1. Kila laini ina menu tofauti. Mfano Saizi yako ukiwa say na laini mbili za Tigo, kila laini ina menu tofauti ya size yako interms of every thing...dakika, MB, etc etc.
2. Laini ingine saizi yako ina 50 min tigo tigo, 50 mitandao yote, 50 msm/24/1,000
Na vurugu nyingine nyingi.
Takataka tupu