Watangazaji wote wanaongea kwa mfanano mmoja, ni ajabu sana, unakuta reporter wa TBC hana tofauti na reporter wa ITV, house style moja. Sauti moja yaani kama ndo wanajifunza kutangaza.
Watangazaji wanatangaza kwa kunata nata sana its like slow motion, sentesi moja ina tamkwa kwa sekunde 17 yaan...
Wapwa, kuna taarifa inasambaa kuhusu mgomo wa wafanyakazi Sahara Media Group, kwamba hawajalipwa mishahara miezi mitatu sasa sababu kampuni haina hela.
Mi huwa nawaza Sahara ni media kubwa na ni kongwe sana ila program zake ni local, kitu ambacho hakiwavutii wanamatangazo. Quality ya vipindi...
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa mara nyingine tena ameweza kufanya kile kilichowashinda Wakuu wa Mikoa yote ya Tanganyika.
Wakulima wameandamana katika Mkoa wake kwa mujibu wa katiba yetu pendwa.
Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati/Baraza la usalama katika mkoa wake (Kagera), huwezi...
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, Erick Shigongo ameshauri Serikali kuanzisha Mfuko wa Taifa wa Ubunifu ambao utasaidia watu kufanya utafiti na kuzalisha bidhaa.
Shigongo ameyasema hayo leo Jumanne Novemba 15, 2022 wakati akiwasilisha mada yake...
Hili huwa najiuliza mara kwa mara Sana Naombeni JamiiForums msilichanganye kule kwenye thread ya TANESCO macomment mengi sana huenda hata hawataona maana hii imekua kero sana kwa sisi Raia.
Waziri na wizara kwa ujumla sijui kama Wana Mkakati wowote wa kuondokana na Tatizo La Mgao wa Umeme naona...
Simba wamejaribu kufanya jambo tofauti lakini lisilo na tija. Nadhani ni wakati sahihi wa kufocus kwenye kubuni jezi kali ambazo zitashindana na za @yangasc1935
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amesema kuwa matishio ya Amani na Usalama yameendelea kubadilika muda wote, na hivyo kuongeza umuhimu wa utafiti pamoja na ubunifu unaokwenda sambamba na kasi wa ukuaji na mabadiliko ya kiteknolojia duniani, ambapo...
Waziri Mkuu Achangisha Bilioni 1.2 Serengeti Girls, Tembo Warriors, Asifu Ubunifu wa Wizara ya Michezo
Na John Mapepele.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa leo Agosti 24, 2022 amechangisha zaidi ya bilioni 1.2 kwa ajili ya kuchangia timu za Serengeti...
Moja kati ya tabia kuu zinazokwenda sambamba na kazi yoyote ya kibunifu ni kueleweka kwa taratibu, kueleweka baada ya muda flani au kutokueleweka kabisa hata baada ya muda kupita hii ni kutokana na kazi za kibunifu kuhusisha utofauti kama nguzo yake kuu na kupinga ufanano.
Hii huwa inajitokeza...
Wapo watu wanaowakejeli waajiriwa wanadai eti kama "Mtu asiye na Elimu anaweza kuosha Magari mtaani na akaweza kukuza kipato” kuna sababu gani ya kuishi Maisha magumu Kazini au Ofisini ?
Upo Ukweli wa namna Fulani katika kauli hii kwakua wafanyakazi wengi wanaishi Maisha ya Ukata, kazi yao...
Baada ya Mwijaku kulalamika kwamba Mo Dewji ana dharau hapokei simu zake na ya kwamba tajiri wa yanga Gharib huwa anamualika mara kwa mara pale salamander nili break news kwamba yupo kwenye negotiation ya kuhamia yanga kwa kupewa millions 60, gari kali pamoja na kupangiwa nyumba masaki
Wengi...
Nimeupenda utaratibu wa Chadema wa sass ambapo barua zinasambazwa na mabosi wenyewe siyo matarishi.
Benjamin Netanyahu kibarua kimeota nyasi
Mungu ni mwema wakati wote
Na WyEST
DSM
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) amesema eneo la Sayansi Teknolojia na ubunifu bado linahitaji kupewa msukumo na hivyo linahitaji wadau wengi katika kuendeleza.
Waziri Mkenda amesema hayo Jijini Dar es Salaam wakati akifungua Mkutano wa mwaka wa...
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada.
Licha ya hawa viumbe kupenda kupigwa pipe za maana, ila siku hizi wamekuwa hawana ubunifu kabisa
Nyie wanawake mnatusakama sana kuwa sisi hatuwaridhishi, tutawaridhisha vipi wakati tukiwa kwenye tendo hamna ubunifu?
Viuno hakuna mkilala kifo cha mende...
Msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania, Dizasta Vina ni mmoja wa viongozi katika orodha ya wafalme wa Hip-Hop wa kizazi cha leo. Muziki wake umebeba falsafa, mafunzo na mitazamo inayogusa jamii kwa namna tofauti. Ana mtindo wa kipekee, mashairi yenye ujumbe na mtiririko wa visa na matukio ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango yupo Mkoani Dodoma akiwa mgeni rasmi wa WIKI YA UBUNIFU KITAIFA 2022
Anthony Mtaka, Mkuu wa MKOA - Dodoma
Tunawapongeza sana Wizara ya Elimu kuyaleta maonesho haya hapa Dodoma. Na sisi kama mkoa tumetoa fursa. Kwenye...
Familia za Kitanzania kila siku chakula cha aina moja, ugali maharage/nyama au wali lije jua au mvua kama ulifikiri labda nyumbani ni shida ya bajeti kwa nini ukienda kwenye migahawa wanapika yale yale kila siku 24/7, hata ukienda kwenye cafetaria za vyuo au wanapokula Wafanyakazi town menu ni...
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Eliamani Sedoyeka amesema katika bajeti ya mwaka 2022/23 Wizara imetenga fedha Shilingi bilioni 5.5 kwa ajili ya kuweka mazingira wezeshi ya kubuni, kuendeleza ubunifu pamoja na kujengea uwezo Taasisi na mbunifu mmoja mmoja.
Prof...
Habari wana Jukwaa,
Sambamba na UZI HUU niliouleta kuhusu Wiki ya Ubunifu Mkoa wa Njombe, nimeona ni vyema nikaleta masasisho kuhusu matukio kuelekea Wiki ya Ubunifu kitaifa itakayofanyika Dodoma. Hapa nawaletea orodha ya Mikoa ambako kuna matukio yatafanyika, Taasisi zinazohusika kuyaandaa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.