Naomba nishare nawewe alichokisema kaka yangu James Gayo kwa maneno haya.
Kinachosemwa huku mitaani ni kwamba, Tanzania imetengeneza sinema (Wengine wameiita tangazo na wengine makala) ya Royal Tour ili kuvutia utalii na Rais wa Tanzania ndiye mwigizaji mkuu. Kwa kauli hiyo inadhaniwa kuwa huu...
Serikali ya Tanzania imesema zaidi ya shilingi bilioni 7 zilikusanywa kutoka kwa watu binafsi ili kufadhili uandaaji wa filamu ya Royal Tour. Serikali inakiri mambo haya:
1. Serikali ndio iliyoomba watu mbalimbali wachangie pesa za kuandaa hiyo filamu.
2. Serikali ndio iliyoratibu ukusanyaji wa...
Watanzania tuwe makini ...
Uhuru wa maoni ni moja kati ya ajenda ambayo Chadema wanasema wanaipigania kupitia katika katiba mpya, Leo mchungaji msigwa katoa maoni yake kuisifia royal tour na mama Samia, Chadema wanamshambulia, hivi hawa hiyo katiba mpya wanayoitaka wanajua maana yake?
Hawa...
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza na kumsifu Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuifungua Tanzania kitaifa na Kimataifa,
Aidha Katibu huyo wa Itikadi & Uenezi wa CCM-tanzania amempongeza zaidi Mhe Samia Saluhu...
Nimejaribu ku rent ama kununua nikashindwa kwa sababu ya billing address nje na US . Payment inaonyesha in $ tu. Please mwenye msaada ili tuangalie wote ubunifu wa mkuu wa machifu wetu naomba msaada.
Tangu Rais Samia ameingia nchini leo asubuhi.
Ametoa hotuba mara mbili kupitia TBC.
Moja ni pale Kwenye hafla fupi ya mapokezi uwanjani Kilimanjaro, leo asubuhi.
Na nyingine ni pale AICC kwenye uzinduzi wa Royal Tour nchini jioni hii.
Mara zote Mheshimiwa Raisi amelipa kipaumbele suala la...
Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuwashawishi wageni wengi kuifahamu Tanzania na kwalo HADI BABA YAKE RIHANNA AMEKUBALI KUJA KUISHI TANZANIA!
Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa.
Asante mama Samia kwa kufanikiwa kumshawishi BABA Rihanna kuja kuishi Tanzania.
Kwanza Rais wa JMT nakupongeza kwa jitihada zako za kupigania maisha ya Watanzania.
Nimefurahishwa sana na wazo lako la filamu inayotangaza vivutio vya utalii nchini.
Ziara yako Marekani ni nyenzo kuu ya kuinua uchumi wa Tanzania katika utalii na uwekezaji.
Hakika Rais wewe ni zawadi kwa...
"Kamati ya Kitaifa ya Rais ya Kutangaza Tanzania, imesema kuwa Mei 8, 2022 Filamu ya Tanzania ‘The Royal Tour’ itaoneshwa vituo vyote vya Runinga Nchini ili watanzania wote wapate nafasi ya kuiona."-Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi.
Takwimu toka Idara ya Utalii Dubai unaonyesha kwa mwaka 2019 tu Jiji la Dubai pekee lilipokea watalii yapata milioni 16.
SWALI: wao walifanya Movie ya Royal tour lini?
Sijui viongozi wetu wanawaza nini lakini kwa kifupi ama wamepotoka au wanapotoshwa. Filamu ya aina ya Royal Tour si ya kwanza kuandaliwa duniani, ndugu zetu wa Rwanda walikwisha iandaa na imekwisha tazamwa sana. Sasa sijui kama viongozi wetu walikwisha fanya research ndogo tu kuona...
Nimebahatika kuangalia filamu ya Royal Tour.
Mimi binafsi haijanivutia, na hata watoto wangu wamesema hawajaona jambo jipya.
Filamu imeonyesha mlima Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro, Serengeti, na hifadhi ya pembe za ndovu / nyara za taifa.
Sasa maeneo hayo yameshaonyeshwa katika filamu...
Wanajamvi,
Nimeona niseme hili bila kuwa “bias”. Kwa maslahi ya Taifa letu na wananchi wake kwa ujumla.
Kwasababu sitaki kuwa “negative” kuhusiana na jitihada za serikali hii ya “awamu ya sita”, ningependa kuweka wazi hii “disclaimer”
Kwamba nakubaliana na jitihada za kutangaza Taifa letu...
Imani yangu inanituma kwamba, wazo la kuja na kutengeneza Royal Tour Tanzania, nimechochewa zaidi na Tanzania kuwa na Rais Mwanamke.
Licha tu ya kuwa na Rais mwanamke ambaye kwa nchi za magharibi ni kitu ambacho wanavutiwa nacho zaidi, lakini pia aina ya siasa anayofanya Rais Samia...
Baada ya kuiona trailer ya documentary ya Royal Tour na kufahamishwa kuwa ipo Amazon, niliamua na mie ngoja nilipie kuiangalia. Ajabu ni kwamba nilipotaka kulipia nilipata ujumbe kwamba kwa kuwa credit card yangu sio ya USA basi siruhusiwi kuilipia.
Hivi huu ubaguzi hadi kwenye credit card?
Nimeshtushwa na maneno ya dharau ya huyu director wa filamu inayotangaza utalii nchini Tanzania ya Royal Tour kwa rais wetu Bibi Samia Suluhu Hassan.
Amemshauri mh.Rais aache urais awe muigizija, kwani amevutiwa na uigizaji wake.
Vile vile anamuita mtukufu rais kwa jina lake ''Samia", baada ya...
Mjadala ulijitokeza miaka iliyopita kuhusu pesa za Escrow zilikuwa za umma au siyo za umma. Waliokuwa wanasema si za umma kimsingi walikuwa wanatetea upigaji wake na serikali isiingilie.
Waliokuwa wanasema ni za umma walikuwa wanatetea maslahi ya umma ikizingatiwa kuwa zilikuwa zinahifadhiwa...