Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, akizungumza jana wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Rais wa Tanzania, amesema kuwa njia pekee ya kuwalinda vijana wa kizazi cha Gen Z ni kuwapatia elimu, ujuzi, pamoja na fursa za ajira na biashara.
Aidha, amempongeza Rais kwa ushindi wake na kwa kuendelea...