Muda unasonga sana magoli yanakaribia kujaa kikapu.Wengi wanasema Kaizer waliloga kwao hivyo Simba lazima walipize kwa Mkapa.Msemaji wao ameenda mbali zaidi na kusema kesho mtu anakula mkono as is atacheza. Baada ya kipigo kikali wanasimba wote na viongozi wao wameelekeza nguvu zao kwa masangoma...