Mwenye hoja inayokubalika na wengi anasikilizwa... ukiona viongozi hawaeleweki, kuna mambo kadhaa unaweza fanya;Sitaki kuelewa ila nimeuliza kiongozi wao akiwa na msimamo ule ule watamsikiliza au watampinga maana sio wote chadema wanaomsikiliza kiongozi wao juu ya hilo swala
🤣🤣 Wewe ni chiziKiongozi wenu alisema mkimchagua atawapa haki yenu ya kuwa mashoga… bisha
Kwa hivyo akisema hata miaka mia hamtashiriki uchaguzi itakuwa ivyo na ninyi ni chama kikubwa pinzani kinachotegemewa TZMwenye hoja inayokubalika na wengi anasikilizwa... ukiona viongozi hawaeleweki, kuna mambo kadhaa unaweza fanya;
1. Shawishi watu wengi wawatoe, ugombee wewe;
2. Hamia chama kingine
3. Anzisha chama chako
Hilo la 3 alifanya Zitto
ahahahah🤣🤣 Wewe ni chizi
Hii story watu imewauma sana aisee, nimeamua nitoe, watu wana sukari na presha… ni chai tu kutoka frijini.. msijar
- Kevzy
- mke mke wangu muarabu tena wangu
- Replies: 107
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Kususia uchaguzi ndio solution kubwa,huoni wanavyohangaika kutafuta legitimacy?ipo haja kubadili strategy, kususia uchaguzi peke yake haiwezi kuwa suluhu.
Kiongozi wenu atapitisha sheria muwe mashoga, mashoga mnajuanaMafaili ya mtoa maada
Hii story watu imewauma sana aisee, nimeamua nitoe, watu wana sukari na presha… ni chai tu kutoka frijini.. msijar
- Kevzy
- mke mke wangu muarabu tena wangu
- Replies: 107
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
madogo msifanye makosa ya kuingia road kichwa kichwa, kuna watu wapo trained kuua na tangu watoke mafunzo hawajapata uwanja wa kufanya shughuli zao.Kama mfumo utabaki uleule hakuna atakaeenda kupiga kula na tutaingia tena balabalani watumalize wote ili watawale makabuli...
legitimacy ipi wanatafuta wakati matukio ya utekwaji yanaendelea ?Kususia uchaguzi ndio solution kubwa,huoni wanavyohangaika kutafuta legitimacy?
Uongozi unawekwa kwa utaratibu na unatolewa kwa utaratibu. Mtu akiona hana imani na maamuzi ya viongozi achukue hatua, tatizo letu Watanzania tunapenda majungu; Act or Shut upKwa hivyo akisema hata miaka mia hamtashiriki uchaguzi itakuwa ivyo na ninyi ni chama kikubwa pinzani kinachotegemewa TZ
Kuhusu kuingia barabarani ni uamuzi wao tu.. ufe au ulemavu.. wasituibie tu kwenye maduka yetumadogo msifanye makosa ya kuingia road kichwa kichwa, kuna watu wapo trained kuua na tangu watoke mafunzo hawajapata uwanja wa kufanya shughuli zao.
Kuliko kushiriki aina ya uchaguzi(uchafuzi) wa 2025 na ule was local government wa 2024 ni bora waendelee na mapambano/harakati zao bila ya kushiriki uchaguzi. Hivyo vyama vilivyoshiriki uchaguzi nimepata manufaa gani na on the ground kwa kubalika kwa wananchi vikoje ukivilinganisha na CHADEMA ambacho hakikushiriki uchaguzi.Mpo eeeh
Sasa hivi ni akijiamulia tu ndio itavyokuwa hivyo ivyo, inakuaje? Msimamo wa kiongozi mkuu wa chadema akisema tena chama cha CHADEMA hakitashiriki tena uchaguzi 2030 nini? Mtafanya wana chadema
Kufata amri au kupinga amri na kwann? Mpinge amri na wakati mwanzo mliifata
Na ninavyoona huyo kiongozi msimamo wake ndio ule ule tu hawezi kuruhusu chama kishiriki uchaguzi wa 2030, mpaka anayoyataka yafanyike na kiuhalisia hayawezi kufanyika
Mimi sio chadema wala ccm lakini lazima niwazindue akili, ukinuna kufa, lia galagala.. kwenda mbele
Nini? Kifanyike ili mpate haki yenu ya msingi ya kupiga kura kiongozi unayemuhitaji, tutafute chama kingine tukakisapoti au turudie yale yale ya mwaka 2025, kutoshiriki uchaguzi ili mpizani afiche nyama kwapani
Ukichukia tukana hapo kwenye comment usijal nimeshajiandaa kisaikolojia, sina shaka, ukweli utawekwa wazi mpaka siku nakufa
Kwendeni zenu
Punguza jazba hizo zote ni target za kuwaingiza chaka washamba kama weweKijana mwezetu kama huyu hana mtaji kama sisi ila anashabikia Angela kinziga na Abdul wanavyokula nchi🤣
Computer4Sale Thread 'Nauza laptop kwa lengo la kujipatia mtaji'
Habari zenu
Natarajia kupata mkopo wa 2.5m so nasubiria , nimesimama kuuza laptop kwa kutegemea huo mkopo, M/Mungu awaongoze wakopeshaji wanipe pesa hiyo kwa mkopo AMEEEN 🙏🏾
Asanteni sana
- Kevzy
- kuomba laptop lengo mtaji nauza nauza laptop
- Replies: 37
- Forum: Matangazo madogo