timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Murtaza Mangungu: Inakuwaje Timu Iliyoongozwa na Malofa Ikapigania Uhuru?

    Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu, anasema kwamba historia inadhihirisha tofauti kati ya timu za soka, akitaja Simba kuwa na wachezaji wenye akili huku akieleza kuwa timu iliyoongozwa na Malofa wanawezaje kusaidia mapambano makubwa katika kuleta uhuru. "Tumesoma vitabu vya historia na klabu...
  2. Kocha mpya unaekuja wa United panga timu yako hivi ili umalize top 6

    Leo kipara ngoto anasepa.
  3. Ancelloti kama huko humu ebu panga timu yako hivi

    Umeanza kwa kususua sana na timu haina stability, fanya hivi. Guler, endryk, rodrygo waanzie bench
  4. Je, Umeitambua hii ni timu gani?

    KITENDAWILI: Mechi ya kwanza 4️⃣ Mechi ya pili. 3️⃣ Mechi ya tatu. 2️⃣ Mechi ya nne. 1️⃣ Mechi ya tano sare Mechi ya sita itakuwaje?
  5. Mchezaji anayeisababishia timu yake kupata penati ihesabike kama assist.

    Hii haitozihusu zile penati zinazopatikana kwa beki kuunawa mpira ndani ya 18.Iwapo Mchezaji kapambana na kusababisha penati alafu hapewi fursa ya kupiga yeye basi walau ahesabiwe kama ame assist.Haina maana Mtu apambane asababishe penati tatu kwa mfano alafu zote zipigwe na mwingine,sifa zote...
  6. Simba na Yanga mpaka sasa kutokuwa na Viwanja vyao vyenye hadhi ya Kimataifa? Tatizo ni TFF, Sera au?

    Simba na Yanga ni vilabu vikongwe na vikubwa si Africa Mashariki tu bali Afrika kwa ujumla. Yanga na Simba zina historia kubwa pengine kuliko vilabu vingi Africa, historia zao zimejengwa katika lengo lililofanya vilabu hivi kuazishwa miaka zaidi ya 63 iliyopita. Vilabu hivi unaweza kuviita ni...
  7. Huenda Elly Mpanzu alikosa timu Ulaya kwa kudanganya umri?

    Huku Africa mpaka leo kuna watu bado wanazaliwa nyumbani,Africa nchi nyingi hazina database ya raia wake. Elly Mpanzu kuwa na miaka 22 !!!!. Mpanzu kama kazaliwa 2002 mimi nilishamaliza form six, lakini leo hii naonekana kijana kuliko yeye. Wazungu wana kipimo cha umri, si ajabu kilisoma 32...
  8. Yanga akizifunga timu zote zinazofadhiliwa na GSM atakuwa na point 36 kibindoni,Yanga Bingwa

    GSM wana akili sana Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao. Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga. Walitaka kufadhili ligi kuu eti Simba na timu zote zivae jezi ya GSM, Simba wakasema mkifanya hivyo tunahamia ligi ya Burundi au Zambia TFF wakaufyata. Wanayo familia kubwa sana, nusu ya...
  9. Yanga ridhikeni na pointi 3, timu zote zimesajili kupunguza kufungwa na Yanga magoli mengi

    Baada ya Yanga kutembeza vipigo vya magoli mengi msimu uliopita, kila timu msimu huu ilisajili kwa lengo la kukabiliana na Yanga kwenye idadi ya magoli. Mbinu za kila kocha na wachezaji ni namna ya kuzuia magoli mengi kutoka Yanga. Msishangae kupata goli moja shangaeni kukosa pointi 3.
  10. Kwa timu hizi , droo ya makundi CAFCL msimu huu hapatoshi.

    Habar za uzima wana JF Tarehe 7/10/ 2024 mwaka huu katika mji wa CAIRO ambapo ndipo yalipo makao makuu ya CAF tunatarajia kushuhudia droo ya kupangwa kwa makundi ya mashindano ya cafcl & cafcc kwa msimu huu. Kwa upande wa cafcl kutakua na pot's 4 , :- pot 1 ;-Al ahly{Egypt}...
  11. Wapenzi wa soka tujifunze kuheshimu juhudi na uwekezaji wa vilabu vidogo, sasa hivi NBCPL sio lelemama. Muwe na adabu

    Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar. Timu kama Mashujaa Fc Pamba Prison Jkt Singida black stars Fountain gate Tabora Fc Hizi timu kwa sasa kwa observations zangu baada ya kucheza mechi kadhaa zimeingia kwenye mfuno mapema...
  12. C

    Nilisema, ubora wa hizi timu upimwe baada ya kucheza ugenini

    Nadhani leo nimeeleweka baada ya mechi ya Dodoma v Simba. Walau tutaanza kuchagua maneno na kuchunga ndimi. Tuendelee kujenga timu
  13. HIVI MTU UNAWAZAJE KUSHABIKIA TIMU MBILI KWENYE LIGI MOJA

    Huwa najiuliza hivi mtu unawezaje kushabikia mpira timu mbili kwenye ligi Moja Kuna jamaa Huku anashabikia Manchester united na arsenal hivi hiki kitu kinawezekanaje aisee maana jamaa na jeze za Kila msimu ananunua za man u na arsenal
  14. GSM azuiliwe kudhamini timu zinazo shikiriki CAF Champions League

    Mimi Jemedari wa mchongo naumia sana kuona GSM ananunua game. Jambo hili linaharibu ladha ya ligi. GSM aliinunua Simba akaikanda 5, Azam 4, Vital'O 10, CBE 7. Tafadhali huyu adhibitiwe. Leo nasikia kanunua game ili Simba ipelekewe moto na Al Ahly Tripoli. Kibaya zaidi kila nikimpigia simu...
  15. YANGA NDO TIMU ILIOINGIA MAKUNDI KIBABE CAFCL MSIMU HUU

    Msimu huu yanga ndo time pekee iliyoingia makundi kibabe na kuionyesha Africa kuwa hakuna mpinzani atakayeweza kuzuia yanga mwaka huu
  16. Kuna Timu moja hapa Tanzania kamwe haitomsahau huyu Mchezaji

    Klabu ya Hapoel Petah Tikva inayoshiriki Ligi daraja la pili Nchini Israel umeachana na kiungo Kelvin Kapumbu ikiwa ni miezi miwili tu tangu nyota huyo raia wa Zambia atue klabuni hapo mnamo Julai 30, 2024 akitokea Zesco United. Chanzo: maulidkitenge Na kilichowaumiza zaidi siyo Yeye kuwafunga...
  17. Hatimaye Anthony Martial apata timu, atua Ugiriki

    Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Anthony Martial anatarajiwa kurejea uwanjani baada ya kusajiliwa akiwa mchezaji huru katika timu ya AEK Athens inayoshiriki Ligi Kuu ya Ugiriki. Martial (28) ambaye alidumu United kwa Misimu Tisa, hakuwa na timu tangu alipoondoka klabuni hapo...
  18. Al ahly Tripoli ni timu tishio sio tu kwa simba bali kwenye michuano yote. Simba isipokuwa makini itasambaratika na migogoro itaanza

    Wengi hamuoni kile ambacho mimi nakiona, mtu unaona kabisa hii ni hatari ila watu wengi wqnachukulia poa. Ahly Tripoli ina skills za kukaba na kuzuia ambazo sijawahi kuziona hapo CAFCC na CAFCL, Timu inauwezo wa kupiga pasifupi fupi na pasi ndefu kwa usahihi, Wana akili ya mpira na wanafanya...
  19. TFF ikiruhusu baadhi ya timu kutumia uwanja wa Mkapa katika preliminary rounds itakuwa upendeleo

    Uwanja wa Mkapa upo katika ukarabati, jambo lililopelekea baadhi ya mechi hususan hizi mechi za hatua ya awali kutoruhusiwa kutumia uwanja wa Mkapa mpaka hatua ya makundi ambapo vilabu ndipo huruhusiwa kutumia uwanja wa mkapa. Tumeshuhudia vilabu kama Yanga na Azam vikitumia viwanja vingine...
  20. Simba ndiyo timu ya Tanzania iliyofanyiwa vurugu na magumashi mara nyingi katika mashindano ya CAF

    Kuna timu inajitapa eti imehusika kuleta uhuru wa Tanzania ila haijawahi kuvuja jasho na kucheza katika mazingira magumu ambayo unaweza hata kuwaza kama baada ya mechi utabaki na uhai wako. Simba ndiyo timu pekee Tanzania ambayo imepitia mazingira hayo mara nyingi kuliko timu yoyote ile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…