Kiongozi mkuu wa CHADEMA akisema chama hakitashiriki tena uchaguzi 2030, mtafanyaje wana CHADEMA?

Kiongozi mkuu wa CHADEMA akisema chama hakitashiriki tena uchaguzi 2030, mtafanyaje wana CHADEMA?

To be honest watu kama Chadema sio potential kuongoza nchi.

Wengi ni wanaharakati tu.

Mtu sampuli ya Lisu ni wiki tu tunaingia kwenye mgogoro wa kidiplomasia.

Huyo heche ni kama Lisu tu.

Pale kinachoendelea ni uanaharakati tu na sio siasa za kisayansi za kushika dola.
 
Hao ACT na Chauma walioingia kwenye uchaguzi wamepata wabunge na madiwani wangapi?
 
Siasa sio lazima uwe kiongozi wa uma unaweza kufanya siasa bila kuwa kiongozi kama Chadema wanavyofanya, CCM ni wehu ndio wao wanapanga uchaguzi na uongozi lakini hawawajibiki na matatizo ya nchi hii, kama wao ni wanasiasa huwezi kuweka mtu maarufu awe kiongozi bila kujali uwezo wake wa kuongoza hayo ndio makosa ya washenzi hao
 
Wabunge 11, siyo haba
Ila heshima imeshuka maana unaonekana ule ulikuwa ni uchafuzi sio uchaguzi, umeaona hata hao wabunge wanafanya mikutano naxwanachi kwenye majimbo yao?
 
Ila heshima imeshuka maana unaonekana ule ulikuwa ni uchafuzi sio uchaguzi, umeaona hata hao wabunge wanafanya mikutano naxwanachi kwenye majimbo yao?
Bora mkono uende kinywani, bora watoto wake wanakwenda shule. Hivi hiyo Tanzania ya kukomaa kuwa unatetea wananchi iko wapi?
 
Back
Top Bottom