ubingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sincerely kwanini nataka Yanga SC ifike Fainali ya CAFCC na Ibebe kabisa na Ubingwa?

    1. Ili wana Simba SC tunaodanganywa kila mara mpaka kutuletea Mchezaji Mhamasishaji, Majeruhiwa, Mwanasiasa ( hasa za Michezo ), Mpiga Kura, Msanii na kufanywa Wapumbavu tuumbuke. 2. Ili Uongozi mbovu na wa Upigaji mwingi ubadilike au uachie ngazi. 3. Itufanye Mashabiki wa Simba SC kuachana na...
  2. Tff na Bodi ya Ligi imeisadia Yanga kushinda ubingwa msimu wa 2022/23

    Habari kwenu nyote. Katika kile ambacho TFF na Bodi ya Ligi inakipinga kila siku suala la upangaji wa matokeo,lakini wao kwa namna moja ama nyingine wamekua wakikifanya kwa makusudi kabisa bila kushtakiwa na mtu yeyote. Hivi inawezekana vipi katika hali ya ushindani wewe unapanga ratibu Simba...
  3. Faisal asinyimwe kuvaa medali ya ubingwa

    Ubingwa huu wa Yanga una mchango mkubwa wa mtukutu Fei Toto. Jasho lake ni jingi mno kwenye msimamo wa ligi. Aitwe ashiriki kuvaa medali sawa na wenzake.
  4. D

    Yanga akishinda leo Anabeba Ubingwa ligi kuu 2022/23!

    Wananchi wanakipiga dhidi ya Dodoma FC leo! Wanahitaji point 3 tu watangaze Ubingwa! Unadhani kazi itakua rahisi kwa Yanga mbele ya wanaDodoma? Wanangu wa mikeka ya Sokabet, Cheki Odds hapa👇
  5. Ubora wa Kocha Nabi unaweza kuwapa Ubingwa wa Shirikisho timu ya Yanga, na hata kufika mbali zaidi Ligi ya mabingwa mwakani

    Kocha Nabi namsifia sana kutokana kuitengeneza Yanga kucheza kitimu zaidi na mbinu zake katika kuzikabili mechi kubwa Tukiachana na usajili wa wachezaji wazuri, tuhuma za kuhonga na mbinu nyingine nje ya uwanja ni kwamba huyu kocha ni chachu kubwa sana ya mafanikio ya timu ya Yanga uwanjani...
  6. B

    Simba kuukatia tamaa ubingwa ni kosa kubwa sana

    Kuanzia kikosi alochopanga kocha hadi uchezaji na hatimae draw ni dhahiri Simba walikuwa wameshakata tamaa ya ubingwa mwaka huu 2023. Hili ni kosa kubwa sn wamefanya. Hata mwaka jana walikata tamaa mapema na kumalizia mechi zao ilimradi kwa kutoa sare nk bila kujua kuwa hata wapinzani wao...
  7. Kwa hali halisi ilivyo, Simba anaenda kumpita Yanga kwenye ubingwa NBC

    Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city. Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na Prison, Simba huyo kileleni, mark my words nimekaa pale.
  8. Ushahidi wa picha: Simba imewahi kutwaa ubingwa Afrika

    Kwa wale wasiofahamu, Simba SC imewahi kutinga na kunyanyua kwapa mara kadhaa katika hatua ya nusu na fainali hatimaye ubingwa huko ughaibuni. Hapa ni moja ya viungo wakabaji akiwa amenyanyua kwapa baada ya kutwaa ndoo. Hapa ni moja ya ndoo zilizochukuliwa na kilabu hiki katika michuano hiyo...
  9. Man City Vs Arsenal | Mchezo utakaotoa taswira ya ubingwa

    Mabingwa watetezi wa EPL, Man City watakuwa nyumbani Etihad kuwakaribisha vinara wa ligi hiyo Arsenal. Arsenal amemuacha Man City kwa alama 5 huku akiwa amecheza mechi mbili zaidi ya City. Mara ya mwisho Arsenal kumfunga City katika ligi ni mwaka 2015. Utaona ni namna gani mchezo wa leo ulivyo...
  10. Yanga tusichukulie poa ubingwa wa Ligi, Sioni mnyama akiachia point yoyote kwa mechi 4 zilizobaki, hakuna namna kushinda mechi 3 zijazo

    Hali ilivyo kuwa jana imeharibu mipango mingi mno, kwa sasa namna pekee ya kulitetea kombe la ligi kuu ni kushinda mecho 3 kati ya nne, nje ya hapo tusubirie maumivu, yapasa tukaze kweli kweli tusilete masikhara hata michezo ya nje ifanyike poa tu, kinachokumbukwa ni michezo ya nje au ubingwa ...
  11. Arsenali ubingwa mtausikia tu

    Asernal wasahau kabisa kuhusu kuchukua kikombe, mechi zidi ya man city atapigwa wima, goals difference zinampa ubingwa city, kikombe ambacho mtabeba arsenal labda ya uji wakati wa kufuturu😅😅😅😅
  12. J

    Granit Xhaka ndio kuigharimu Arsenal mchezo wa leo, na ubingwa wa ligi

    Kwa wale ambao ni watazamaji wa mchezo wa mpira wa miguu wanajua kuna vitu vidogo sana ambavyo vinaweza kubadilisha mwelekeo wa mchezo na kubadili na matokeo moja kwa moja Kitu ambacho kimebadili mchezo wa leo wakati Arsenal ikiongoza 2-0 ni kitendo cha mchezaji wao Granit Xhaka kutaka kupigana...
  13. Ile safari ya Arsenal kutokuchukua ubingwa inaanza leo kwa kichapo pale Anfield

    wote tumekubaliana kuwa Arsenal hatobeba ndoo. Basi katika ile safari yake ya kutochukua ubingwa leo pale Anfield atachapika magoli 2-1. Kama unabisga subiria dakika 90.
  14. Kwa mechi hizi zilizobaki unampa nani ubingwa wa Premier League?

    Ligi Kuu ya Uingereza inaelekea ukingoni, zikiwa zimebaki mechi kadhaa, Arsenal anaongoza ligi kwa alama 5 huku akiwa amecheza mechi moja zaidi ya Man City. Man City yeye amebakiza mechi 10 wakati Arsenal amebakiza mechi 9. Haya tuone kila timu imebakiza mechi zipi na baada ya hapo tabiri nani...
  15. S

    Rais wa club ya Yanga kawatoa hofu ubingwa wa CAF ni lazima jangwani

    "Sisi ndio tutakuwa timu ya Kwanza kutoka kwenye ardhi ya Tanzania kulileta Kombe la CAF nchini Inshallah, Jumapili tukifanikiwa kutinga Robo fainali nina Imani tutavuka na kwenda Nusu fainali , baadae Fainali na Inshallah sisi ndio itakuwa timu ya Kwanza kushangilia taji hili"" Wananchi msiwe...
  16. Bondia Tony Rashid avuliwa ubingwa ABU, yadaiwa ulikuwa wa koneksheni

    Hii ndiyo taarifa mpya iliyosambazwa mitandaoni, ambako inadaiwa Rais wa ABU Haucine Hauichi amegundua kwamba alama zilizotangazwa na Majaji wa mchongo zilipigwa karata tatu, keusi kekundu. Kwamba alizopaswa kupewa Sabelo Ngebinyana wa S. Africa akapewa Tony Rashid kwa njia ya Uzalendo. ABU...
  17. Itakuwa ni aibu na fedheha kwa wanasoka kama Arsenal hii itachukua ubingwa EPL

    Tangu kuongoza kwa ligi na matokeo waliokuwa wakiyapata, kuna kina sisi ambao tulikuwa tunaona ni dharau sana kwa haka katimu kukalia usukani. Anyway EPL ni mbio ndefu sana, tunategemea katakaa mahali panapostahili siku zote( Nafasi ya 3 ,4 au ya 5) Arsenal hii siyo ya kuchukua ubingwa na kama...
  18. Hivi bado kuna mashabiki wa Arsenal wanaamini watapata ubingwa msimu huu?

    Kwa mwenendo wa checheme huu kweli kuna mashabiki wanaamini timu yao itachukua ubingwa? Kesho wanadondosha point mbele ya Manchester City. Nina uhakika kwa asilimia 100 akijitahidi ni kupata sare. Timu langu Liverpool hali ni mbaya, nikawa natamani sana Arsenal iuchukue ubingwa badala ya kwenda...
  19. Ubingwa alioupoteza Haji Manara ni upi?

    Kumekuwa na sintofahamu kuwa hivi sasa Manara tangu tu alipoenda Dubai amepoteza kabisa ubingwa wake, hali iliyopelekea mke wake mdogo kumkimbia. Ikumbukwe kuwa Haji manara ni balozi wa wasafi bet hivyo yeye na mkewe walilipiwa gharama zote za safari kwenda na kurudi malazi vyakula vilipwa...
  20. Wanavyowaza wana Yanga kuhusu ubingwa

    Ni wana Yanga pekee wanaowaza tofauti na binadamu wengine. Wao ndio pekee wanaoamini kuwa Chelsea Atatwaa ubingwa wa English Premier league wakati kazidiwa points 16 na anayeongoza ligi lakini Simba hawezi kamwe kutwaa ubingwa wa NBCPL wakati kazidiwa points 6 tu na anayeongoza ligi. Akili zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…