uchaguzi chadema

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Kusimamisha mgombea wa Urais Zanzibar ni kuisaidia CCM. Ni vyema tuungane na ACT Wazalendo

    Wakuu, Akiwa kwenye mdahalo siku ya leo, Lissu ametoboa siri kwanini CHADEMA huwa hawasimamishi mgombea wa Urais kwenye Uchaguzi wa Zanzibar. Lissu amesema kuwa CHADEMA hawasimamishi mgombea Urais Zanzibar kwa sababu, Zanzibar ina mfumo wa vyama viwili tu vya siasa. Lissu amedokeza kuwa ni...
  2. Waufukweni

    Lissu ajibu kuitwa Mropokaji: Mimi sio mropokaji, kama nikisema yote hadharani watu watakimbia

    Wakuu Kuhusu kuitwa mropokaji Lissu amesema; "Chama chetu kinamjadala mkubwa sana kwasababu ya kusema hayo na nje ya huo mjadala tutapata suluhu ya matatizo hayo kwasababu rushwa sasa inazungumzika, tunaweza tukaikabili." "Kwasababu Samia amekataa mabadiliko ya Katiba na tume expose huu uongo...
  3. Mindyou

    Lissu: Mimi sio mropokaji. CHADEMA walianza kuniita mropokaji baada ya kusema tunadanganywa kuhusu maridhiano

    Wakuu, Baada ya kutuhumiwa na wanachama wenzake kuwa ni mropokaji na kwamba hawezi kutunza siri za chama, Tundu Lissu leo ame-fire back. Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa Lissu amesema kuwa tuhuma za kwamba yeye ni mropokaji zilianza mara tu baada ya kuanza kupinga...
  4. Mindyou

    Lissu: Hatupaswi kukubali ujinga wa yeyote anayepiga marufuku siasa vyuoni

    Wakuu, Kwa wale wanachuo ambao mlikuwa mnalalamikia zuio la kufanyika siasa kwenye vyuo mbalimbali nchini, Lissu ametoa tamko Akiwa anajibu swali kwenye mdahalo siku ya leo, Lissu amesema kuwa atahakikisha anapambana na zuio la siasa kufanyika zuoni. Lissu amedokeza kuwa kama ambavyo...
  5. R

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Ninakiri juu ya Dhambi ya kumleta Lowassa CHADEMA. Watanzania tumekusamehe, ubarikiwe

    Hellow Tanganyika!! Akihojiwa kuhusu ushirika wake kumleta chamani Lowwassa, amedai ,Yeye na Mnyika walipewa taarifa juu ya ujio wa Lowassa mwishoni kabisa, hivyo wasingekataa, Alipoulizwa kwanini binafsi hakujiondoa kama Dr Slaa, amedai kuwa Dr Slaa alishiriki mchakato mzima wa kumleta...
  6. Waufukweni

    Tundu Lissu: Askofu Gwajima ndiye alikua mshenga wa Lowassa kuja CHADEMA

    Wakuu Tundu Lissu amesema Askofu Gwajima ndiye alikua mshenga wa hayati Edward Lowassa kwenda CHADEMA Soma: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa "Dkt. Slaa ndiye aliyemleta Edward Lowassa CHADEMA, ndiye aliyeanzisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote majadiliano za CHADEMA...
  7. OC-CID

    Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

    Kutakuwa na mdahalo wa wagombea uenyekiti wa Chadema leo kuanzia saa 3:30 usiku pale Star Tv. wagombea wanaotarajia kuwepo kwenye mdahalo huo ni pamoja na jabali wa siasa, Tundu Lissu pamoja na Odero Odero. Freeman Mbowe hatahudhuria mdahalo huo kwasababu ambazo zipo nje ya uwezo wake...
  8. N

    Halima Mdee ndiye shujaa wa CHADEMA mpaka sasa. Bila yeye, CHADEMA ingekuwa haipo. Tumpe maua.

    Leo nikiperuzi mitandaoni, nimeona taarifa ya aliekuwa mbunge wa Arusha mjini, bwana God bless Lema akisema Ile dhana inayojengwa kwamba wao walikimbilia nje ya nchi mwenyekiti Mbowe akabaki sio ya kweli...amesema mwenyekiti Mbowe pia alikimbilia Dubai... Maana yake, wanaume wote mlikimbilia...
  9. M

    MAUMIVU: Naumia sana wanavyomkosea heshima Mbowe

    Niongee ukweli kutoka Moyoni naadmire sana Siasa za Mbowe na namheshimu kama Jabali la Siasa za Tanzania, Huyu mzee kafanya kazi kubwa sana anastahili heshima yake pamoja na mapungufu yote ya kibinadamu. Nafuatilia Uchaguzi wa CHADEMA naona kama CHADEMA aliyoijenga kwa jasho na damu leo...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Moto anaopelekewa Mbowe unamfanya ashindwe kurusha shambulizi hata Moja la maana

    Salama! Tangu dakika ya Kwanza Mpaka sasa Tupo dakika ya 80 Mbowe hajapewa nafasi ya kulikaribia lango la Lisu. Anashambuliwa non-stop, kwa kweli hiki kipigo kama asingekuwa mzoefu angekuwa ashaaga mashindano. Hajashambulia hata mara Moja. Yeye Kazi yake ni kuzuia mashambulizi ingawaje yapo...
  11. J

    Mbowe: Sijalamba, Silambi wala Sijalambishwa Asali. Kitu gani sijafanya ndani ya Miaka 30 hadi Leo nidanganyike kulambishwa hiyo inayoitwa Asali?

    Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe amesema hajawahi Kulamba asali, Halambi asali wala Hajalambishwa asali Mbowe amesema Katika miaka 30 hakunaga kitu hajawahi kufanya hivyo hawezi kubabaishwa na hiyo inayoitwa asali Ahsanteni sana Chawa Lucas Mwashambwa ya Kweli haya Maneno ya Mwamba? 🐼😂
  12. comte

    Aliyekuwa mgombea nafasi ya Uenyekiti BAVICHA: Lissu na Heche walitia doa kampeni za Uchaguzi wa BAVICHA

    Mgombea Uenyekiti BAVICHA Masoud Mambo akifunguka A to Z kilichotokea kwenye Uchaguzi BAVICHA baada ya wakubwa kuingilia kati. Source: East Africa Radio My take: Usafi wa Heche na Lissu uko mdomoni tu- ni wachafu kuliko uchafu wenyewe
  13. Papaa Mobimba

    Ukomo wa madaraka CHADEMA ulizuia chama kukua. Sasa kimekua na kinahitaji ukomo wa madaraka

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakati anajiunga na chama hicho kulikuwa na ukomo wa miaka 10 kwa kiongozi kukaa madarakani, hivyo kukawa na ukosefu wa watu wenye uzoefu wa kuwaongoza wengine. Ila kwa sasa chama kimekua na kinahitaji mabadiliko kwenye ukomo wa madaraka kwenye...
  14. Mindyou

    Godbless Lema: Wakati nakesha club house kuchangisha michango, Wenje alikuwa Canada akipiga picha kwenye madaraja

    Wakuu, Kumbe wakati Lema anachangisha pesa za Join The Chain, Wenje alikuwa bize na utalii? Siku ya leo Godbless Lema akizungumza na wanahabari kuhusu a tuhuma zilizotolewa na Ezekia Wenje, Mgombea wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara na Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Victoria...
  15. R

    John Mnyika ni moja wa Makatibu wakuu bora wa vyama vya siasa Afrika

    Chadema moja ya kiongozi waliyofanikiwa kupata ni pamoja na katibu Mkuu. Alipoondoka Dr. Slaa watu walihoji kama Mrithi wake anaweza akavaa viatu vyake. Nimeona namna alivyosimama neutral kwenye uchaguzi na jinsi anavyoratibu uchaguzi bila kusahau anavyoweza kujibu hoja zinazoelezwa ofisini...
  16. Waufukweni

    Mbowe kupendekeza uongozi ukae miaka mitatu madarakani, kisha Uchaguzi unafanyika

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema iwapo atafanikiwa kushinda uongozi wa juu wa chama hicho, atapeleka mapendekezo kwenye mkutano mkuu ili uchaguzi wa ndani uwe unafanyika kila baada ya miaka mitatu badala ya mitano. Mbowe, anayetetea nafasi hiyo aliyoiongoza kwa miaka 21, amesema...
  17. Mindyou

    Godbless Lema: Wenje ni muongo muongo, anayebebwa na watu kama kina Abdul. Hastahili kuwa mwanachama wa CHADEMA

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini na ambaye alitajwa kuratibu vuguvugu la Join the Chain, Godbless Lema akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 17, 2025 mkoani Dar es Salaam amezungumza yafuatayo: "Fikiria anakuja mtu anayetaka kuwa...
  18. Waufukweni

    Mbowe: Nitaunda tume ya ukweli na upatanishi nikishinda Uenyekiti

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema iwapo atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama hicho, ataunda tume ya ukweli na upatanishi. Amesema katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho kuanzia ngazi za chini hadi wa taifa, utakaohitimishwa Jumanne ya Januari 21, 2025, kumetokea mnyukano mwingi...
  19. Waufukweni

    Godbless Lema amuonya Mbowe asema Mwenyekiti hawezi kuwa Alfa na Omega, yeye sio Mungu

    Godbless Lema, mmoja wa Wanasiasa wa chama cha upinzani CHADEMA, ameongea kwa ujasiri kuhusu Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, akimtaka akatae vikali kuitwa "Alfa na Omega". "Nilisema mimi namheshimu Mwenyekiti (Mbowe), ni kaka yangu na nikataka jambo hili alichukue kama sanaa ya...
  20. Mindyou

    Godbless Lema: Nilijitoa kwenye Join The Chain baada ya Mbowe kutoka gerezani na kuanza kujimilikisha hiyo kampeni

    Wakuu, Mambo yanaendelea kuwa moto. Godbless anasema kuwa tuhuma za kwamba yeye na Lissu walikuwa wanataka kumpindua Mbowe kupitia kampeni ya Join The Chain ni za uongo kwani Mbowe pia alihusika katika kampeni hiyo. Lema anasema kuwa ni kweli yeye ndo alihusika kuanzishwa kwa kampeni na...
Back
Top Bottom