Ningependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu muungwana mzalendo.
Nilishaeleza haya miaka iliyopita,
naeleza tena mwaka huu, ili asijekutokea mtu...