tukutane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tunaotarajia kuomba kusoma Vyuo vya Afya kwa mwaka 2024/2025 tukutane hapa .TCU wanafungua mwezi ujao

    Hii ni thread kwa ajili ya kujadili changamoto ,miongozo ya kupata nafasi katika vyuo mbali mbali vya afya Hapa Tanzania.
  2. G

    Tukutane hapa tuliowahi kufukuza / kufukuzwa na polisi, wezi. Je, ulichomoka kwa anaekufukuza ama kumpata unaemfukuzia?

    2014 hiyo nipo napiga misele kwenye kagari kangu carina ti, nipo eneo halina magari ghafla nikafika sehemu nigeuze gari bila kuangalia nyuma, vile nageuza nasikia kishindo, kuangalia nyuma ni gari ya idara fulani ya usalama, akili ziliziruka maana navyosikia ukiingia 18 zao utaita maji mma...
  3. M

    Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

    Dirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa tarehe 15 mwezi ujao. Kwa tunaotarajia kuomba OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA tukutane hapa tujadili mawili matatu, pia wenye uzoefu na Open University nawakaribisha mtupe uzoefu kuhusu chuo hiki kwenye mode of delivery, field na mengineyo. Nawasilisha.
  4. Tuliokuwa tunajua kutumia computer kabla ya Windows XP tukutane hapa, Hofu ya Y2K n.k

    Wale wakongwe walio anza kutumia computer na operating system za Ms DOS, Windows 95, Windows 98 na kabla ya hapo njoo tupe historia yako ulijifunzia wapi computer. Nini au tukio gani linakukumbusha mbali na ilikuwaje. Unakumbuka nini juu ya hofu ya Y2K? Ilisemekana computer zote zitazima...
  5. Waliozaliwa 1984 tukutane hapa tuzungumze...

    They say 'life begins at forty!' Sasa kama wewe umeshafikisha miaka 40 au umebakiza siku au miezi kadhaa, hebu tujuzane ni nini umejifunza? Ni mangapi umefanikisha? Changamoto ni zipi za kusaidia wengine kupambana zaidi? Karibuni sana legend.
  6. Video: Jengo la Ofisi ya Machinga Kilimanjaro

    Sikiliza, na tukutane tuujadili
  7. Wale tulioomba ajira za muda za Tume Huru ya Uchaguzi tukutane hapa

    Wale wote tulioomba ajira za muda katika Tume Huru ya Uchaguzi kwajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura huu ni uzi wetu. Tupeane updates ya majina yatatoka lini?
  8. Wanaovizia scholarship za japan tukutane hapa

    Kupeana mawili matatu yanayohusu changamoto za kwenye application hio toka wizara ya elimu ya japan. Maana application imekaa Kwa lugha sio nyepesi kivile.. Mpo mliona tangazo?
  9. Tukutane tunaomiliki magofu kwa ajili ya kufarijiana

    Wakuu habari za muda huu najua mko njema tunaendelea kupata pumzi ya bure na Mungu atubariki Kama kawaida kuna wakati mtu unapambana na inafika hatua unatamani uwe na kwako uchomoke kwenye mambo za kupanga au tena ukahitaji kujiwekeza kwenye ujenzi kama biashara Sasa kama ilivyo kawaida...
  10. G

    Tuliozaliwa na kukulia mjini bila kupajua / kutembelea vijijini kwetu tukutane hapa, una majuto yoyote ?

    Nimezaliwa mjini, nimekulia mjini maisha yote hadi sasa na mimi nimekuwa mzazi sijawahi kukijua wala kutembelea kijiji cha mzee. Kitu nachojua pekee ni kwamba mzee ni wa huko Ruvuma, maeneo ya Tunduru. Kuna kipindi huwa natamani walau ningekuwa naweza kwenda kusalimia na kutalii huko kijijini...
  11. Wale tuliopewa muonekano na ngozi nzuri hata kama tuna changamoto za kimaisha tukutane hapa

    Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu wakituona huwa wanazidi kuchanganyikiwa zaidi tukutane hapa 😊
  12. Wale wenye tukio la kusahau tukutane hapa

    Wale ambao wasahaulifu tukutane hapa Mimi kisa cha kwanza nilimsahau demu wangu Prisca upendo lodge pale Kimara Kisa cha pili nilisahau Kadi ya bank na hela laki 2 ATM ya CRDB LUMUMBA Kisa cha tatu nilisahau siku ya interview ya TPDC Kisa cha nne nilisahau kwetu nikaenda kulala kwa jirani...
  13. Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    yanga ilianzishwa mnamo mwaka 1935 na inasemekana ndo klabu kongwe na yenye mafanikio zaidi hapa nchini. klabu hii ilianzishwa na wazalendo halisi wa nchi hii waliokuwa wakiji shughulisha na uchuuzi wa nazi na samaki na muda wao wa jioni ulipofika walikuwa wakijumuika pamoja kusakata kabumbu na...
  14. D

    Ambayo hatutangalia mechi za champions league za Simba na yanga Tukutane hapa

    Mimi nitakuwa busy na kazi kwa siku zote mbili. So sitaweza Hata kufatilia. Na shauri : Wazee wa pressure hizi match wasiangalie. Kama una mzee shabiki wa hizi team akae mbali na TV Unaweza Mpoteza. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Goli ni nyingi sana . Vijana wa kariakoo wamelamba joker πŸƒ. Wamepotea njia, wameibukia...
  15. G

    Let's be honest: Kwanini upo/ uliwahi kuwa single kwa muda mrefu?

    Nakumbuka nikiwa chuoni hadi nikawa najiulizaga mwenyewe nakosea wapi mpaka nakuwa single ? Yani nilikuwa naona wivu sana wenzangu wanavyoleta madem zao huku mimi nabaki kupigwa excile, kusifia shem huku roho inauma, n.k. Niliona naweza kumaliza chuo kwa usingle Nikaja kugundua kwamba nipo...
  16. MJADALA: Tukutane hapa wale wazee wa kunyakua pisi mpya mpya zikitua tu maeneo iwe kazini, bar au mtaani. Mbinu, uzoefu, changamoto na tahadhali.

    Jay z anakwambia "Let's just stay in the moment. Smoke some weed, drink some wine. Reminisce, talk some shit, forever young is in your mind" Leo mabaharia wale wazee wa kutabaruku pisi mpya mpya tukutane hapa. Hii inawahusu wale wanaume ambao sisi ili kujiona kwamba ndio wafalme wa zizi/kundi...
  17. G

    Tukutane hapa tuliopata ubaba kabla ya ndoa, ilikuwaje, ulichukua maaamuzi gani, ndie uliemuoa?

    Nakumbuka jioni ya siku kama ya leo kuelekea weekend nilimuita aje tuspend kwangu. Mida kama hii nashangaa msosi naoukuta mezani sio kawaida yake kuniandalia akija, aliandaa juice nzito, pilau la nazi na njegere. nimemaliza kula namsifu kwa mapishi yake ajiandae nae nimle, ndio akanifungukia...
  18. Suti za ofisini na harusi zinapatikana

    Doctor_clothing_store tunatoa suluhisho la upatikanaji wa suti za kiume za ofisini, harusi, msibani na kwenye matukio maalumu. suti zetu ni za ubora wa hali ya juu (zimetoka uturuki) Bei ya suti inategemea aina ya suti Kuna za Tsh.150,000/=, 170,000/=, 180,000/=, 200,000/=, 250,000/= na...
  19. M

    Friends of Mamelodi Sundowns tukutane hapa

    Nikiwa kama mdau wa soka safi hapa duniani huwa napenda sana kuona jinsi timu ya mamelodi sundowns kutoka nchini Afrika ya kusini jinsi inavyosakata kabumbu . Karibuni marafiki na wadau wote wanaoitakia mema timu ya mamelodi sundowns.
  20. Tuliomuona Guede ni Garasa tukutane tunamuomba Radhi na pia tukawawambe Makofi waliotumwa Wachovu Fred na Job

    Kwa Mechi zangu Tatu tu nilizotulia na Kumtizama Kiufundi Guede nimelazimika kuuweka pembeni Usimba wangu na Kubakia Mwanamichezo na Mchambuzi kwa kusema kuwa hakika Yanga SC wamepata Mshambuliaji wa uhakika ambaye Natabiri atakuja kuwasaidia mno. Receiving yake, Positioning yake, Anticipation...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…