ubunifu

  1. fareed uziel

    Japo uchumi unakua, sekta ya huduma haina ubunifu

    Wazee wezangu kuna changamoto kubwa katika sekta ya huduma, haswa kwenye ubunifu. Ingawa uchumi unaendelea kukua kwa kasi, sekta ya huduma haijafikia kiwango cha ubunifu kinachohitajika. Kuchukua mfano wa hali ya hewa ya sasa hivi Dar es Salaam ambayo inakuwa joto sana, ni dhahiri kuwa kuongeza...
  2. F

    Kama wewe ni kijana mwenye umri usiozidi miaka 22, na una ubunifu au uvumbuzi wa hali ya juu tayari na unatafuta fedha za mradi wako fuatilia uzi huu

    Soma vizuri hadi mwisho na ujaze fomu iliyowekwa mwishoni kabla ya mwisho wa mwezi February. Researchlink International (www.researchlinktz.com) itatoa msaada wa kitaalam wa ku-apply kuongeza uwezekano wa kufaulu. Kuna fursa nzuri ya kupata fedha kutoka kwa kampuni ya Thiel Foundation. Kampuni...
  3. Nyani Ngabu

    Mkuu wa Mkoa Dar Chalamila ni ithibati kuwa CCM imeishiwa kabisa ubunifu

    Huyu RC ameanzisha hii operesheni dhidi ya dada poa. Hakuna jipya na hatofanikiwa kamwe. Yeye si wa kwanza na si wa mwisho. Hana lolote jipya kwenye hiyo operesheni. Nilichokiona labda kilicho na ubunifu [kwa viwango vyao vya akili] ni badala ya askari kupiga doria kwenye maeneo yenye dada poa...
  4. Mjukuu wa kigogo

    Wanasema ubunifu unahitajika kwenye kazi

    Ubunifu unahitajika sana katika kazi ili kuleta ufanisi.
  5. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kihenzile: KADCO Ongezeni Ubunifu Kuvutia Mashirika ya Uwekezaji

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE: KADCO ONGEZENI UBUNIFU ILI KUVUTIA MASHIRIKA YA UWEKEZAJI Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile ameutaka Uongozi wa Kampuni ya Uendeshwaji na Uendelezwaji wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kilimanjaro (KADCO) ambao ndiyo waendeshaji wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kilimanjaro...
  6. Blender

    Uchawi vs akili

    Uchawi na akili ni vitu viwili tofauti. Uchawi ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi, wakati akili ni uwezo wa kufikiri na kuelewa. Uchawi Ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi. Huweza kutumika kwa madhumuni mbalimbali, kama vile kusababisha madhara, kushawishi matukio, au...
  7. Heart Wood.

    Je, ni kweli kuwa Serikali yetu imekosa kabisa ubunifu wa kuzuia ufujaji wa pesa za umma katika miradi ya kuboresha maisha ya watu maskini?

    Ukitembea tembea huko mitaani hasa vijijini, utawahurumia sana wananchi wenzetu wanavyoishi kwenye hali duni kabisa kimaisha. Naam, namaanisha uduni wa kukosa huduma za msingi kama vile barabara nzuri, maji safi na salama, elimu bora, matibabu bora, mawasiliano ya uhakika, huduma za nishati...
  8. covid 19

    Ubunifu wa performance kwenýe majukwaa ya show za wasafi festival 2023 ni utajiri wa mabilioni kwa wasanii Tanzania, Diamond platnumz aheshimiwe sana

    Kuna jambo la ubunifu wa hali ya juu unafanyika katika matamasha ya wasafi 2023 lichavya kuonekana wasanii wakiongozwa na diamond platnumz kama wanatumia mamilioni ya pesa ila kuna kitu kipta kinazaliwa kwenye sanaa ya mziki wa Tanzania. Hakika ubunifu wao umewagusa watu mbalimbali africa na...
  9. J

    Ziara za Tundu Lissu mikoani zina Ubunifu wa Uhutubiaji ndio sababu Wananchi humuona kama Nabii

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu huyasoma kwanza Mazingira kabla hajayaendea na Hii hufanya mikutano yake iwe na uhalisia tofauti na mikutano ya ACT wazalendo au CUF. Swaga za Lisu huwafanya Watu wawe na hamu ya kutaka kujua "Leo ataongea nini" Tofauti na mtu kama Zitto au Prof...
  10. GENTAMYCINE

    Wanawake badilkeni Wanaume wa Siku hizi hatupendi hiyo Mishanga yenu mingi Viunoni, bali tunataka kuona Ubunifu wenu katika Tendo ( Mbanduano ) sawa?

    Kwanza wengine hata hatupendi Shanga zenu kwani huwa zinatupigia Kelele na hatusikii Mlio wa Mkuyenge ukiwa unachanja Mbuga Mbunyeni hali ambayo inaleta raha na kuongeza mzuka wa Mbanduano ( Kutiana ) Na kuna Wengine mnavaa hizo Shanga zenu halafu mmebweteka na Kuzubaa tu kama Beki za pembeni...
  11. K

    Nauza vitambaa used vya kufanyia ubunifu

    Vitambaa vya kutengenezea makanyagio na ubunifu wa mapambo yapo Kwenye kiloba cha kilo 25, njoo na ofa yako. Location: Kigamboni (Kichangani) Number: 0759448927.
  12. Kichwamoto

    Ubunifu wakati wa kula tunda la mti wa Eden unasaidia kujenga legacy yako kwenye anga za mahusiano

    Habarini nyote Bazzukulu, Nawakumbusha wanaume kuwekeza kwenye ubunifu wakati wa kula tunda ikiwa ni pamoja na kuicheza ngoma ya mlo wa tunda kwa kumkatikia mwanamke mauno yenye ustadi wa hali ya juu sana. Hii itasaidia kuacha legacy yako nzuri kwa washirika wako. Nisiwachoshe ni hayo tu...
  13. Kichwamoto

    Nikitaka kuoa nitatembea nae kwanza kisha ntampima kwa maadili, heshima na ubunifu

    Habari zenu wadau! Ikitokea naondoka kwenye chama cha mabaharia na wala bata Tanzania na kusaliti kwa kufanya ufala wa kuoa basi potelea mbali kwanza nitatembea nae vya kutosha, pia ntamfanyia interview na uchunguzi wa maeneo matatu ya msingi nayo ni. 1. Maadili 2. Heshima 3. Ubunifu Mengine...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    CEO Simba SC nampa pongezi kwa ubunifu

    Hamasa ya Wiki ya Simba katika Uwanja wa Buza Kanisani. Huko wamekuja na Kibegi Part Two ambapo mashibiki mamilioni watashindana kupata tiketi 20 za Platnum. Mashabiki hao watashindana kwa kutuma SMS yenye neno Simba kwenda na.909192 itakayokatwa Sh.1,000 tu. Hili na tukio la jana la mnada wa...
  15. J

    SoC03 Mapendekezo mapya ya elimu yakayoweza kusaidia kufikia soko la ajira nchini Tanzania

    Elimu ni maarifa na ujuzi anaokuwa mtu kuhusu jambo fulani, hivyo kusaidia katika kufanya kazi Fulani kwa ufanisi na matokeo ya kazi hiyo kuwezesha mtu kuinua hali yake ya kimaisha. Elimu ni sekta muhimu katika kuzalisha wataalamu na wahudumu mbalimbali wenye ufanisi na stadi mbalimbali ambazo...
  16. U

    Fursa za Kujiajiri kwa Mhitimu wa Kozi ya Ualimu

    Elimu Biashara: Fursa za Kujiajiri kwa Mhitimu wa Kozi ya Ualimu Kwasasa kuajiriwa kwa wahitimu wa kozi za ualimu ni changamoto iliyo kosa dawa katika maeneo mengi ulimwenguni. Hali hii imenifanya niandike huu uzi kwaajili ya wahitimu wa kozi za ualimu ili kupata njia mbadala za kujiajiri ili...
  17. Rich4545

    SoC03 Uwazi na Utawala Bora ni Msingi wa Maendeleo Endelevu

    Utangulizi Kumekuwa na jitihada kubwa za kuleta mabadiliko chanya katika nyanja mbalimbali za jamii. Lakini ili mabadiliko haya yaweze kuwa endelevu na yenye manufaa kwa wote, ni lazima kuweka mkazo mkubwa katika uwazi na utawala bora. Uwazi unahusu upatikanaji wa taarifa na mchakato wa maamuzi...
  18. daniel_kasongi_jr

    SoC03 Ubunifu kwa usawa

    Sera ya Taifa ya TEHAMA ya Tanzania (2016) inasasisha mkakati wa serikali wa 2003. Inalenga kuimarisha uongozi na kukuza mtaji wa watu katika nyanja hii, huku ikipanua utoaji wa mtandao wa kutegemewa. Kuanzia mwanzoni mwa 2021, kuna mipango ya kuanzisha shirika la uidhinishaji kwa wataalamu wa...
  19. N

    SoC03 Teknolojia ya vyombo baridi vya usafiri

    Miongoni mwa changamoto zinazolikabili Taifa la Tanzania na Bara la Afrika lakini pia Dunia nzima ni Ajali za Barabarani pamoja na Foleni za Barabarani. Ajali za Barabarani husababisha aidha kupoteza roho za watu au kuharibu miili na akili za watu jambo ambalo halitakiwi kunyamaziwa hata kwa...
Back
Top Bottom