uenyekiti chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Inasikitisha Inaliza, inaumiza, Video ya Mke wa Mgombea Uenyekiti CHADEMA Akisimulia Jinsi Polisi walivyomuua Mumewe Kwa Risasi usiku wa Manane!!.

    Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu. Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake. Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake...
  2. The Watchman

    SI KWELI Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema 'Boni Yai kujiuzulu uenyekiti CHADEMA kanda ya pwani'

    Wakuu hii taarifa nimekutana nayo Facebook je, ni ya kweli? 𝐁𝐎𝐍𝐈 𝐘𝐀𝐈 𝐊𝐔𝐉𝐈𝐔𝐙𝐔𝐋𝐔 𝐍𝐀𝐅𝐀𝐒𝐈 𝐘𝐀 𝐔𝐄𝐍𝐘𝐄𝐊𝐈𝐓𝐈 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 𝐊𝐀𝐍𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐏𝐖𝐀𝐍𝐈 Habari za ndani kabisa ya CHADEMA zinasema bundi ameendelea kulia; safari hii Boni Yai akitajwa kuwa mbioni kujiuzulu kutoka nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho Kanda ya...
  3. M

    Special Thread: Je, utamkumbuka Freeman Mbowe kwa mambo gani katika utumishi wa CHADEMA?

    Freeman Aikael Mbowe Freeman Aikael Mbowe, kiongozi mwenye msimamo thabiti na maono makubwa, alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mara ya kwanza mwaka 2004. Kwa takriban miaka 21, Mbowe aliongoza chama hicho kwa ujasiri na ustadi mkubwa, akifanya kazi...
  4. Waufukweni

    Pre GE2025 Lema afunguka baada ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA, Mbowe ni kaka yangu ila Lissu ni bora zaidi wakati huu

    Godbless Lema avunja ukimya baada ya ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA adai yeye kwenda kinyume na Mwenyekti Freeman Mbowe ilikuwa ngumu sana. "Nitendo gumu la kisiasa, katika matendo magumu ya kisiasa nimeshawahi kuyafanya hili ni namba moja katika maisha yangu, Mbowe ni kaka yangu, ni...
  5. Tlaatlaah

    Wajumbe Wapiga kura katika Uchaguzi wa CHADEMA wanasinzia sana ukumbini kulikoni?

    Halafu mbona bado mapema sana my friends, ladies and gentlemen? Yaani wamepoteza umakini kabisa. Au kuna kitu wamekula au kunywa kinawafanya kusinzia kwa pamoja? Na inaruhusiwa kufanya hivyo kwenye jambo muhimu kama hili? Au ni njaa ndungu zangu? Si wapatiwe chochote kitu basi? Au ni uchovu wa...
  6. Waufukweni

    Pre GE2025 Mbowe amteua Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa wakala wake Uchaguzi CHADEMA

    Wakuu Mbowe kaamua naye, kamteua Boni Yai Freeman Mbowe mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA amemteua Mjumbe na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai kuwa wakala wake katika zoezi la upigaji kura kwenye mkutano mkuu wa chama hicho ambapo wajumbe...
  7. Waufukweni

    Pre GE2025 Wajumbe: Tumepewa hela ili tumchague Mbowe, sisi tunamtaka Lissu

    Wakuu Katibu wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilaya ya Kahama Samwel Peter akieleza namna gani wajumbe wa mkutano Mkuu wa Chama hicho wamekuwa wakishawishiwa kwa fedha kuelekea uchaguzi wa chama hicho unaoendelea kufanyika muda huu katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam
  8. Waufukweni

    Pre GE2025 Aliyegundulika si mjumbe halali atimuliwa kwa ulinzi mkali Uchaguzi CHADEMA

    Aliyegundulika sio mjumbe atolewa chini ya Ulinzi mkali kwenye Ukumbi baada ya kugundulika kwenye Mkutano Mkuu CHADEMA, Mchakato wa Uhakiki ukiendelea. Bw. Marko Yohana amedai ameonewa, ameonesha kitambulisho na barua ya kuthibitishwa kwake.
  9. Waufukweni

    Pre GE2025 Uchaguzi Chadema waanza, hivi ndivyo uhakiki wapiga kura unavyofanyika

    Ni rasmi; agenda ya uchaguzi utakaoamua nani atakayeiongoza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa miaka mitano ijayo imeanza, na uhakiki wa wajumbe watakaofanya uamuzi umeanza. Uhakiki wa wajumbe hao unafanyika kwa kuita majina ya wajumbe wa kanda mojamoja ili kupata uhalali wa...
  10. Waufukweni

    Pre GE2025 CHADEMA wakataa ulinzi wa Polisi, wasema hawataki kulindwa

    Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wahoji ulinzi wa Polisi kwenye Mkutano wao wa Uchaguzi huu ikiwa hawajawahi kufanya hivyo kwenye chaguzi zao zilizopita.
  11. Waufukweni

    Pre GE2025 Lissu awasili Mlimani City akiwa ndani ya gari yake aliyopigwa nayo risasi Dodoma na watu wasiojulikana, tena ikiwa bado na matundu yake ya risasi

    Mgombea wa Uenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amewasili Mlimani City akiwa ndani ya gari alilopigiwa risasi na watu wasiojulikana mjiji Dodoma mwaka 2017 likiwa bado na alama za risasi katika ubavu wa kushoto ambao alikaa wakati akishambuliwa, ambapo leo Januari 21, 2025 unafanyika uchaguzi...
  12. Mindyou

    Pre GE2025 Wagombea CHADEMA walivyowasili kwa mbwembwe kwenye ukumbi wa Mlimani City

    Mgombea Uenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amekuwa wa kwanza kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaa, ambapo leo Januari 21, 2025 unafanyika uchaguzi wa kuwapata viongozi wa juu wa chama hicho. Lissu amewasili katika viwanja vya ukumbi huo saa 10:15 asubuhi, akiwa ndani ya gari...
  13. Waufukweni

    Pre GE2025 Simiyu: Viongozi CHADEMA watishia kukibwaga Chama Mbowe akishinda Uenyekiti

    Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, wametishia kujitoa unachama wa chama hicho endepo Mwenyekiti wa Chadema Taifa atachaguliwa kuwa Freeman Mbowe katika Mkutano Mkuu unaofanyika Januari 21, 2025. Pia, Soma: - Mbowe: Nikishindwa...
  14. E

    Pre GE2025 Januari 21, 2025 nchi itazizima ni kishindo kufuatia Uchaguzi Mkuu CHADEMA

    Habari njema itawaamsha waliolala kwa kukosa MATUMAINI waliokata tamaa kujaa Furaha walioshindwa kutembea KURUKARUKA wasio ona KUONA walio na KIU kuuona mto walio na machozi KUFUTWA Kesho NYATI anafunguliwa zizini nyati anakwenda KUTUONGOZA kuchanja MSITU Hotuba ya KUSISIMUWA itapasuwa Mioyo...
  15. P

    Ifike wakati Mbowe aache ukabila ona hawa Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa wanaomuunga mkono

    == Mwl Nyerere aliwahi kusema mwanasiasa yeyote atakayeta kuchaguliwa kwa minajili ya kabila au dini yake huyo ni sawa na mwanasiasa mfu Mkataeni. Leo Freeman Mbowe Mchaga wa Machame anaonesha kuigawa CHADEMA kwa minajili ya Ukabila, Leo CHADEMA kuelekea Uchaguzi wake mkuu wenyeviti na...
  16. MWAISEMBA CR

    Nakubaliana na hoja za Mhe Lissu, ila Mhe Mbowe ndiye anafaa kuwa Mwenyekiti

    Kwanza nianze kwa kusema, kutokana na vuguvugu hili la Uchaguzi wa Uenyekiti wa Chadema lilivyo na mvuto katika jamii ya Tanzania,nimetokea kufuatwa na wadau wengi wa kisiasa wakinitaka nitoe mtizamo wangu kuhusu hili na nieleze nani anafaa kati yao ingawa mimi binafsi 𝑺𝒊𝒐 𝑻𝒆𝒂𝒎 𝑳𝒊𝒔𝒖 𝒘𝒂𝒍𝒂 𝑺𝒊𝒐...
  17. M

    Mahesabu yampa ushindi Freeman Mbowe, atarajiwa kuridhiana na Tundu Lissu

    Hayawi Hayawi sasa yamekuwa.Mkutano Mkuu wa Chadema uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu umewadia. Ni hapo kesho kutwa tarehe 21 Januari, siku ya Jumanne. Hakika yamesemwa mengi na kampeni za kuwania kuingia ofisi Kuu ya Mikocheni zimepamba moto na sasa ni lala salama. Vyovyote iwavyo Chadema imeweza...
  18. T

    Pre GE2025 Lema awapongeza Lissu na Heche mapema, asema Jumatano atakuwa busy kwa furaha

    Wakuu naona Godbless Lema ameshaamua kuwapongeza wagombea wake mapema akiamini wameshashinda. Hongereni sana kwa ushindi mkubwa ambao wajumbe wamewapa leo. Sasa mkafanye kazi na mkaheshimu imani mliyopewa na wanachama na wajumbe wa mkutano mkuu. Nimefurahi sana mmeshinda. Retweet this message...
  19. M

    CHADEMA Dodoma: Tumemchoka Mbowe, muda wake umeisha ampishe Lissu

    Viongozi wa Majimbo 8 wa CHADEMA Mkoa wa Dodoma wamejitokeza hadharani kumuunga Mkono Mgombea wa Uwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu na kumtaka Mgombea mwenzake ambaye ndiye Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe kukubali kuwa wakati wake umepita hivyo ni wakati wa kukubali mabadiliko ndani ya chama...
  20. ngara23

    Odelo mgombea Uenyekiti CHADEMA ni mtu Nondo kweli kweli

    Binafsi sikutegemea kama bwana Odelo angekuwa na hoja nzuri namna hii Ameshusha Nondo nikasema kweli, ana hekima sana Nimempima Kwa mambo yafuatayo 1 Kutofautisha Maandamano na matembezi Kwamba CHADEMA walihimiza matembezi siyo maandano. Maandano yanapaswa yainyime serikali amani na itoe...
Back
Top Bottom