa balaa. Miaka ya 80's huko wazazi wetu na wenyewe walikuwa na mastaa ambao waliwakubali Kama Dharmendra, Amitha Bachan, Shratugansina, Mithun chaklaboth, jitendra, huku maqueen wao wakiwa Kama...
  7. T

    Taarifa za usajili wa Wachezaji mbalimbali kwa mwaka 2021/2021 special thread

    Kwema wadau, Katika thread hii tutakuwa tukipeana Habari za usajili wa wachezaji kwa msimu 2021/22 kutoka nchi mbalimbali na ligi mbalimbali duniani. Kuna baadhi ya timu zimeshakamilisha usajili wa baadhi ya wachezaji ambapo: ULAYA, David Alaba from Fc Bayern to Real Madrid Memphis Depay...
  8. D

    Zanzibar | Special Thread

    Nimehisi nijaribu kuanzisha huu uzi kwa ajili ya kupeana support ya baadhi ya changamoto. Kwa wale wote wanaoishi Zanzibar au wanaopanga kwenda kuishi Zanzibar, Au kwa wale wanaotaka kwenda kwa ajili ya matembezi na menginayo. Hii thread tutasaidiana kwa ajili kuelekezana mambo tofauti ikiwemo...
  9. Kenya WSR 2021 Rally

    My Kenya brothers a thread show us what's happening in Vasha
  10. Uzalo Special Thread

    Wakuu kwa wale wapenzi wa Isidingo tuliipenda sana lakini hakuna kisicho na mwisho. Hivyo kwa sisi wafuatiliaji wa ITV wameamua kutuletea tamthilia mpya ya Uzalo, japo sina hakika kama ni mpya kabisa, ni ya muda kidogo. Kama mwaka juzi Hivyo uzi huu ni wa kupeana sasisho kwa wale watakaokosa na...
  11. FC Bayern Munich (The Bavarians) | Special Thread

    FCB , Bayern Munich , or FC Bayern , is a German professional sports club based in Munich , Bavaria. It is best known for its professional football team, which plays in the Bundesliga, the top tier of the German football league system. Bayern is the most successful club in German football...
  12. Special Thread: Best Turkish series & movies

    Wapenzi wa series za Uturuki nikiwa mmoja wapo, japo kuangalia kwa subtitles ni changamoto ila kwenye story wanajitahidi hasa kwenye visa kuanzia vya mapenzi, missions n.k Zifuatazo ni baadhi ambazo nimezielewa story zake 1. ARIZA 2. Tesklat 3. Zemheri 4. Sol yanim Ongezea list wale wapenzi...
  13. R

    Kwanini uteuzi wa Togolani Mavula na Hoyce Temu umezua mjadala?

    Mavula: Kwanini uteuzi wa Togolani Mavula na Hoyce Temu umezua mjadala? Nimejiuliza why particularly Togolani Mavula anatokea kwenye thread heading, likewise Hoyce Temu kumbe ni hivi: Huyu Togolani Mavila ana historia ya kuwa na ukaribu na Ombeni Sifue aliyekuwa Katibu Mkuu ofisi ya Rais...
  14. The Boondocks Special Thread

    What Woman Sir? This is one Here is a Whore. Kwa wapenzi wa The Boondocks mnatukuwa mnaelewa na ku enjoy hii scene ya Slickback oops 'the pimp named slickback". Huyu jamaa alinifurahisha sana. The Boondocks itabaki kuwa adult swim bora miaka yote. Hebu weka scene iliyokufurahisha.
  15. Bei za Malighafi mbalimbali za ujenzi

    Nimeona nianzishe uzi wa ku-update bei za vitu mbali mbali vinavyotumika katika ujenzi... kama mabati, tofali, kokoto, rangi, misumari n.k Uzi utakuwa updated kila wakati bei zinapobadilika na kama kuna material mpya ambayo haimo kwenye thread itaongezwa kwenye list katika post namba #2 ambayo...
  16. Usafi, mapambo na mpangilio wa nyumba: Special thread

    Huu ni uzi maalum wa kupeana ideas, uzoefu na elimu ya kupamba nyumba, namna ya kusafisha ndani na nje ya nyumba, pamoja na mpangilio wa vitu katika nyumba zetu.
  17. Special Thread: Job Opportunities at ITM Tanzania Ltd

    Habari Wanabodi Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya matangazo ya kazi kutoka ITM Tanzania Ltd. ......... Kufahamu kuhusu ITM Tanzania Ltd tafadhali tembelea: https://www.jamiiforums.com/threads/itm-tanzania-ltd-tunaomba-ukaribisho-wenu-wanabodi.1834571/ Ahsanteni na karibuni #WeAreITM
  18. Wizara ya Katiba na Sheria Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu na mijadala inayoendelea hapa kila siku kuhusu masuala ya Katiba na Sheria za nchi yetu. Aidha kuhusu haki za binadamu, rushwa, utawala wa sheria na mengineyo. Kupitia thread hii maalum; tutapokea maoni, ushauri na hata malalamiko yenu...
  19. M

    Ni thread gani yenye viewers na likes nyingi?

    Habari Kama naomba tubadili kuhusu Mada apo juu na pia tuingalie kwanini imepata hadhi hiyo. Shukrani
  20. Special thread for Javascript programmers and learner's

    Habarini wakuu mimi najifunza javascript japo kuna baadhi ya vitu sivielewi ningependa mnieleweshe muundo wa js kanuni muhimu za js na neno return linatumika vp kufunction code nanjia bora za kujifunza js Kwa sasa ninajua HTML,CSS Ahsanten na natumai mtanipa ufunguzi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…