Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 976
- 1,712
Mpo eeeh
Sasa hivi ni akijiamulia tu ndio itavyokuwa hivyo ivyo, inakuaje? Msimamo wa kiongozi mkuu wa chadema akisema tena chama cha CHADEMA hakitashiriki tena uchaguzi 2030 nini? Mtafanya wana chadema
Kufata amri au kupinga amri na kwann? Mpinge amri na wakati mwanzo mliifata
Na ninavyoona huyo kiongozi msimamo wake ndio ule ule tu hawezi kuruhusu chama kishiriki uchaguzi wa 2030, mpaka anayoyataka yafanyike na kiuhalisia hayawezi kufanyika
Mimi sio chadema wala ccm lakini lazima niwazindue akili, ukinuna kufa, lia galagala.. kwenda mbele
Nini? Kifanyike ili mpate haki yenu ya msingi ya kupiga kura kiongozi unayemuhitaji, tutafute chama kingine tukakisapoti au turudie yale yale ya mwaka 2025, kutoshiriki uchaguzi ili mpizani afiche nyama kwapani
Ukichukia tukana hapo kwenye comment usijal nimeshajiandaa kisaikolojia, sina shaka, ukweli utawekwa wazi mpaka siku nakufa
Kwendeni zenu