Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Wakuolewa na kuzalishwa mnajulikana
Si umejiweka wazi hapa. Unataka kujua kama utapata mume au laaah.
Wakuolewa na kuzalishwa mnajulikana
Unafikri CHADEMA ni kama ccm ambako mwenyekiti anajiamulia tu.No Reforms No Election ni maamuzi ya kamati kuu ya chama sio mwenyekiti.Mwenyekiti ameagizwa/aliagizwa kusimamiaMpo eeeh
Sasa hivi ni akijiamulia tu ndio itavyokuwa hivyo ivyo, inakuaje? Msimamo wa kiongozi mkuu wa chadema akisema tena chama cha CHADEMA hakitashiriki tena uchaguzi 2030 nini? Mtafanya wana chadema
Kufata amri au kupinga amri na kwann? Mpinge amri na wakati mwanzo mliifata
Na ninavyoona huyo kiongozi msimamo wake ndio ule ule tu hawezi kuruhusu chama kishiriki uchaguzi wa 2030, mpaka anayoyataka yafanyike na kiuhalisia hayawezi kufanyika
Mimi sio chadema wala ccm lakini lazima niwazindue akili, ukinuna kufa, lia galagala.. kwenda mbele
Nini? Kifanyike ili mpate haki yenu ya msingi ya kupiga kura kiongozi unayemuhitaji, tutafute chama kingine tukakisapoti au turudie yale yale ya mwaka 2025, kutoshiriki uchaguzi ili mpizani afiche nyama kwapani
Ukichukia tukana hapo kwenye comment usijal nimeshajiandaa kisaikolojia, sina shaka, ukweli utawekwa wazi mpaka siku nakufa
Kwendeni zenu
Kwani lazima kushiriki? Sisi tunasikiliza viongozi wetu.. Tutamtii..chama cha CHADEMA hakitashiriki tena uchaguzi 2030 nini? Mtafanya wana chadema
CHADEMA ni manyumbu, watamfuata Tundu atakachosema. Wenye akili walihamia CHAUMA.Sitaki kuelewa ila nimeuliza kiongozi wao akiwa na msimamo ule ule watamsikiliza au watampinga maana sio wote chadema wanaomsikiliza kiongozi wao juu ya hilo swala
Kiongozi hakurupuki kutamka anakaa na baraza ndio wanatoa tamko.Mpo eeeh
Sasa hivi ni akijiamulia tu ndio itavyokuwa hivyo ivyo, inakuaje? Msimamo wa kiongozi mkuu wa chadema akisema tena chama cha CHADEMA hakitashiriki tena uchaguzi 2030 nini? Mtafanya wana chadema
Kufata amri au kupinga amri na kwann? Mpinge amri na wakati mwanzo mliifata
Na ninavyoona huyo kiongozi msimamo wake ndio ule ule tu hawezi kuruhusu chama kishiriki uchaguzi wa 2030, mpaka anayoyataka yafanyike na kiuhalisia hayawezi kufanyika
Mimi sio chadema wala ccm lakini lazima niwazindue akili, ukinuna kufa, lia galagala.. kwenda mbele
Nini? Kifanyike ili mpate haki yenu ya msingi ya kupiga kura kiongozi unayemuhitaji, tutafute chama kingine tukakisapoti au turudie yale yale ya mwaka 2025, kutoshiriki uchaguzi ili mpizani afiche nyama kwapani
Ukichukia tukana hapo kwenye comment usijal nimeshajiandaa kisaikolojia, sina shaka, ukweli utawekwa wazi mpaka siku nakufa
Kwendeni zenu
Mmeshafunga shuleMpo eeeh

Kuongozi wenu akipata urais atawafanya muwe mashoga msisahau
Tangu lini TZ watu wanapigia kura kiongozi wanayemhitaji???Mpo eeeh
Sasa hivi ni akijiamulia tu ndio itavyokuwa hivyo ivyo, inakuaje? Msimamo wa kiongozi mkuu wa chadema akisema tena chama cha CHADEMA hakitashiriki tena uchaguzi 2030 nini? Mtafanya wana chadema
Kufata amri au kupinga amri na kwann? Mpinge amri na wakati mwanzo mliifata
Na ninavyoona huyo kiongozi msimamo wake ndio ule ule tu hawezi kuruhusu chama kishiriki uchaguzi wa 2030, mpaka anayoyataka yafanyike na kiuhalisia hayawezi kufanyika
Mimi sio chadema wala ccm lakini lazima niwazindue akili, ukinuna kufa, lia galagala.. kwenda mbele
Nini? Kifanyike ili mpate haki yenu ya msingi ya kupiga kura kiongozi unayemuhitaji, tutafute chama kingine tukakisapoti au turudie yale yale ya mwaka 2025, kutoshiriki uchaguzi ili mpizani afiche nyama kwapani
Ukichukia tukana hapo kwenye comment usijal nimeshajiandaa kisaikolojia, sina shaka, ukweli utawekwa wazi mpaka siku nakufa
Kwendeni zenu
Unataka kuolewa? Mi situmii hizo kevzy ni mende tu wanatumia kevzy. Sisi wanaume tunatumia wanawake. Wewe kama unataka kuolewa ntakupatia wanaumeUkitaka kuolewa.. sema bwashehe
Kikifa unapata hasara gani? Chama cha siasa sio chakula au pumziChama kinakufa au kitafungiwa kama wote akili zinafanana
Shangazy pikia uji wanao acha makeke,