Ukraine wamedhamiria, wapo radhi kuendelea kulipa gharama, wanasukuma mapigo kwa kwenda mbele, kunao wanakufa ila ndio hivyo, ardhi lazima ikombolewe, wanasema mpaka sasa hamna gia itakayorudisha juhudi nyuma, kurudi nyuma ni kutoheshimu damu za ndugu zao waliokufa....
Kwamba kwa sasa namna ya...