Kiongozi mkuu wa CHADEMA akisema chama hakitashiriki tena uchaguzi 2030, mtafanyaje wana CHADEMA?

Kiongozi mkuu wa CHADEMA akisema chama hakitashiriki tena uchaguzi 2030, mtafanyaje wana CHADEMA?

Kuliko kushiriki aina ya uchaguzi(uchafuzi) wa 2025 na ule was local government wa 2024 ni bora waendelee na mapambano/harakati zao bila ya kushiriki uchaguzi. Hivyo vyama vilivyoshiriki uchaguzi nimepata manufaa gani na on the ground kwa kubalika kwa wananchi vikoje ukivilinganisha na CHADEMA ambacho hakikushiriki uchaguzi.
CCM na tyrant regime ya Samia hazipati hekaheka(ndani na nje ya nchi) kwa sababu ya vyama vilivyoshiriki uchaguzi, maridhiano hayawi topic kwa sababu ya vyama vilivyoshiriki uchaguzi la hasha. Vyama vilivyoshiriki uchaguzi vinaona kuwa mambo yako sawa lakini CCM inalialia ikizungumzia maridhiano sababu tu ni kwa kuwa CHADEMA hakikushiriki uchaguzi.
Kwa maamuzi hayo chama kitakufa Mkuu
 
Uongozi unawekwa kwa utaratibu na unatolewa kwa utaratibu. Mtu akiona hana imani na maamuzi ya viongozi achukue hatua, tatizo letu Watanzania tunapenda majungu; Act or Shut up
Chama kinakufa au kitafungiwa kama wote akili zinafanana
 
wale waliokuwa wanakwapua kwenye maduka ya watu walitakiwa kukamatwa sio kuuawa
Mwizi tanzania anauawa mkuu, usijisahaulishe, kuhusu kuuawa kwa waandamanaji waliwaonea hii sitaki nifiche
 
Badala ya kufa ndiyo kitazidi kuwa strong, mark my words.
Kikubwa ambacho nilikiona uchaguzi wa 2025.. kiongozi wa chadema alikuwa na nguvu sana ila hakuamua tu kugombea.. walipoteza
 
hao wanaouawa ni vijizi, tangu report ya cag ianze kusomwa, uliwahi kusikia yale majizi ya mabilion yameauwa ?
Seriously hawauawi ila unakuja kuniibia, nimetoka kubeba tofal nakuachaje.. wao waache waibe na wasifanywe kitu kwa kuwa wapo kwenye stystem, na ukweli ni kwamba tunawamaind sana
 
kwa hiyo walio kwenye system mnawaogopa?
Sio kama tunawaogopa ni tuna wamaindi sana inabidi wajue na kwa vile wana power tunashindwa kuwapata kiuraisi ila ukweli ni tunawachukia sana na wanastahili kuuliwa sawa na wezi wa kuku mtaani
 
Mpo eeeh

Sasa hivi ni akijiamulia tu ndio itavyokuwa hivyo ivyo, inakuaje? Msimamo wa kiongozi mkuu wa chadema akisema tena chama cha CHADEMA hakitashiriki tena uchaguzi 2030 nini? Mtafanya wana chadema

Kufata amri au kupinga amri na kwann? Mpinge amri na wakati mwanzo mliifata

Na ninavyoona huyo kiongozi msimamo wake ndio ule ule tu hawezi kuruhusu chama kishiriki uchaguzi wa 2030, mpaka anayoyataka yafanyike na kiuhalisia hayawezi kufanyika

Mimi sio chadema wala ccm lakini lazima niwazindue akili, ukinuna kufa, lia galagala.. kwenda mbele

Nini? Kifanyike ili mpate haki yenu ya msingi ya kupiga kura kiongozi unayemuhitaji, tutafute chama kingine tukakisapoti au turudie yale yale ya mwaka 2025, kutoshiriki uchaguzi ili mpizani afiche nyama kwapani

Ukichukia tukana hapo kwenye comment usijal nimeshajiandaa kisaikolojia, sina shaka, ukweli utawekwa wazi mpaka siku nakufa

Kwendeni zenu
Hii ni ndoto Yako ya mchana bila mto Wala kujifunika shuka!Mageuzi yapo na katiba mpya IPO,tutashiriki uchaguzi.
 
Bora ungeungua kwenye lile banda. Hapa ndio naamini kua wasauzi hawakukosea ju yako.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Vyama havina msaada kwa raia wake, havina maana yeyote
Kumbe wewe ni kiazi namna hii! Unanishtua sana unaposema vyama havina msaada kwa raia. Hivi mzee wa kijijini ambaye hajaenda shule kabisa atakuwa na mtazamo gani? Na mbaya zaidi ni vijana wengi wa kitanzania wenye mawazo fyongo kama wewe. Hivi unajua hata hapa umo kwa sababu ya vyama?
 
Kikubwa ambacho nilikiona uchaguzi wa 2025.. kiongozi wa chadema alikuwa na nguvu sana ila hakuamua tu kugombea.. walipoteza
Wangeshiriki uchafuzi ule ingekuwa ndiyo kifo cha chama chao, ingeonekana(plus chawa wangepiga misumari mno) chama kimeshindwa kwa aibu na kukosa mbunge hata mmoja na kupata 2% kura za urais hapo jinsi ya kuushawishi umma kuwa kura hazikuakisi uhalisia wangeulizwa kwanini walishiriki na wangeulizwa kwamba hawana intelijensia ya kubaini kinachoenda kutokea.
CCM wangetumia matokeo kama fimbo ya kuwachapia CHADEMA kwamba wanalialia baada ya kukataliwa na wananchi(kelele za mkosaji).
 
Back
Top Bottom