Niko kanda ya ziwa,
Nimeshangazwa na kitu kimoja
Watu huku hawajui kama kuna makabila mengine ukiacha yale yanayopotikana kanda yao
Ukisema wewe ni mgogo utaulizwa wagogo kwao ni wapi?makabila makubwa kama wasambaa,wahehe,wangoni,walugulu hawajulikani huku.
Watu hawajuihata Tanga iko wapi...