Kwa takriban karne 21 sasa Bara la Afrika limekuwa likitegemea Teknolojia kutoka Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani, Ujerumani, Uingereza na baadhi ya Mataifa ya Asia Magharibi. Kwa hili naomba niseme asante sana kwa Mataifa ya Magharibi kwani mmeweza kulisaidia Bara la Afrika katika nyanja...
Habari zenu ndugu zangu. NATAFUTA FUNDI !
Nimepata bahati ya kusafiri Asia na nikakutana na ubunifu huu (picha hapo chini). Wenzetu bajaji zao sio za kusafirishia abiria tu, ila wana zi design kitofauti na kufanya nazo biashara zingine.
Mtu anachukua bajaji ya kawaida, anaondoa siti za nyuma...
UTANGULIZI
Dunia ya sasa na inakoelekea kuna kukua na kuenea kwa sayansi na teknolojia kwakuwa ina umuhimu sana katika kuleta mafanikio na maendeleo, mambo mengi yanatatuliwa kupitia teknolojia, mambo mengi yanaanzishwa kupitia teknolojia hivyo inanafasi nyingi sana. Lakini wanawake waliopo...
Baada ya kumaliza stashahada ya sheria mwaka 2020 wakati nasubiri matokeo kutoka ili niweze kuendelea na elimu ya juu zaidi, nilikuwa na miezi kadhaa ya kusubiri kuanza kujisajili na shahada na sikutaka kukaa nyumbani bila kujishughulisha. Niliwasiliana na rafiki yangu mmoja ili anipe nafasi...
WAZIRI MHE. DKT. ASHATI KIJAJI AIPONGEZA TEMDO KWA UBUNIFU WA VIFAA TIBA
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (Mb.) ameipongeza Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO ) kwa ubunifu wa utengenezaji wa mitambo mbalimbali kwa gharama nafuu pamoja na vifaa...
Watu ukiwasikiliza story zao zimejaa uongo sana.
Elimu ya zamani na ya sasa hakuna utofauti wowote nasema, maana jaribu kuwaangalia hao waliosoma zamani, ni mambo gani wamelifanyia hili Taifa?
Nchi inakwama kwa kukosa watu wenye akili na fikra pana na sio Elimu, vijana wanalaumiwa bure tu.
Motisha kwa wafanyakazi ni kitu kinachowafanya wafanyakazi kuwa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii na ufanisi. Motisha inaweza kuwa katika malipo, au kutambulika katika mchango walio nao.
Katika Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa wafanyakazi kupewa motisha ili kuchochea maendeleo na uwajibikaji...
Utangulizi
Katika uchambuzi huu, tunazingatia mabadiliko yanayohitajika katika sekta ya ubunifu na uvumbuzi, kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vikuu. Lengo ni kuchochea uwajibikaji na kuleta mabadiliko chanya kwa jamii na nchi kwa ujumla. Tutapendekeza hatua za kukuza ubunifu na uvumbuzi...
Arusha. Tarehe 18 Mei 2022 - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ameipongeza Benki ya CRDB pamoja na taasisi yake ya CRDB Bank Foundation kwa ubunifu iliokuja nao kupitia programu ya IMBEJU ambapo amesema ni wenye manufaa makubwa kwa Taifa.
Dkt. Mpango amesema...
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini Veta, licha ya kuwapatia Watanzania elimu ya ujuzi kama nia na dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, na kuwezesha wananchi, hasa vijana kuajirika kwa urahisi, kuongeza tija ya uzalishaji viwandani na...
Hebu fikiria hapa una GENTAMYCINE , kushoto una Mshana Jr na katikati kakaaa mkaka wa haja, Bujibuji Simba Nyamaume , Simba halisi wa kiume.
Watu wanataka kusikia madini, fanya mabadiliko bro Majizo
Leo nimeamkia huku finland wakati najiandaa kwenda kwenye mitaa kadhaa kwa ajili ya mapumziko ya wikiendi.. nikiwa kwenye YouTube nikaona hii video nikapendweza nayo sana kwa ubunifu na uhalisi wa matukio yalipopangiliwa kwa urahisi na ufanisi mkubwa.. napenda kuchukua nafasi hii kutoa credits...
Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya Viwanda.
Hivi kama watu wenye mawazo ya aini hii ndio wamepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya ukuzaji...
Hii ni kazi ya ubunifu ya watanzania wenyewe. Wajapan wakisema wana Anime sisi tunasema tuna Tingatinga. Animationa za ubongo kids wanatumia hii style. Itapendeza kuona watu wengi, hasa michoro ya vitabu, comics, katuni na animations wanatumia hii style.
Viongozi mbalimbali nchini na nje ya Tanzania, wamehudhuria hafla ya utoaji tuzo ya taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu.
Hafla hiyo imefanyika leo Alhamisi 13, 2023 katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam.
Miongoni mwa viongozi waliohudhuria ni Rais Mstaafu wa...
Simaanishi kiongozi asiige ama asiendeleze aliyoyakuta, na kuyafanya sehemu ya mafanikio ya uongozi wake.
Wala sisemi kiongozi hapaswi kupokea ushauri wa wasaidizi wake. Muhimu ni wewe unapoingia madrakani unaibua mambo gani ambayo unayasimamia kwa nguvu kama njia ya kuonyesha uwezo wako...
MBUNGE MHE. JANETH MAHAWANGA AWAHAMASISHA WANAWAKE KUFANYA KAZI KWA BIDII, UBUNIFU NA KUCHANGAMKIA FURSA
Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janeth Elias Mahawanga kuwahamasisha Wanawake wenzangu kuendelea kufanya kazi kwa bidii, ubunifu, kuchangamkia fursa katika kilele...
Ipo changamoto ya kuyapata mafuta ya nyonyo yasiyounguzwa katika moto na kuwa meusi. Jamaican black castor oil.
Katika kutafuta kupata mafuta halisi ya nyonyo natural yaliyokamuliwa na kuchujwa bila kuunguzwa ndio tukafikia hatua hii. Warm/cold presssed castor oil
Kimashine kinaweza kuundwa na...
Rapa, Mtayarishaji Muziki na Mfanyabiashara Pharrell anachukua nafasi iliyoachwa na Mbunifu wa Mavazi, Virgil Abloh aliyefariki dunia November 28, 2021 baada ya kuugua Saratani kwa miaka 7.
Kwa mujibu wa Louis Vuitton, toleo la kwanza na Ubunifu wa Pharrell litaoneshwa kwenye Wiki ya Mitindo ya...
Wasalaam JF
Jamani mapenzi ni utundu na ubunifu, hivi vitu ni sumaku ya mahaba, na hutiririsha chemichemi ya kugandwa kimahaba.
Utundu na ubunifu wangu wa kutumia vidole vyangu vyote vya mikono na miguu ndani 6by5, 6by6, nimevuna dodo la kale au ukipenda mshangazi mrembo.
Si kwingine ni hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.