uchaguzi serikali mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LGE2024 Mwandishi wa Habari Mufindi: Rais Samia anafanya kazi nzuri, vijana dumisheni amani Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mwanadishi wa Habari unakuwa chawa, wananchi wanatapa watahabarishwa na kupaziwa sauti inapohitajika? ==== Ikiwa zimesalia siku chache kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hamasa kwa Vjana imezidi kushamiri kushiriki uchaguzi huo huku wakiaswa kuwa mstari wa mbele tarehe 27/11/2024...
  2. LGE2024 Mkurugenzi na Msimamizi Uchaguzi Michael Gwimile: Prof. Jay amepotosha, Uchaguzi Serikali za Mitaa utakuwa wa haki

    Wakuu, safari hii mambo ni moto kwelikweli! Ripota wenu, Cute Wife, kama kawaida nawasogezea taarifa ili siku ya kupiga kura mfanye maamuzi sahihi. Mkurugenzi na Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Kilosa, Michael John Gwimile, amesema kuwa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA...
  3. Pre GE2025 TAMISEMI iweke utaratibu maalumu wa Ubandikaji wa Mabango kwa Wagombea kuepusha ubandikaji holela na Uchafuzi wa mazingira

    Salaam Wakuu, Tanzania inaelekea kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024. Kwa sasa joto la uchaguzi huo limezidi kupanbda na Wagombea wengi wapo kwenye hatua za kurejesha fomu zao ili kupitishwa kugombea nafasi walizokusudia. Imekuwa kawaida kwa Chaguzi zilizopita kupita nje ya...
  4. LGE2024 Kilimanjaro: Inadaiwa Polisi wakitumia gari ya Mwenyekiti wa Halmashauri wameenda kubandika orodha wagombea nje ya muda kinyume na sheria

    Wakuu, Hilda Newton wa CHADEMA aandika haya kupitia ukurasa wake wa X "Askari Polisi wenye silaha za moto, wakitumia gari la Mkit wa Halmashauri, wamefika Kata ya Machame Narumu, saa 11:20 jioni na kubandika orodha ya wagombea nje ya muda wa kisheria. "Wagombea wote wa CHADEMA wameenguliwa...
  5. LGE2024 Makalla: CCM hatuhitaji upendeleo wala kubebwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, TAMISEMI itende haki

    Amos Makalla, ametoa msisitizo kwa TAMISEMI kutenda haki kwa vyama vyote vilivyosimamisha wagombea katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Amesema katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu, wapo wagombea wa CCM ambao wamewekewa pingamizi, hivyo madai ya...
  6. LGE2024 CHADEMA: Zoezi la kuengua na kuteua likiisha tutatoa taarifa rasmi lakini kujitoa siyo sehemu ya msamiati wetu kwenye uchaguzi huu

    Wakuu, Mambo ni motoo, safari hii hakuna kujiengua safi. Sasa na nyie CHADEMA mbadilike, watu wanatumia mbinu zilezile na mnadakwa vile vile, inabidi mnyumbulike na kuja na mbinu mpya za kujibu mapigo. ==== John Mrema kwenye kikao chake na waandishi wa habari juu ya sakata la wagombea...
  7. LGE2024 Bukoba: Wagombea ACT Wazalendo takriban 150 waenguliwa sababu ikitajwa ni makosa kipengele cha udhamini wa chama cha siasa

    Wakuu, Ameandika haya Mwanaisha Mndeme wa ACT Wazalendo kupitia ukurasa wake wa X; "Wagombea wa ACT Wazalendo Kata ya Katoro Bukoba takribani 150 wameenguliwa kwa sababu ya udhamini wa chama cha siasa. Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special...
  8. LGE2024 Kinondoni: Mtaa wa Mwinyimkuu wagombea wa vyama vya upinzani Uchaguzi Serikali za Mitaa waenguliwa

    Wakuu, Ameandika haya Mwanaisha Mndeme wa ACT Mtaa wa Mwinyimkuu, Kata ya Mzimuni, Jimbo la Kinondoni wagombea wa vyama vya upinzani wote wameenguliwa. CCM hawako tayari kwa uchaguzi wa huru na haki.
  9. LGE2024 Arumeru: Inasemekana Kata ya Poli Mtendaji wa Kijiji kaogopa kubandika matokeo wa wagombea waliopita, wananchi wamefurika, polisi wa ghasia wafika

    Wakuu, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha, Mipango na Hifadhi ya Jamii ACT Shangwe Ayo kupitia ukurasa wake wa X ameweka taarifa hii, inaonekana hali sihali huko; "Arumeru Mashariki Kata ya Poli Mtendaji wa Kijiji cha Poli kaogopa kubandika...
  10. LGE2024 Kibamba: Inadaiwa mtia nia ACT Wazalendo Kata ya Kwembe aenguliwa sababu ya kazi yake ya ujasiriamali!

    "Mtia nia wa mtaa wa Mji Mpya uliyopo kata ya Kwembe Jimbo la Kibamba amekatwa kwa sababu tu aliandika kazi ni mjasiriamali, hivi kwani jamani ujasiriamali siyo kazi? Kwenye mtaa huu ameteuliwa mjumbe 1 tu ambae aliandika kazi ni dereva." - Rahma Mwita kupitia ukurasa wake wa X
  11. LGE2024 Zitto ataka wagombea wa ACT Wazalendo walioenguliwa Uchaguzi Serikali za Mitaa warejeshwe

    Wakuu, Moto unazidi kufuka. ==== "Kwa miaka mitatu, tangu Januari 2022, tumekuwa Mitaani na Vijijini kuimarisha chama chetu ACT Wazalendo. "Tumehakikisha kuwa tumepata wanachama wengi wazuri ambao wamegombea katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. HATUTAKUBALI kamwe...
  12. LGE2024 Mbowe alalamika kuhusu ubakaji wa Demokrasia kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ametumia mtandao wa X kulalamika kuhusu vitendo vya ubakaji wa Demokrasia unaoendelea kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mbowe ameandika; "Taifa linaendelea kushuhudia kwa njia mbalimbali ubakaji mkubwa wa demokrasia kwenye uchaguzi huu wa Serikali za...
  13. LGE2024 Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka. Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika" Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo...
  14. M

    Pre GE2025 Uwepo wa Dawati la Jinsia katika Vyama vya Siasa utasaidia kupunguza mazingira ya Rushwa ya Ngono

    Zanzibar: Asha Bakar (40) mtoto wa mwisho kati ya watatu wa familia ya Bakari Juma, Asha ambaye pia ni mama wa Watoto watatu, anayeishi na mume wake kisiwani Unguja, anasimulia safari yake ya uongozi ilivyokatika hafla, baada ya kutakiwa kimapenzi na bossi wake. “Bosi wangu aliniambia baada ya...
  15. DC Kilakala asema Samia Cup imehamasisha wananchi kushiriki kwenye kujiandikisha Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Ni humu tuu... === Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mussa Kilakala amepongeza na kuyataja mashindano ya Mpira wa Miguu katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo hilo Babutale kuwa yamekuwa chachu ya hamasa kwa wananchi wakati wa zoezi la kujiandikisha...
  16. LGE2024 Msimamizi wa Uchaguzi Karatu: Hakuna wagombea waliolazimishwa kujitoa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Karatu

    Mambo ni moto, mi nawasogezea tu taarifa karibu, muda wa kufanya maamuzi ukifika mnakuwa na taarifa zote muhimu. Kupata taarifa za mikoa mbalimbali kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi...
  17. Meya Manispaa ya Mtwara ahimiza wananchi kushiriki Uchaguzi Serikali za Mitaa kwa kuanzisha Ligi ya Kata Uchaguzi Ndile Cup

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa moto, kila mtu anajitafutia ka angle a kuonekana :BearLaugh: kazi kwenu wananchi! Wananchi mkoani Mtwara, wamehimizwa kujitokeza kupiga kura katika kuchagua viongozi ili kutekeleza haki yao ya msingi kuchagua na kugombea kama ni kiongozi. Hayo ameyasema Meya wa...
  18. LGE2024 Polisi: Kada wa CHADEMA aliyefariki alipata ajali ya Bodaboda akiwa amelewa

    Tumeshuhudia kupitia mitandao ya kijamii ikitolewa taarifa ya kutaka kuupotosha umma kuhusiana na kifo cha Joseph Remigius, Miaka 52 mkazi wa Kijiji cha Karagara, Wilaya ya Misenyi Mkoa wa Kagera ambaye alikuwa ametia nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Kijiji kupitia Chama cha Demokrasia na...
  19. N

    Pre GE2025 Kwa namna gani Katiba za vyama zinatoa fursa kwa Wanawake kufikia 50/50 katika nafasi za uongozi?

    NA MARYAM HASSAN WAKATI dunia ikiendelea kupaza sauti juu ya ushiriki na ushirikishwaji kikamilifu wa wanawake katika nafasi mbali za uongozi, Zanzibar haipo nyuma katika haraakati hizo. Kupitia Chama cha Wandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA-ZNZ) na wadadu wengine wamekuwa wakiendelea...
  20. LGE2024 Wanachama CCM zaidi ya 200 Kata ya Kia wajitokeza kuchukua fomu kugombea Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Wanachama wa CCM zaidi ya 200 Kata ya Kia Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wamejitokeza kuchukua fomu zakugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Pia soma: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…