tour

  1. Royal Tour yaibua maswali mengi kuliko majibu

    Ni kwamba, 1. Hii filamu tunaambiwa imegharamu Tshs 7 bn. Mpaka Leo hatujaambiwa ni kina nani wamechangia gharama hizi. 2. Tunaambiwa Peter at el ndiyo wenye hati miliki yaani copyright. Hivyo filamu ni yao na watalipwa wao. Sasa kwa Tanzania ina tafsiri IPI? 3. Huyu Peter ameshafanya Royal...
  2. Maridhiano yamesababisha tusiambiwe akina nani walichanga pesa za kushoot royal tour

    Mkuu wa nchi baada ya kuona watanzania wanamashaka namna royal tour ilivyodhaminiwa aliahidi kuwataja hadharani waliochanga na namna michango ilivyochangwa. Sasa hivi naona watanzania wameshasahaurishwa tena juu ya hili maana maridhiano yamepamba moto ili mifarakano itulie kwanza. Lakini...
  3. Vicky Kamata: Royal Tour inaenda kubadilisha akili ya Wanawake wajitegemee, Waache kutegemea kila kitu Wanaume

    Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake laki moja Vicky Kamata amesema Royal tour inaenda kubadilisha akili ya Wanakwake wajitegemee waache kuwa Ombamba. ameyasema hayo Wakati alipokutana na Wanahabari jijini Dar tarehe 20 Mei 2022 kuelezea Madhumuni ya Taasisi ya Wanawake laki moja ambayo ni kupinga...
  4. Nangasu Werema: Royal Tour ya Tanzania sio Bongo Movie wala Nollywood. Royal Tour inalenga kuhamasisha Utalii Tanzania

    Mkurugenzi wa miradi ya Wanawake laki moja na Balozi wa Utalii Tanzania Nangasu Werema, amesema Royal Tour ya Tanzania sio Bongo Movie wala Nollywood. Royal Tour inalenga kuhamasisha Utalii Tanzania na kuelezea sehemu zenye Vivutio vya Utalii ili kuongeza Utalii na fedha za Kigeni. Ameyasema...
  5. Serikali haijali kuhusu vitu vya kihistoria, inakuwa na maana gani Royal Tour?

    Royal Tour imeonesha mbuga, mlima na bahari lakini kuna vitu vingi vya kihistoria ikiwemo mifupa ya mijusi mikubwa, unyayo wa mtu wa kale, na mambo mengine ambayo ni muhimu sana kwa tafiti sio tu kwa watalii ambapo hela ambayo tungeweza kuipata ni kubwa zaidi kuliko inayopatikana kwenye utalii...
  6. Gharama ya chumba kwa siku ni Milioni 1.7 kwa Hoteli ya the Ritz Carlton iliyotumika na Msafara wa Royal Tour Marekani

    Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton. Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi za kitanzania milioni moja na laki saba. Ila kama ni usiku mmoja tu ni sawa na dola mia tisa ambazo...
  7. M

    Hivi Royal tour ina nini mpaka mtumie nguvu kuinadi namna hii?

    Hivi mnawaona watanzania kama watoto wadogo kiasi cha kuwadanganya namna hii? Hii filamu ina nini nyuma yake mpaka muitetee hivi? Kuna nini kimejificha huko? Haya unayotuambia PM Majaliwa ni kweli? 👇Majaliwa asema filamu ya Royal Tour imeanza kuonesha mafanikio Mbona TTB walisema watalii...
  8. B

    Nimeitazama Royal tour, Je, Ile ni Royal tour au SSH DOCUMENTARY?

    Habari wakuu, Sichelei kusema kwamba ,hiyo Royal tour tumepigwa na kitu kizito kichwani, Nimeitazama Royal tour, Je, Ile ni Royal tour au SSH DOCUMENTARY? Naona Kama inaonesha maisha binafsi ya SSH kupitia huyo mzungu Peter, Kama ni B 7 TUMEPIGWA NA KITU KIZITO
  9. M

    Maandamano kupongeza Royal tour ni upuuzi wa kisiasa utaloligharimu taifa letu. Ndio maana hatutoboi

    Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana? Rais akinunua ndege mtaandamana? Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi. What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
  10. Nashauri Royal Tour izinduliwe Nchi nzima. Kumbe ina faida kubwa kwetu Watanzania kiasi hiki? Sikuwa najua

    Ule uzinduzi wa Marekani ulikuwa na faida sana kwa wale ambao tulipata nafasi ya kwenda kuhudhuria kule na kuhamasisha. Ingawa tulikaa siku chache sana lakini si haba. Wengi wameweza kufanya kitu nyumbani. Wengine wamepaua,wamenunua tugari,viwanja n.k mimi nimeangalia wanaopinga hii ni wivu tu...
  11. Je, ipo siku yatajirudia ya Magufuli kwamba Ndege zimeleta faida! Rais Samia atatulazimisha kusema Royal tour imeingiza mabilion? Swali tu

    Niliuliza kwamba je mwaka 2025 tutalazimishwa kusema TANZANIA iko uchumi wa kati ? Wakati ni Data za kupika? Je ipo siku tutaambiwa kwamba Royal tour imezaa matunda wameongezeka watalii mamilion ? Na mapato ya Utalii yamefika mabilioni? Mama usiingie mtego huu hata kidogo Najua zitapikwa...
  12. Kuna phase two na three ya Royal Tour

    Wadau naomba nielewe maana ya hii kitu Rais amesema kuna phase two na three... au ni part two na three? Rais anasema alikuwa muigizaji wanapiga takes kadhaa akikosea anarudia. awataja maafisa usalama kama changamoto asema walikuwa wanamzuia kufanya baadhi ya scenes. Rais ameyasema hayo JNICC...
  13. Rais Samia: Nilikuwa Tour Guider kwenye movie ya Royal Tour

    RAIS SAMIA AKISHIRIKI UZINDUZI WA FILAMU YA THE ROYAL TOUR - JNICC, DAR ES SALAAM Tulianzia Marekani kwa kuwa utalii uliathirika na COVID na watalii kutoka Marekani walipungua. Sekta ya Utalii inaajiri 4% ya watanzania na iliathirika sana wakati wa COVID19. Rais Samia. Filamu ilikamilika...
  14. K

    Agenda kuu ya uchumi ya Rais Samia ni ipi? Royal Tour?

    Enzi za Kikwete mlituambia uchumi wa gesi!! Magufuli mkatuambia wa viwanda. Hussein Mwinyi kule Zanzibar tunaambiwa wa uchumi BULUU. Huyu Mama yenu yeye agenda kuu ya kiuchumi ni ipi?!! Royal Tour?!! Nchi ndogo kama Rwanda inatangaza utalii kwenye ligi kuu ya England kupitia team ya Arsenal...
  15. Hivi hiki Kiingereza kwenye Royal Tour kipo sawa?

    Wakuu habari zenu. Nimepita kwenye status moja ya mdada nikakutana na hiyo clip ya Royal Tour kukiwa na maongezi kati ya Rais Samia na huyo mzungu. Kuna kipande Rais Samia anamwambia huyo mzungu kuwa THIS IS BEGINNING OF BEAUTIFUL FRIENDSHIP. Nimejiuliza mara 2 kuhusu hiko Kiingereza je kipo...
  16. Royal Tour ndo ishasahaulika?

    Kama upepo ulivyo, habari za Royal Tour zishaanza kupita. Watanzania tushahamia kwenye habari za Lengai Sabaya. Toka mwanzo, mimi nilikuwa na shaka sana juu ya hiyo filamu. Kama lengo lake lilikuwa ni kuitangaza Tanzania, mbona wahusika wake hawajafanya yale yanayopaswa kufanywa ili...
  17. B

    Kufuatia Royal tour, sasa wizara kubomoa nyumba Kilwa ili ziwe za kisasa

    05 May 2022 SIKU YA KUADHIMISHA URITHI WA DUNIA AFRIKA, WIZARA KUBOMOA MAJENGO YA URITHI KILWA Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia mamlaka ya usimamizi wanyama-pori TAWA ikiadhimisha siku ya urithi wa dunia Afrika imesema ina mpango wa kuboresha mazingira ya Kilwa Kisiwani kwa kubomoa...
  18. Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

    "Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika, hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza, tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule 👇
  19. U

    Video ya Mzungu huyu TZ Ina views wengi ndani ya siku moja kuliko royal tour

    Kuna huyu Mzungu yupo huko you tube huwa anafanya documentary kuhusu misosi na utamaduni ndani ya nchi mbalimbali duniani na channel yake Ina nguvu sana. Inaitwa best ever food review show, Sasa huyu mtu ana subscription za you tube mil8.4 zaidi ya diamond platnumz, huyu mtu ameitangaza nchi ya...
  20. Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

    Wa-TZ wenzangu! Wakati wa Wikileak nilitambua walioendelea na hasa US wanatumia maafisa wa ubalozini ili kuzifahamu nchi walimo. Balozi zao zinatumika sana kuwaelewesha tabia za viongozi wetu; uwezo na udhaifu wao. Ina maana Peter Greenberg alikuja akiwa director wa film lakini naaamini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…